Watu wengi wanashindwa kunielewa guys. Let me be clear!!
Mimi sina ushindani na mtu yoyote, I don't compete with anyone, I only compete with own myself and set goals.
Wakenya wanakuja kutoa training, that's something we should all be proud of. Inanipa moyo kwamba hivi vitu vyote havikuwepo hapo nyuma (kama vilikuepo basi kwa rate ya chini), but Ontario kawa eye opener. So, ni jambo la kheri kama watu wakitumia huu mwanya kupata knowledge ya forex. It's q beautiful thing - na nikianza ndio watakuja wengi zaidi, which is advantage kwetu sote ktk hii vita ya kutafuta uhuru wa kiuchumi.
Kuna mtu anasema kua labda watu wananitangulia kisa sina pesa... Ni pesa kubwa kiasi gani hadi inishinde?? Kitu kinachonichelewesha ni the whole process ya kuhakikisha kua the programme is sustainable, yani hata nikifa - still someone can push it at the same intended goals. Hiyo ndio the hardest part of it, not money.
Kitu ambacho kitanidepress ni pale watu watakapopewa substandard knowledge at higher fees. Nipo kwenye group 1 la FX, nimeingia asubuhi hii. They are actually organising Wakenya waje for training. Cha kushangaza hao wakenya hata nauli na hela ya maji hawana, inabidi watu wawachangie ndio waje, sasa hivi wanajimobilize elfu 50 - 5p. Mimi nashangaa ni trader gani atakosa pesa ya flight, kwa KQ hua nalipa $190. Trader anataka achangiwe pesa ya accommodation na msosi akiwa Dar. Yani mimi ninachoogopa ni pale watu watakapolishwa matango pori, then jina la forex liharibike na mwishoe forex ionekane kama utapeli. Hicho ndicho kinachoniogofya zaidi. That's all.
Kuhusu jamaa aliyechoma account jana
It was just a bad day, not a bad trade. Ulifanya analysis safi na ukaexecite trade nzuri. Jana kulikuwa na news ambazo awali kwa mujibu wa forecasters zilionekana kuwa positive kwa USD, hata zilipotoka zilibidi ziwe neutral, lkn investors waliamua USD iwe bearish. So, h