Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Nimekupata mkuu, ila ukicheki kwenye hizo payment methods naona credit card ipo hapo, tena ya kwanza kabisa!!
Next time jitahidi kutumia credit card/visa card method (kama una atm card inayosupport online payments) gharama zao ni cheap tofauti na hiyo wire transfer!!
Otherwise rate ya backlays ni affordable kuliko ya equity bank!
Naomba website za hao brokers wanaotoa bonus mkuu ili na mimi niwe mteja wao niongezee ujuzi wanguUshauri kwa ambao tunatumia demo accounts na ambao tunataka kuanza kutumia real/live account lakini tunakwama kwa kukosa uwezo!!
Habari wadau!!!
Leo nimeona si mbaya kama tukapeana hints ambazo kwa namna moja au nyingine zitatusaidia kutujenga hasa katika nyanja ya forex kwa ujumla wake!!
Kwanza ni lazima tufahamu demo account zina umuhimu mkubwa sana katika ku-implement kile ambacho tumejifunza kwa nadharia! Pia demo account ni kama test ya kutupima yale tuliyojifunza katika vitabu na videos!!
Lakini kwa mtazamo wangu (narudia tena, mtazamo wangu) demo account hazitupi uhalisia wa soko lilivyo, mind you sisemi kwamba ni mbaya la hasha ni nzuri tena sana tu!! Ila ni vyema tunapoanza kutumia demo account kuhakikisha kiasi tunacho-set kama capital kiwe kidogo chini na kiwe kina akisi uhalisia!!
Kufanya mazoezi kwa ktumia account yenye 1,000,000 USD si kwamba ni vibaya, ila haikupi uhalisia wa mambo yalivyo katika live account hasa kwa sisi tunaoanza (labda kama unataka kuanza kutrade kwa kutumia 1million dollas)!!!
Now what to do??
Hapa nna mawazo mawili ambayo nna uhakika unaweza yatumia yote au moja wapo!!
1. Wakati wa kufungua demo account ni vyema kuhakikisha tunaset amount iwe chini sio kuanza na demo yenye 1mil dola!!
2.Kufungua real account!!
Sasa hapa kwenye real account naomba nifafanue zaidi!!!
Kama tunavyojua kuna brokers wengi na kila broker ana sifa zake!! Naamini kama unapitia vitabu utakua ushaona au umejifunza aina ya brokers!!
Ni vyema pia ukajua kwamba ku trade na real account kwa baadhi ya brokers sio lazima uwe na cash, yaani sio lazima u-deposit pesa ndio uanze ku trade!!! Kuna brokers ambao wanatoa kitu kama bonus ambayo inakuwezesha wewe kama trader kuitumia katika ku trade (live na sio demo)!!
Mfano kulingana na ushindani wa soko, kuna brokers wanatoa bonus ya dola 30 wengine mpaka dola 100 (huwezi withdraw hii bonus)!! sasa unaweza tumia hii bonus katika ku trade nayo kabla hujaweka pesa (hasa kwa wale wenzangu ambao kiasi flani tunakwama kufungua live account kwa kukosa uwezo)!!! Trust me, hii itakupa nguvu sana hasa pale utapotaka kuweka pesa yako na kuanza ku trade!!!
Uzuri wa bonus ni kwamba unapewa free (kwa baadhi ya brokers) ukifungua live account na unaweza trade nayo ukapata faida pia ambayo utaku-boost ukija kuweka cash!!
My advice to you guys!!!
1. Anza na demo account ukiiweza hamia kwenye live account yenye bonus!! Sio lazima utumie bonus, pia unaweza kuweka kiasi kidogo cha pesa ukaanza nacho maana kuna brokers wana kubali kudeposit minimum amount kuanzia dola 5 wengine mpaka dola moja!
2. Na kama unataka kuanza kutrade live account, may be kidogo mambo hayako sawa au umetumia demo account mda mrefu na unataka challenges za live trading bila risk kubwa...to me, this is the best way!! Fungua live account then apply bonus then anza kutrade, suingoje uanze ku-trade ukipata pesa!!!
Belive me, ukiweza kuizungusha bonus account bila kuichoma (and even if ikitokea umeichoma maana sometimes inatokea), utakua umepiga bonge la hatuaaa!! na zaidi ya yote utakua umepata experience/uzoefu wa utamu na uchungu wa forex ambao kwenye demo pekee huwezi kuupata!!
Tutumie demo accounts, ikiwezekana tuset amount ndogo, ukiizoea demo na kama huna uwezo kifedha kutrade kwenye live, usisubiri mpaka uwe na uwezo! unaweza fungua live account kwa broker yeyote anayetoa bonus, then ukaitumia hiyo bonus kutrade mpaka hapo utapokua na uwezo au utapoona umeridhika kuweka pesa yako!!!
