Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
These stuffs are more tangible and real, could you please emphasise more on these mkuu.

Regards
Mkuu Kuna post moja ulisema unaachana na kilimo, au Ndio unajiandaa andaa? MIMI NDIE YULE MUHENGA NILIYESEMA "KAMA MNATAKA MALI MTAZIPATA SHAMBANI"
 
Bible of forex MSAADA PAGE YA ngapi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bible of forex MSAADA PAGE YA ngapi

Post sent using JamiiForums mobile app
hii ni kwa kiswahili soko la hisa au biashara ya kuangalia thamni ya kitu hiwe pesa,bizaa,nchi,uchumi,siasa n.k.kumbuka kuwa wahenga wana sema.anaye kupandisha ndiye anaye kishusha.basi forex ndivyo ana tumia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Weekend haijapoa, wewe ndio umepoa boss wangu. Something should always keep you busy sheikh wangu - all times, ht kama ni kula bata au kusoma gazette.

Mimi natumia leo na kesho kukagua my other real life businesses. Never ever depend on 1 source of income alisema Muhenga Warren Buffet (Mentor wa Bill Gate)
c8a67a5a2c50cdc06a7033937972a935.jpg


45aa600136066f80335238badbe0c9b4.jpg

82855f7c463e7c04a0a61cc159da22c0.jpg
e7632df4a18c8e17a6e6a237b4d7e709.jpg
f31fed31cc9665c51673ccf9c61e331e.jpg

72287e0ab406c2ce28820bf0c2f0058a.jpg
cc3ae991adfc556b5bbdedd59329a2f4.jpg
Vizuri sana mkuu kilimo kina lipa ukiwa serious pia nichukue fursa hii kuwaambia tu wana member Magroup mnayojiundia huko ya WhatsApp mkitapeliwa msije kusema huku jukwaani.Watanzania hawako serious kabisa unajisajili kushiriki coz isitoshe na kulipa utalipa MTU humjui ofisi hujui iko wapi asee kuweni serious Why watu wanakuwa wazembe hivi we ulipie kusoma then itakusaidia nn akati hata Broker humjui ni nan na majukum yake asee watu hawataki kufungua vichwa waelewe cjui kwa nn ma group haya uki challenge unaondolewa niliingia kudukua kinachoendelea huku siku so nyingi watu watapigwa kimjini.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi wanashindwa kunielewa guys. Let me be clear!!

Mimi sina ushindani na mtu yoyote, I don't compete with anyone, I only compete with own myself and set goals.
Wakenya wanakuja kutoa training, that's something we should all be proud of. Inanipa moyo kwamba hivi vitu vyote havikuwepo hapo nyuma (kama vilikuepo basi kwa rate ya chini), but Ontario kawa eye opener. So, ni jambo la kheri kama watu wakitumia huu mwanya kupata knowledge ya forex. It's q beautiful thing - na nikianza ndio watakuja wengi zaidi, which is advantage kwetu sote ktk hii vita ya kutafuta uhuru wa kiuchumi.

Kuna mtu anasema kua labda watu wananitangulia kisa sina pesa... Ni pesa kubwa kiasi gani hadi inishinde?? Kitu kinachonichelewesha ni the whole process ya kuhakikisha kua the programme is sustainable, yani hata nikifa - still someone can push it at the same intended goals. Hiyo ndio the hardest part of it, not money.

Kitu ambacho kitanidepress ni pale watu watakapopewa substandard knowledge at higher fees. Nipo kwenye group 1 la FX, nimeingia asubuhi hii. They are actually organising Wakenya waje for training. Cha kushangaza hao wakenya hata nauli na hela ya maji hawana, inabidi watu wawachangie ndio waje, sasa hivi wanajimobilize elfu 50 - 5p. Mimi nashangaa ni trader gani atakosa pesa ya flight, kwa KQ hua nalipa $190. Trader anataka achangiwe pesa ya accommodation na msosi akiwa Dar. Yani mimi ninachoogopa ni pale watu watakapolishwa matango pori, then jina la forex liharibike na mwishoe forex ionekane kama utapeli. Hicho ndicho kinachoniogofya zaidi. That's all.

