Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wewe wacha hizo husilete dhihaki. Kumbuka forex trading siyo free lunch! Una ma-hope kibao lakini hujui round the corner kuna shimo la moto aka jehanamu!
wewe jamaa ujue mpaka saiv cjakuelewa kabisa, coz mm nkipoteza ww unawashwa nn, au kuna mchango umenichania labda.
mbona nmesoma degree mbili mda wote na loan board bado nawalipa na bado naoana cjapata reward stahik it seems like nimeloose mda wote like 5yrs plus what amount i have spent, ila hilo c tatizo ila hili ni tatizo kubwa sana kwako, na wala c tatizo kwangu mbona.

hapo ndio nnapochoka sana.
for rellly ckuelew kabisa.
almost all here are grown enough, sasa kinachosababisha unatokwa na povu kiasi hicho ni nini.
nais nkiongea sana ntatukana then ntapigwa ban.
naomba uongoz mzuien tena huyu jamaa coz anacreate kitu ambacho baadae kitasababisha JF ionekane tena sio home of gret thinkers tena.

ni hayo tu
 
Boss ONTARIO hujatupa mrejesho jana kama ulifanikiwa kutoa mizigo yako.. Pia hujatupa inspiration ya jana ulivotumia fundamental kudownload pesa maana najua jana umepiga za kutosha tu, zile screenshot zako za trades zinanifanyaga nisome kwa hasira na bashasha sana.
 
Mkuu Ontario!.
Naomba ushauri. nlifungua demo na hawa ZULU trader, nikapiga kwa muda nikawa napata loose kila mara nikakaa kwa muda bila kutrade. Juzi wakanipigia cm wakasema naweza kutrade nikiwa live( yaani nifungue live a/c), wakadai, watanipa training pamoja na mtu wa kuniongoza namna ya kutrade ili nipata faida na kupunguza risk. Pia watanikonnect na TRADER(kwa kum-follow) mwenye uzoefu na kutumia strategies zake anazotumia kupiga profit ya maana.
Mara wakanidirect na huyu broker AAAFX, wakasema nifanye diposite kwa hawa jamaa. cha msingi wanaitaji vitu 3:
1.Fund your AAAFx account KWA USD 500

2. Provide the necessary documents

3. Submit the Questionnaire
SAA kinachonipa dillema hapa ni kujua hawa AAAFX are they REALLY????? au ndo njia ya kunipiga mpunga wangu. ushauri wako mkuu tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Mkuu me ningekushauru ukuempole kwanza kamua buku zaidi na zaidi.. Then subiri darasa kutoka kwa mkuu ONTARIO ukibahatisha nafasi itakua bonge la ishu kuliko ku deal na watu ambao wao wako after money..
Endelea kupiga zoezi kwenye demo, coz kama kwenye demo umepiga loose tuu vipi huko kwenye real sii ndio utakaushwa chap..! Uwape wakina mberoya kiki..!
 
Hahahaha uyu mberoya anafurahisha... He/she always thinks of negativity tu

Do ya thing meen. Wametaka forex waache wafanye . We umeshawaambia kama hawataki kuskia waache as long as umeshaplay your part.

Wakiliwa hela ni zao wewe tafuta zako kwa njia unayoona inafaa na halali kwako. Kila mtu anachagua maisha yake mkuu.

Wewe unaona forex ni scam, kaa nayo mbali hata huu uzi uone ni scam fanya mambo yako bro
Siyo she! Mberoya ni dume la mbegu mjomba!!
 
We utakua jike la mayai,, hakuna dume la mbegu lenye tabia kama zako.. Maana wivu ulio nao ni wa kike 100%
Siyo wivu ni open mindedness, ukweli, uangalifu, awareness na ku-share knowledge tofauti ambayo itaokoa visenti kwenda alijojo au jehanamu.
 
Guys huyu mberoya yupo against kabisa na mission za hii thread please mpuuzeni msimjibu chochote ataelewaga tu
Wacha hizo! Hata mimi najifunza katika hii thread, sema baadhi ya watu kama wewe hampenda challenge na criticism. kwahiyo husini judge kana kwamba humo katika mawazo yangu.
Humu mmekuwa na chuki na watu kama sisi sababu hamtaki watu wenye constructive arguments. Mnataka kila mtu to follow the crowd, even if the crowd is heading the wrong direction.
Kwa ufupi Forex trading isn't free lunch. Sikuzote 95% huwa ina benefit ma brokers, wewe if you lucky ni 5% na still broker anaweza kufanya manipulation yake pesa yote ukapoteza.
 
Siyo wivu ni open mindedness, ukweli, uangalifu, awareness na ku-share knowledge tofauti ambayo itaokoa visenti kwenda alijojo au jehanamu.
Kwa hasara ipi ambayo unaweza ipata ww..? Kwani kuna hata mmoja unae mfahamu hapa ilihali hata ikitokea kaliwa atakuja kukulilia..? Okey umeshaeleweka tulia basi hutaki.. Unakua unataka nn kama sio muwasho tu tena wa mk...
 
Daah ila mikate ilikuwa noma sana... Kama uligonga ile forex ni kazi ndogo sana... Ni kujipa muda tu
Yaap! Mi naaplly kanuni ile ile...Ya msuli yatima . but katika forex ni muhimu sana kuwaangila waliokutangulia wanafanya nini! COPY AND PASTE THIER EXPERIENCE
 
Yaap! Mi naaplly kanuni ile ile...Ya msuli yatima . but katika forex ni muhimu sana kuwaangila waliokutangulia wanafanya nini! COPY AND PASTE THIER EXPERIENCE
Hilo la kuangalia waliokutangulia ni muhimu sana ila inabidi pia ujue jinsi ya kuwaidentify ili kuepuka hasara zisizo za lazima
 
Kwa hasara ipi ambayo unaweza ipata ww..? Kwani kuna hata mmoja unae mfahamu hapa ilihali hata ikitokea kaliwa atakuja kukulilia..? Okey umeshaeleweka tulia basi hutaki.. Unakua unataka nn kama sio muwasho tu tena wa mk...
Kwani government inapo deal na scam victims unafikiri sababu wanawafahamu? Serikali ni watu na mimi no part of it, inapotokea kwamba wananchi wamekuwa taken for a ride au swindled, Utakuja kutulilia tukusaidi Ku recover visenti vyako na it will be too late.
 
Daah hii misuli yatima ya forex ninayopiga Inakaribia nilivokuwa A level.. Hakuna walimu unakomaa na mikate ya biology.. Soon kitaeleweka..
Ahah mkuu umenichekesha sana enzi za olevel huko musoma technical kulikua na sehemu ya vichaka tunaiita Serena sasa usiku ilikua ndo choo chetu ila asubuh inageuka sehemu ya msuli yatima kwa ss dodgers wa darasani
 
Ha Ha Ha noma sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom