Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kama Naanza natakiwa kuanza kwa Kiasi gani cha pesa

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yaani huelewi? Ukimu win broker ana maana ukimpa broker rushwa...mambo yakibongo bongo babuu!

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ahah mkuu ujue watanzania wengi wanaumwa magonjwa ya akili ila hawajitambui naamini huyo jamaa ni mmojawapo

Sent from my BEGIN 101 using JamiiForums mobile app
Unaandika with authority as if you know anything about mental illness!Umeshawai ku diagnose mgonjwa wa akili katika maisha yako ya shida mpaka unakimbilia uzii huu ukuokoe na dhiki zako? Utatuzi wa shida zako hautopatikana kwa forex trading kamwe! Unajisumbua tu na ukichaa wako! [emoji23] [emoji23]
 
Sometimes brokers wana influence market. Refer market marker broker!!
 
Kila nkiiona hii post duh kiroho kinadunda,Mkuu Ontario utaanza lini darasa hata kama ni la kulipia?
Cc ontario

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Kila nkiiona hii post duh kiroho kinadunda,Mkuu Ontario utaanza lini darasa hata kama ni la kulipia?
Cc ontario

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Umemuandikia Ontario alafu unaweka Cc to Ontario! Umeshamuandikia sasa copy kwa Ontario ya nini? Ontario ataona haufai kufundishwa.. ndiyo nyiye wa "syllabus za kibongo" kama alivyosema Ontario, miaka 20 ukimaliza kusomeshwa bado huelewi unatoka mweupe!

Mambo ya forex trading yanaitaji commitment, focus, time, knowledge, enough fund to loose na akili iliyo sawazika, ama sivyo utakufa kifo cha miguu juu kama mende! Utaikimbia mwenyewe forex trading lakini broker mwenzako atakuwa anadunda!
 
Reallyyy mjomba! Haya katafute $7000 sasa uliwe! [emoji23] [emoji23]
mberoya mbona ivo man ucdiscourage raia kiac icho naamin nawe upo humu kujifunza
mpe bac info sahihi
navojua hata $150 unafungua live acc

Sent from my Infinix-X552 using JamiiForums mobile app
 
Even 10$,you can start
 
We jamaa unaijua Forex vizuri tena i bet we ni pro,bahati mbaya una roho mbaya ya kimaskini na uchoyo sio wa nchi hii,haiwezekani uiponde Forex kwa Nguvu zote hizi bila kutoa solution ya mabaya ya Forex au alternative idea,mkuu tupe mbadala basi ambao ni rahisi kuliko Forex kuliko unavyotumia muda mwingi kuiponda

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…