Kuhusu jamaa aliyechoma account jana
It was just a bad day, not a bad trade. Ulifanya analysis safi na ukaexecite trade nzuri. Jana kulikuwa na news ambazo awali kwa mujibu wa forecasters zilionekana kuwa positive kwa USD, hata zilipotoka zilibidi ziwe neutral, lkn investors waliamua USD iwe bearish. So, h
 
Vizuri sana mkuu kilimo kina lipa ukiwa serious pia nichukue fursa hii kuwaambia tu wana member Magroup mnayojiundia huko ya WhatsApp mkitapeliwa msije kusema huku jukwaani.Watanzania hawako serious kabisa unajisajili kushiriki coz isitoshe na kulipa utalipa MTU humjui ofisi hujui iko wapi asee kuweni serious Why watu wanakuwa wazembe hivi we ulipie kusoma then itakusaidia nn akati hata Broker humjui ni nan na majukum yake asee watu hawataki kufungua vichwa waelewe cjui kwa nn ma group haya uki challenge unaondolewa niliingia kudukua kinachoendelea huku siku so nyingi watu watapigwa kimjini.

Post sent using JamiiForums mobile app
You don't know anything mawazo finyuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ni lianza na usd 7 ndani ya mwezi mmoja ni mefikisha usd 36 na nikaweza nunua kadi na kutumia kupitia mashine yoyote
9ed99d42b47f175fcb7b31c0895f70f7.jpg
Waswahili bwana mnatabu! Kwahiyo $36 ikakuwezesha kupata kadi ambayo inaonyesha ni prepaid? Inaonekana wengi humu hamuelewi nini ni Forex Trading kwa kukurupuka tu bila kujifunza ipasavyo. Ebu tu enlighten kidogo kuhusu hiyo kadi. Wenye hiyo kadi ni nani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ficha ID yako mkuu au umeamua Ku disclose
Afiche ID wakati ina usd36 au zitakuwa zimeshaliwa by now! Na id gani hisiyo na sura!? There is nothing to hide there for Christ sake!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
I'm back msema kweli mpenzi wa Mungu! Magufuli oyeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa Ontario mbona hatukuon ukiendesha tractor kulima? Wazungu wa SA, Zimbabwe, USA na Europe wanalima wenyewe siyo kutegemea maskini wawalimie! Wao wanalima, masikini/wafanyakazi wanavuna na kusort out mazao. Nyiye mmevamiamia mashamba ya masikini kwa visenti vyenu na kuwalipa peanuts wenyeji, alafu mnajiita wakulima!
Nyinyi ni wajasiliamali ambao mmezulumu land ya wenyeji masikini sababu ni wajanja mnajua fiddling around huko ardhi mkafanikiwa.
Kilio cha hao masikini uliowapiga picha ku show off kumefika mbinguni mjomba! Zurma zurma zurma.
we kijamaaaaa chenga sanaaaa
unataka kuona ameshika Jembe ndo uone kama jamaa analima au??


Una wivu ulio pitiliza aisee au wewe ni jinsia ''ke"?

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

pitia pitia huo uzi ukutoe tongo tongo izo kiazi ww!!
I'm back msema kweli mpenzi wa Mungu! Magufuli oyeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app


Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ontario, natamani uanzishe mpango wa kututumia signals kisha tuwe tunalipia!
Ni mwendo wa kusema uza/nunua

Post sent using JamiiForums mobile app
Broker atakushauri vipi uhuze au ununue? Kweli mmechoka akili sasa! Kilichobakia njaa tupu!
Msema kweli mpenzi wa Mungu...Magufuli oyeeeeee!
 
Broker atakushauri vipi uhuze au ununue? Kweli mmechoka akili sasa! Kilichobakia njaa tu!
Msema kweli mpenzi wa Mungu...Magufuli oyeeeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe ni Ontario?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Ontario?

Post sent using JamiiForums mobile app
Unamsumbua Ontario usiku wote na njaa zako. Watu wamelala wewe unaleta habari ya "signal" utengeneze pesa kama unaokota jalalani! Nenda kazoe taka utapata pesa[emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unamsumbua Ontario usiku wote na njaa zako. Watu wamelala wewe unaleta habari ya "signal" utengeneze pesa kama unaokota jalalani! Nenda kazoe taka utapata pesa[emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
Naona unatafuta kiki tuu maana hata unachokiongea hukijui! In short swali halikuhusu wewe!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naona unatafuta kiki tuu maana unachokiongea hukujui! In short swali halikuhusu wewe!

Post sent using JamiiForums mobile app
Unataka signal kiraisi raisi? Hivyo unafikiri ma broker wapo kwa ajili ya kukunufaisha wewe kwa kukupa signal?Duh! wewe una mawazo ya ajabu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..Magufuli oyeeee!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom