Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hii weekend imepoaje dah
Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.

Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)

These stuffs are more tangible and real, could you please emphasise more on these mkuu.

Regards
 
ONTARIO kuna jamaa wa south Africa anaitwa Andile,
Unamjua?
Kama haumjui fanya umjue, yaani yule jamaa ni typically Your twin, Kuanzia umbo, matendo, mafanikio Yani karibia vyote.
Wewe mcheki insta, ukimkosa nitaweka picha yake hapahapa( alafu kizuri zaidi nayeye ni trader na ana kampuni yake)
 
Imekaa poa sana hii mkuu.. Unatuahamasisha sana vijana kupambana.. Nimeamini ile kauli kua maisha ya mtu kuwaje ni ye mwenyewe anayaamua..! Thanx very much bro kila siku unanifanya kijiona me niwatofauti sana..
 
I know Andile Mayisela, boss mimi si newbie trader I know most things out there. Nitamleta Bongo. I really respect him, he is a smart trader.
 
ni lianza na usd 7 ndani ya mwezi mmoja ni mefikisha usd 36 na nikaweza nunua kadi na kutumia kupitia mashine yoyote ya atm yenye mastercard

Post sent using JamiiForums mobile app
Ficha ID yako mkuu au umeamua Ku disclose
 
I know Andile Mayisela, boss mimi si newbie trader I know most things out there. Nitamleta Bongo. I really respect him, he is a smart trader.
Utajiri wa kwanza ni kuwa na taarifa,
Thats why Sishangai kwanini unafanikiwa, cuz I know unatumia muda mwingi kuupa ubongo wako msosi wa maana, Keep it up. Hakikisha Andile anatua bongo yani usisahau
 
shida ya watanzania utamwambia hili ni shimo chunga usitumbukie ila atataka atumbukie ndio mwishowe aanze kujuta..ni kama utaona kweli ni shimo wakati tayari umo ndani...kifupi,binafsi wakenya nimekaa nao kwa muda mreefu tu na kwa ninavyowajua ni watu wa kuchangamkia fursa sana...tena kule hela inadhaminiwa sana na imewekwa mbele ya mambo mengi sana..hivyo,wanaotazamia mafunzo ya forex kuweni makini sana msije mkachanganywa..sishangai ninaposikia hela wanachangiwa..ndiyo kawaida ya wakenya kwamba hawawezi kuzama mfukoni kwa ajili ya kujisimamia....wanaamini expenses zitakuwa catered for na anayetoa contract au hayo makubaliano..kila fursa kwao wanaiona ni ya kupata pesa...which is good..ila niwatahadhari,wale ni wakenya msiwapuuze kihivyo...kuweni makini katika training zenyu..wapo vizuri katika kufafanua mambo..mtasoma mengi. [emoji4][emoji4]
 
ww jamaa upo vzr sana. congrats bro. inapendeza sana
 
I know Andile Mayisela, boss mimi si newbie trader I know most things out there. Nitamleta Bongo. I really respect him, he is a smart trader.
nimemcheki jamaa duuh kweli duniani wa2 wa2,
jaribu kuchek ukute mzee alichepuka somewhere,
teh teh teh teh teeeh
just kidding
 
kwa mda gani umetengeneza iyo 30 boss
kama una jua kucheza forex currency trader kuuza na kununua.na huwe mtaalamu wa economic na kusoma habari za biashara jinsi masoko na biashara yanavyo kwenda

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kama una jua kucheza forex currency trader kuuza na kununua.na huwe mtaalamu wa economic na kusoma habari za biashara jinsi masoko na biashara yanavyo kwenda

Post sent using JamiiForums mobile app
i mean umekuza iyo usd7 to usd 36 kwa mda gani????
 
i mean umekuza iyo usd7 to usd 36 kwa mda gani????
sio lazima kuwa forex tu,unaweza kuwa CDF au kuwa invester na kuweza kununua broker ukawekeza pesa na kuchezeshewa.hata kampuni zote ununua mabroker

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sio lazima kuwa forex tu,unaweza kuwa CDF au kuwa invester na kuweza kununua broker ukawekeza pesa na kuchezeshewa.hata kampuni zote ununua mabroker

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona unaulizwa swali alafu unajibu vingine.

Are you serious for what you have expressed before??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…