PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Mkuu umeipunguzaje maana nami nataaka ni punguze?KUNA MDA NAWAZA SIJUI NIENDE LIVE,
anyway, ngoja nivumilie, nilipunguza kias kilicho kua kwenye demo account (5000) hadi (109), nimeanza ibembeleza jana kidogo na leo kidg sasa inasoma (324) lengo ifike 5000 pale pale ilipo kuwepo, nikiweza tu, naenda live walai
Mkuu nilichokwisha kuamua ni moja kati ya haya mawiliKuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Nilitia hasara, Yaan kama analysis inakwambia nenda kulia wewe nenda kushoto, kama n kushoto nenda kulia mpaka kitakapo bak kiwango unachotaka weweMkuu umeipunguzaje maana nami nataaka ni punguze?
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duuh bora wewe ulipewa wenzako tuliweka cash tukachoma account!!nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa
hahahaha umenichekesha sanaForex nimeijulia humu ndani...mara ya kwanza nimeisikia kwenye ule uzi wa Ontario kuhusu maisha ya wabongo SA. Kabla ya hapo nilikuwa cjawahi kuisikia na kuona mtu anaizungumzia kwenye social network yyte hapa Tz but now magroup yaliopo whatsap, cjui telegram aisee hutajiuliza hawa watu walikua wapi? Na mengi yao yameanzishwa June mara baada ya huu uzi. So ni juu ya mtu binafsi kuwa free kwa kile atakachoamua ila mm nilichoamua ni kwenda na Ontario au mwenyewe basi.
nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa

nimekupata thanksNilitia hasara, Yaan kama analysis inakwambia nenda kulia wewe nenda kushoto, kama n kushoto nenda kulia mpaka kitakapo bak kiwango unachotaka wewe
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.
Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.
Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.
Wahenga walishasema,
"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"
BONGOLAND
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duuh bora wewe ulipewa wenzako tuliweka cash tukachoma account!!
Thats life mkuu...hapo umejifunza kitu kikubwa sana!!
Uzuri ni kwamba ushajua hukuweka stop loss!! Next time hutarudia hili kosa!!
Ushauri: Usikate tamaa soma, soma tena na tena then come back!!!
Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!
safi mkuu... tuko pamoja kwenye hiliReal men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo.
Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati.
Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay.
umenena muhenga mwenzetu...😉Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.
Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
hongera muhenga napenda kujua maujanja kidogo kutoka kwako unatrade na reverage ya ngapi? maana umetisha sana na technique gani unatumia ili kujua sasa ni time ya trade au kuexit?KUNA MDA NAWAZA SIJUI NIENDE LIVE,
anyway, ngoja nivumilie, nilipunguza kias kilicho kua kwenye demo account (5000) hadi (109), nimeanza ibembeleza jana kidogo na leo kidg sasa inasoma (324) lengo ifike 5000 pale pale ilipo kuwepo, nikiweza tu, naenda live walai
Niliset 1:100hongera muhenga napenda kujua maujanja kidogo kutoka kwako unatrade na reverage ya ngapi? maana umetisha sana na technique gani unatumia ili kujua sasa ni time ya trade au kuexit?