Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimeiona hii huko IG from one of mentors ONTARIO will bring to TZ for FX, it's very inspiring and motivational. Naona munkali wakuendelea kula shule hapa mdogo mdogo umeongezeka kwa kasi kubwa.

Ukisoma kilichoandikwa hapo you will truly be motivated to keep studying our lovely FX books

BIG UP TO YOU ONTARIO ONCE AGAIN

I AM REALLY EAGER TO BE AMONGST THE BLUE TEAM



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipo Tupo Mkuu. Lets make this happen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God bless & protect you boss,
I hope together we can Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikutie tu moyo kua kila jambo lina kusudi lake mbele za Mungu hivyo huweze ijua sababu ya ww kujikuta uanaanzisha jambo kama hili na kukutana na majaribu mengi.. Imani yangu ni kwanba Mungu anakusudi so never give up..
Lakini nikutie moyo kama tulivyoonyesha imani yetu kwako kwa zaidi ya 2mont jambo kuna wengi waliotafta ustaarabu wao amini kuna kuna wengi sana bado tupo nyuma yako na always tunakuombe ulicho kikusudia kitimie..
Kiongozi Mungu akutangulie sana tupo nyuma yako na tuna zidi kukuombea kwani mafanikio yako ni yetu pia..!
 
Aisee, nimeipenda sana ila kuna kitu ningependa kujua zaidi ww unafungua ofisi na yote mengine unayofanya juu ya biashara hii. Je? once unafanikiwa kumuinroll mtu kwa biashara hii unapata commission?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honger
Hongera sana. Penye mafanikio pana vikwazo pia. Mungu ni mwema. Una timu kubwa nyuma yako. Tafadhali nihesabu ktk watu 300. God bless you.
 
There's thin line between paper and hate friends and snakes
We komaa tu big hommie Ontario
Mpaka haters wasikuchukie ila wachukie pips unazoziona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye nia pana njia pambana mkuu, afe punda mzigo ufike kwa ninavyokujua hakuna linaloshindikana i salute you bro keep it up....@ONTARIO
 
Hivi naweza kupata broker mzuri ambaye atanifanyia trade mimi nikawekeza kiasi cha pesa?
 
Habari ya asubuhi wadau, kwa walioamka na EURGBP ni wangapi? Pia nimetengeneza channel Telegram ntakapokuwa ninatoa signal bure kwa watu mia wa kwanza na channel nyingine kwa mafunzo ya forex kwa wale watu wanaoanza! Unaweza kuni-pm ili nikuunganishe, hakikisha una app ya Telegram! Kuweni na siku njema
 
Kwa wale watakaokua tayari kujiunga namimi katika kuikuza account ya tickmill kutoka $30 mpaka $100 mnakaribishwa, ni kitendo cha kuni-pm tuu ninakuunganisha kwenye channel
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…