Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hahahaha naona leo ni wahenga day.. Welcome back bro, u were missed muhenga wa 90's
Pia point taken kwenye maelekezo uliyoyatoa leo cjawahi kua na mood ya kusoma hivi ata UE yangu yamwisho ckuisomea namna hii

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Welcome back to the business Mhenga Wa Wahenga.


Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Ukishamaliza Darasa la FOREX , rewind kidogo Darasa la Kilimo, hapo ndio uwanja wako wa kijidai zaidi , fungua post utupakulie na hiyo fursa ONTARIO ,maana nako Umepasua anga kwenye hiyo nyanja

Yah, with this idea naamini watu watanufaika zaidi kupitia kilimo. Inabidi watu wakuze capital kwanza through forex (kitu ambacho naamini kinawezekana), kisha wafanye diversification of capital kwa kuingia katika kilimo na ufugaji ambapo huko watamingle na watanzania wa kawaida. Kwani Forex si ya kila mtu ila Kilimo naweza sema ni cha kila mtu as long as anapata info sahihi.
 
wadau leo kuna potential kubwa ya profit kwenye AUD, enter selling position immediately when it goes bearish
 
wadau leo kuna potential kubwa ya profit kwenye AUD, enter selling position immediately when it goes bearish
Wewe unatrade timeframe ipi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa misosi ya pale imetisha sana poti... Vipi na wewe hua unapitaga pale kugonga??
Mimi napita pita ila mimi huwa napendaga kwenda pale THE AFRICAN HOUSE HOTEL
Ukinikuta kule juu nagonga cheers na wazungu Feel like nipo Rio De janeiro hahaha.. Na juzi ulipotuma post zako nilikuwa maeneo hayo ila sikuwa na uhakika kama ulizituma hizo post ukiwa katika current location.
Zenji huwa nakwenda sana,
 
Bro Ontario nafarijika sana ninapoona post zako mkuu. Zinanipa hamasa ya kupambana na kutokukata tamaa! Naamini kwa pamoja tutafika...Ubarikiwe mhenga Ontario
 
Msaada wahenga , nimecheza leo asubuhi ingawa sijajua namna ya kufanya kilinishangaza naona pesa zinaongeza.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-14-15-52-17.png
    15.5 KB · Views: 66
  • Screenshot_2017-07-14-15-48-21.png
    14.4 KB · Views: 61
  • Screenshot_2017-07-14-15-38-28.png
    14.3 KB · Views: 63
  • Screenshot_2017-07-14-15-36-31.png
    11.6 KB · Views: 58
  • Screenshot_2017-07-14-10-32-21.png
    15.9 KB · Views: 64
KUNA MDA NAWAZA SIJUI NIENDE LIVE,


anyway, ngoja nivumilie, nilipunguza kias kilicho kua kwenye demo account (5000) hadi (109), nimeanza ibembeleza jana kidogo na leo kidg sasa inasoma (324) lengo ifike 5000 pale pale ilipo kuwepo, nikiweza tu, naenda live walai

 

Daaah Mkuu Ontario uko vizuri. Yaani kwa lot size ya 0.15 una-make profit kubwa kiasi hicho. Aiseee training ifike tu na mimi niwe nondo!!Daaah real impressed!!
 
Ulipunguza ACCOUNT balance kwa kujipatisha hasara au kuna njia nyingine mkuu maana mimi naona na 5,000,000 na ni kitu ambacho sikitaki maana hakina uhalisia

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Msaada wahenga , nimecheza leo asubuhi ingawa sijajua namna ya kufanya kilinishangaza naona pesa zinaongeza.
mkuu chukua vitabu usome... forex sio rahis kama hivyo ulivyofanya..... umetumia lot kubwa ambayo ni hatar kwa maisha yako alafu hujajua kuset SL & TP.... chukua vitabu usome utapata uelewa mzuri ndugu

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Ulipunguza ACCOUNT balance kwa kujipatisha hasara au kuna njia nyingine mkuu maana mimi naona na 5,000,000 na ni kitu ambacho sikitaki maana hakina uhalisia

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
nilijipigisha hasara hadi ikafika hapo 109
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…