Ontario is back - back with good words
Wakuu na wahenga wote waliosadikika kusema Asiyejua maana, haambiwi maana ontario nimerudi baada ya kimya kirefu sana. Been busy lately, very busy - but there's no alternative to hardworking/hustling.
Naeza sema we are almost 80% completing. Nilisema tangu mwanzo - sijawahi kuanza kitu na kuishia kati kati, that's not Jeff (labda fotokopi yangu).
SOON tunaanza, kilichokua kinanichelewesha nimehandle almost 90%, kinachobakia ni vitu vidogo vidogo sana ambavyo havihitaji nguvu kubwa sana.
Mentors from SA ndio wapo stage ya mwisho kujinoa na safari... we are gonna make this real ili tuoneshe how far we can go bila kulilia msaada wa serikali - ili tufanikishe nahitaji msaada wenu, siwezi kufanya hii kitu mimi binafsi. Na msaada pekee ninaoutaka kutoka kweni ni Ushirikiano - muwe tayari kusoma, narudia kusoma, narudia tena kusoma.
Sijali umefika stage gani, lkn leo onwards, naomba mnisaidie kitu kimoja tu dear traders... anza page ya kwanza ya AstroFX, soma elewa, rudia tena na tena. Huo ndio msaada pekee utakaositiri heshima yangu. Trust me, nazungumza ninachokifahamu - kuna watu wengi wanatamani waone tunaanza batch ya kwanza afu batch ya kwanza waangukie pua, but kitu pekee kitakachotupa kiburi ni knowledge baasi. Darasani tutapeana mbinu tuuu.
Mentors wote wapo very very motivated kuja Bongo na kuandika historia. Tunataka tuandike historia, na tutaandika historia pamoja. Guys help me rewrite the history. Furaha yangu ni nyinyi kuweza kumaster trading skills na kutumia hizo skills kumove kutoka hatua 1 kwenda hatua nyingine.
We are in the most empowered generation, tuna bahati sana. Tumezaliwa katika kizazi ambacho kuna free flow of information via Internet thing. We are the most educated generation in human history. Wazee wetu kina Aboud Jumbe na Bibi Titi walihustle at their own exceptional level, kutuletea political and administrative freedom. But hatuwezi kufurahia matunda yao kama hatuna financial and economic freedom/independence. Let's get it now!!
Soon tunaanza safari wahenga wenzangu. Let's trust the process and enjoy it's fruits. Till then let's keep studying. Nina vitabu zaidi ya 100 vya forex, nasoma kila ninapopata muda. Narudia na kurudia, coz knowledge is power... naweza kufilisika ama kufilisiwa mali, lkn hakuna mwanadamu atakayeweza kunifilisi knowledge, labda Mungu.
Guys tuliamshe dude. Tuendelee kusoma, in few days nitafungua uzi mpya for the final call.
salute!!
============================
Though situmii sana IG but I do use it mara kadhaa. Maybe kuna vitu ntaanza kushare huko as far as thing journey is concerned. Follow me at @sirjeff_dennis. Please, naomba usitume message, coz possibility ya kukujibu ni ndogo sana. I am so busy guys, siwezi kujibu kila kitu. Office ikianza kutaelezana kila kitu face-to-face.