Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Grow up dudeKwani government inapo deal na scam victims unafikiri sababu wanawafahamu? Serikali ni watu na mimi no part of it, inapotokea kwamba wananchi wamekuwa taken for a ride au swindled, Utakuja kutulilia tukusaidi Ku recover visenti vyako na it will be too late.
😀😀😀😀😀😀😀😀[HASHTAG]#Pambana[/HASHTAG] na Hali Yako#
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Alaaa kumbe!Wacha hizo! Hata mimi najifunza katika hii thread, sema baadhi ya watu kama wewe hampenda challenge na criticism. kwahiyo husini judge kana kwamba humo katika mawazo yangu.
Humu mmekuwa na chuki na watu kama sisi sababu hamtaki watu wenye constructive arguments. Mnataka kila mtu to follow the crowd, even if the crowd is heading the wrong direction.
Kwa ufupi Forex trading isn't free lunch. Sikuzote 95% huwa ina benefit ma brokers, wewe if you lucky ni 5% na still broker anaweza kufanya manipulation yake pesa yote ukapoteza.
Vitabu vyote vimo humuhumu ndani ya hii thread anza kufungua tangu page no.1 -page no 250 utapata kila kitabu tulivyopewa na kuvi-download...viko ktk mfumo wa pdf hivyo ni rahisi kuvipakua.@ ONTARIO. Naomba na mm unsaidie vitabu wewe ulvopewa usome
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Tumia voter's IDJamani hivi naweza kutumia driving license katika kuprove resident katika broker yeyote ili kuverify account?????
Kimbia mkuu.Mkuu Ontario!.
Naomba ushauri. nlifungua demo na hawa ZULU trader, nikapiga kwa muda nikawa napata loose kila mara nikakaa kwa muda bila kutrade. Juzi wakanipigia cm wakasema naweza kutrade nikiwa live( yaani nifungue live a/c), wakadai, watanipa training pamoja na mtu wa kuniongoza namna ya kutrade ili nipata faida na kupunguza risk. Pia watanikonnect na TRADER(kwa kum-follow) mwenye uzoefu na kutumia strategies zake anazotumia kupiga profit ya maana.
Mara wakanidirect na huyu broker AAAFX, wakasema nifanye diposite kwa hawa jamaa. cha msingi wanaitaji vitu 3:
1.Fund your AAAFx account KWA USD 500
2. Provide the necessary documents
3. Submit the Questionnaire
SAA kinachonipa dillema hapa ni kujua hawa AAAFX are they REALLY????? au ndo njia ya kunipiga mpunga wangu. ushauri wako mkuu tafadhali.
Demo mkuu
Ndo maana demo account yangu nimeishusha mpaka $190, kisha natakaniipandishe nione kama nitatusua.Hongera sana....ila punguza uroho kidogo (hapo ulipoingia na lot ya 1.4....mmmmhh)...utakapoamia live unaweza kuhama na uroho huo halafu ikawa balaa...siku mambo yakienda against your speculations.
Kimbia mkuu.
I smell scank there.
Fungua account kwa brokers wa kueleweka.
Akimbilie wapi? Na brokers wanaoeleweka ni nani hao? Tupe list yao!Kimbia mkuu.
I smell scank there.
Fungua account kwa brokers wa kueleweka.