Tuendelee kujifunza, NAIMANI tutajifunza mengi zaidi ONTARIO akiweka mambo yake sawa!!
Wako katika kujifunza,
Lodrick Thomas (Eng.)
MasterCard inakubaliwa na hao brocker ?Nimekupata mkuu, ila ukicheki kwenye hizo payment methods naona credit card ipo hapo, tena ya kwanza kabisa!!
Next time jitahidi kutumia credit card/visa card method (kama una atm card inayosupport online payments) gharama zao ni cheap tofauti na hiyo wire transfer!!
Otherwise rate ya backlays ni affordable kuliko ya equity bank!
heheh mkuu Jf imejaa nyuzi za MMU hadi nakereka yani ukienda insta kule ni umbea tu ukirudi fb ni utoto utoto tu! yaani ukitafakari utagundua ss watz tukiweka bando hamna cha maana tunachofatilia mitandaoni zaidi ya udaku! tangu nimeuona Uzi huu sichezi mbali nao bahati nzuri nimebahatika na kujiunga na magrp yanayohusiana na kitu hiki yaani nimebadilika haswa nikitembea najiona kuwa ninakitu kichwani bacho wengi wa vijana hawana japo safari ndefu ila naimani nitafika tu!!bora nyie mliojifungia huku mnatengeneza pesa.sisi ngoja tuendelee kusumbuana na wakina lipumba
AstrofxReminder:we trade for pips and not for money,if you trade for pips money will follow!
Sent using Jamii Forums mobile app
AF mimi napendekeza hii thread iondolewe aisee wengi wetu humu tumeshafahamu nahisi kabisa mabank yataweka umoja wao nakupinga hichi tunachofanya kwa serikali ili tuonekane tunakiuka hivyo kufanya tunapoteza hili dili maono yangu lakiniheheh mkuu Jf imejaa nyuzi za MMU hadi nakereka yani ukienda insta kule ni umbea tu ukirudi fb ni utoto utoto tu! yaani ukitafakari utagundua ss watz tukiweka bando hamna cha maana tunachofatilia mitandaoni zaidi ya udaku! tangu nimeuona Uzi huu sichezi mbali nao bahati nzuri nimebahatika na kujiunga na magrp yanayohusiana na kitu hiki yaani nimebadilika haswa nikitembea najiona kuwa ninakitu kichwani bacho wengi wa vijana hawana japo safari ndefu ila naimani nitafika tu!!
My assumption is...wadau, tujulishane njia nzuri ya kudeposite na kutumiwa fedha na broker pale tupatapo faida baada ya kutrade forex, mimi nimefungua account katika benk ya Equity bank posta. nilimueleza nahitaji account ambayo naweza fanyia biashara za mtandao ikiwepo na forex busness aliniambia hakuna haja ya kufungua account ya fedha za kigeni, fungua account ya kawaida ila tutakupa viza kadi, ndani ya dakika 20 nilipata visa card iliyounganishwa, tatizo sijui niazie wapi sasa, msaada kwa wajuz
Kwa mujibu wa mleta mada trainings zitaanza soon!!...wenzetu mnajifunzaje?
Zote zinakubaliwa!MasterCard inakubaliwa na hao brocker ?
Kwa mujibu wa mleta mada trainings zitaanza soon!!
Asante kwa taarifa mkuu
Mimi sioni kama ni sahihi uzi kutolewa, maana kila siku member wapya wanajiunga JF! So itakua faida kwao pia!!AF mimi napendekeza hii thread iondolewe aisee wengi wetu humu tumeshafahamu nahisi kabisa mabank yataweka umoja wao nakupinga hichi tunachofanya kwa serikali ili tuonekane tunakiuka hivyo kufanya tunapoteza hili dili maono yangu lakini
kweli kabisa shaka yangu ili kuwa hapo kupata kibali sababu yeye mwenyew alisema mabenk walikuwa hawataki watu wajue kila mtu aliyejiunga hapa sasa aone jf ni tofauti na mitandao mingineMimi sioni kama ni sahihi uzi kutolewa, maana kila siku member wapya wanajiunga JF! So itakua faida kwao pia!!
Sizani kama mabenki wanaweza kuzuia, na kama mafunzo yakianza ina maana jamaa atakua amepata kibali!!
Ila ina case nchi ikizuia tutaamia South au hata hapo Kenya kuendeleza mapambano!!
Mimi sioni kama ni sahihi uzi kutolewa, maana kila siku member wapya wanajiunga JF! So itakua faida kwao pia!!
Sizani kama mabenki wanaweza kuzuia, na kama mafunzo yakianza ina maana jamaa atakua amepata kibali!!
Ila ina case nchi ikizuia tutaamia South au hata hapo Kenya kuendeleza mapambano!!