Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.

Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.

Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.

Wahenga walishasema,

"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"

BONGOLAND

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
KUNA MDA NAWAZA SIJUI NIENDE LIVE,

anyway, ngoja nivumilie, nilipunguza kias kilicho kua kwenye demo account (5000) hadi (109), nimeanza ibembeleza jana kidogo na leo kidg sasa inasoma (324) lengo ifike 5000 pale pale ilipo kuwepo, nikiweza tu, naenda live walai

b6f0a688193e97763d314ef7e5d9692a.jpg
Mkuu umeipunguzaje maana nami nataaka ni punguze?
 
Mkuu nilichokwisha kuamua ni moja kati ya haya mawili

Ni either kuhudhuria darasala Jeff or Kufanya kipekee yangu peke yangu kama Bavaria, baaasi, na si vinginevyo
 
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.

Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.

Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.

Wahenga walishasema,

"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"

BONGOLAND

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app

Forex nimeijulia humu ndani...mara ya kwanza nimeisikia kwenye ule uzi wa Ontario kuhusu maisha ya wabongo SA. Kabla ya hapo nilikuwa cjawahi kuisikia na kuona mtu anaizungumzia kwenye social network yyte hapa Tz but now magroup yaliopo whatsap, cjui telegram aisee hutajiuliza hawa watu walikua wapi? Na mengi yao yameanzishwa June mara baada ya huu uzi. So ni juu ya mtu binafsi kuwa free kwa kile atakachoamua ila mm nilichoamua ni kwenda na Ontario au mwenyewe basi.
 
nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa
 
Duuh bora wewe ulipewa wenzako tuliweka cash tukachoma account!!

Thats life mkuu...hapo umejifunza kitu kikubwa sana!!

Uzuri ni kwamba ushajua hukuweka stop loss!! Next time hutarudia hili kosa!!

Ushauri: Usikate tamaa soma, soma tena na tena then come back!!!
 
hahahaha umenichekesha sana
 
Risk management is as important as finding trade "Astroforex"
 
nimeunguza account,nilipewa kianzio cha dollar 200 nikaipandisha hadi dollar 2320,leo nimenunua usd/jpy nikasahau kuweka SL nikatoka nje si nikajisahau kuwa nakaanga mayai na yako jikon kurudi nimekutana na masizi na nadaiwa mafuta ya dollar 27,hapa nimeweka kitabu kwapani naenda nyumban,sijui ni hili wenge la kufiwa

Pole sana, Ontario, Bavaria, Complex Na vitabu vyote vinasisitiza umakini. Ulicho kifanya kinathibitisha KUWA Bado hujaiva. Endelea kujifunza tabia hasi Za FX. Pia Kama una wenge la kufiwa pole sana, kwenye naked forex wanazungumzia kutofanya biashara hii under the influence of alcohol. Ni sawa tu Na sheria Za usalama barabarani, ukiwa mgonjwa, una mawazo kwasababu yoyote ile ikiwemo kufiwa Na ulevi, hutakiwi kuendesha gari. Vivyo hivyo FX HUTAKIWI kujifunza au kufanya halisia ukiwa Na vikwazo hivyo. Soma tena Na tena nidhamu Za FX nawe utakuwa kwenye mstari.
 
Kuna watz wanaroho mbaya sana..Baada ya kuona Ontario kasema analeta mentors watupige pindi wao nao wameanza kuleta wakenya wapige pindi. Jaman sio vibaya ila naona Kasi yenu imekuwa kubwa kuliko hata mwanzilishi wa hii hapa jamiiforum.

Alafu wanaenda na updates za Ontario, akisema zimebakia siku chache au 90% is complete, nao wanakazana.

Aisee Tz tusipokuwa fighters and see opportunities and fighty in other way, hakika tutabakiwa mazombe ya siasa.

Wahenga walishasema,

"Copy and paste is allowed but try to do it in stunning way"

BONGOLAND

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app

Hao ni wahenga wa cha MTAMANI CHA NDUGUYE...
 
Duuh bora wewe ulipewa wenzako tuliweka cash tukachoma account!!

Thats life mkuu...hapo umejifunza kitu kikubwa sana!!

Uzuri ni kwamba ushajua hukuweka stop loss!! Next time hutarudia hili kosa!!

Ushauri: Usikate tamaa soma, soma tena na tena then come back!!!

Hahahahaa Mkuu Lodrick... Na mimi leo yamenikuta haya majanga yaliyokukuta... Nimechoma kianzio changu cha USD 200, ila ndo kukomaa huko no surrendering! Nimekutana na kitu kinaitwa NON-FARM PAYROLL duuhh... It was a Havoc!!
Nimeumia kimoyomoyo ila nimejifunza kitu!! Ngoja nisome tena nirudi live!! Sijui imekuwaje hiyo Non-Farm Payroll imenikumba hii ijumaa ya pili ya mwezi!! Wataalam wa SA hope watatueleza mengi!! Hahahahaaa Forex trading is real Challenging! Ukiwa na Moyo mwepesi kaa mbali kabisa na hii kitu!!
 
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.

Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
 
Pole sana mkuu....ulikuwa unatrade pair gani mpaka ukachoma Account???
 
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo.

Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati.

Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay.
safi mkuu... tuko pamoja kwenye hili

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Real men are always Loyal and honnest, not only to others, but also they should be to themselves. Kitendo cha mimi kufunguliwa macho juu ya what is forex bussines kupitia huu uzi, ni wajibu wangu mimi na yanipasa kuwa Loyal na Honnest kwa aliyenifumbua macho coz naye amekuwa loyal na honnest kwetu toka mwanzo. For real men, loyalty and honnesty are paid back by doing same.

Na hivi vitadhihirishwa kwa kusubiri all signals of his katika hizi harakati. Tupo pamoja Ontario, tumeanza hili pamoja na i hope tutavuka pamoja. Hao wanaowaalika wakenya kuja kufundisha na wawaalike tuu, we are here to stay mpaka pale utakapokamilisha wewe. Hata kama ni kutafuta other materials nje ya circle yako, basi hilo litafuata baada ya kuwa umeshatupa ABC za ulichotuahidi.
umenena muhenga mwenzetu...😉
 
KUNA MDA NAWAZA SIJUI NIENDE LIVE,

anyway, ngoja nivumilie, nilipunguza kias kilicho kua kwenye demo account (5000) hadi (109), nimeanza ibembeleza jana kidogo na leo kidg sasa inasoma (324) lengo ifike 5000 pale pale ilipo kuwepo, nikiweza tu, naenda live walai

b6f0a688193e97763d314ef7e5d9692a.jpg
hongera muhenga napenda kujua maujanja kidogo kutoka kwako unatrade na reverage ya ngapi? maana umetisha sana na technique gani unatumia ili kujua sasa ni time ya trade au kuexit?
 
Niliset 1:100

kuhusu techniques, inategemea, ninalo fanya mm wewe linaweza lisikufae kabisa, unaloweza wewe mm lisinifae kabisa, hapa nakushauri usome,, ujaribu kila kitu, ipo sehem aina moja ambayo itakua inakuacha na tabasamu pana kila unapo itumia, hiyo hiyo ndio itakayokua inakufaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom