Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwani government inapo deal na scam victims unafikiri sababu wanawafahamu? Serikali ni watu na mimi no part of it, inapotokea kwamba wananchi wamekuwa taken for a ride au swindled, Utakuja kutulilia tukusaidi Ku recover visenti vyako na it will be too late.
Grow up dude
 
Wacha hizo! Hata mimi najifunza katika hii thread, sema baadhi ya watu kama wewe hampenda challenge na criticism. kwahiyo husini judge kana kwamba humo katika mawazo yangu.
Humu mmekuwa na chuki na watu kama sisi sababu hamtaki watu wenye constructive arguments. Mnataka kila mtu to follow the crowd, even if the crowd is heading the wrong direction.
Kwa ufupi Forex trading isn't free lunch. Sikuzote 95% huwa ina benefit ma brokers, wewe if you lucky ni 5% na still broker anaweza kufanya manipulation yake pesa yote ukapoteza.
Alaaa kumbe!
 
shukrani mkuu kwa taarifa nimekusoma vema naomba unikumbuke kwenye listi ya hao 300 utakaoanza kuwaivisha
 
@ ONTARIO. Naomba na mm unsaidie vitabu wewe ulvopewa usome

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
@ ONTARIO. Naomba na mm unsaidie vitabu wewe ulvopewa usome

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Vitabu vyote vimo humuhumu ndani ya hii thread anza kufungua tangu page no.1 -page no 250 utapata kila kitabu tulivyopewa na kuvi-download...viko ktk mfumo wa pdf hivyo ni rahisi kuvipakua.
Ukiona watu wako kimya ujue tuko chimbo tunaibuka tu tunapokuja kuji-refresh.
 
32e5a90af74fdb7b7f7758ebce384a24.jpg



Demo or live????
 
Mkuu Ontario!.
Naomba ushauri. nlifungua demo na hawa ZULU trader, nikapiga kwa muda nikawa napata loose kila mara nikakaa kwa muda bila kutrade. Juzi wakanipigia cm wakasema naweza kutrade nikiwa live( yaani nifungue live a/c), wakadai, watanipa training pamoja na mtu wa kuniongoza namna ya kutrade ili nipata faida na kupunguza risk. Pia watanikonnect na TRADER(kwa kum-follow) mwenye uzoefu na kutumia strategies zake anazotumia kupiga profit ya maana.
Mara wakanidirect na huyu broker AAAFX, wakasema nifanye diposite kwa hawa jamaa. cha msingi wanaitaji vitu 3:
1.Fund your AAAFx account KWA USD 500

2. Provide the necessary documents

3. Submit the Questionnaire
SAA kinachonipa dillema hapa ni kujua hawa AAAFX are they REALLY????? au ndo njia ya kunipiga mpunga wangu. ushauri wako mkuu tafadhali.
Kimbia mkuu.
I smell scank there.
Fungua account kwa brokers wa kueleweka.
 
Demo mkuu


Hongera sana....ila punguza uroho kidogo (hapo ulipoingia na lot ya 1.4....mmmmhh)...utakapoamia live unaweza kuhama na uroho huo halafu ikawa balaa...siku mambo yakienda against your speculations.
 
Hongera sana....ila punguza uroho kidogo (hapo ulipoingia na lot ya 1.4....mmmmhh)...utakapoamia live unaweza kuhama na uroho huo halafu ikawa balaa...siku mambo yakienda against your speculations.
Ndo maana demo account yangu nimeishusha mpaka $190, kisha natakaniipandishe nione kama nitatusua.
Nimeangalia pips ambazo ametengeneza ni chache around 6 ambazo zimeleta profit inayoonekana kubwa kwa sababu ya kutumia lot size kubwa. So ukiishusha account yako mpaka at least $ 200 utaona jinsi ilivyoshida kuipandisha maana hizo pips 6 unakuta huku inasoma kama $0.4, kama ukufanya analysis vzr unashangaa ghafla kitu kinaanza kuwa negative.
Ninatrade zinarun hapa moja nimetumia lot size 0.05 account ikiwa na just $123 nimeshatengeneza pips 20+ but profit inayosoma hapa it is just $12+ ambapo kama account ingekuwa na $3,000 ingekuwa profit sahizi inasoma $200+ for just one position.

Kama walivyoshauri wengine tupunguze account zetu to at least $300 na maximum leverage isiwe kubwa just 1:50 to me is more than enough, kisha pandisha na ukiona umeifikisha at least $600 we mwanaume. That's why wanasema look for pips and not $. Ukiangalia fedha na sio pips utashangaa kwenye real kwa kuwa account size yako ni ndogo, utaambulia just 0.5$ or 1$ kwa pips zilezile zilizokuletea say $90 kwenye virtual account size kubwa.

See my currently running positions

ca3e2bc528e575a84f34edcaf631a4bd.jpg
 
Nina wiki na siku kadhaa tangu niuone huu uzi, kilicho nijia akilini ata first time nikuichangamkia fursa hela tamu asikwambie mtu nika download vitabu na mazaga yote niliyo kutana nayo yanayo husiana na forex.
- Nilivyo anza kubukua na kuchek baadhi za video nikaja kuona forex ni ngumu kinoma nani msitu wenye wanyama wakali kinoma ambao muda mwingi wanakulia timing za kukupasua hapa namaanisha broker.
- Kuna utapeli na upotoshwaji mkubwa mtu ukikaa vibaya mieza yako ya kukaa na real account bila kuiunguza ni minne tu.
- Pia inaoneka tayari kuna tabaka lawatu wakuliwa na lawapiga hela continua-sly(professional trader), it seems there some professional trader who knows how to play game but they don't want as to know kwa makusudi kabisa.

Licha ya yote hayo afe kipa afe beki hili somo halita chacha ntakomaa nalo hadi kieleweke naimani nahii kitu kama mtu utakuwa makini na kuwa karibu na wajuzi wa game soon mtu unalimudu vilivyo.

ONTARIO Usini sahau kwenye darasa i do hope ntawakilisha vema na kubadili mawazo ya vijana wenzangu wenye kuhisi hii kitu haiwezekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom