Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu huyu mkuu "MAPENZI MATAMU " aliahidi ya kuwa kuna kitabu safi kabisa kwa ajili ya sisi beginners ,japo alisema huwa hajibu Pm lakn naona kidogo kwangu mm nimepata bahati kanijibu japo imechukua mda kunijibu ila hajatuacha tupu kwa bahati kanipa kile kitabu ,,,kutokana na ubusy wake kaniomba kushare nanyi hapa ...hvo kitabu ni hiki hapa[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki hapa[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Asante Eng, Nimeshasoma vitabu vilivyowekwa hapa na nina demo account ya jpm markets na MX Ambao wote wanatumia Platform 1 ya META4, ni kweli exchange rate za Equit ni kubwa sana je naweza kufungua account ya dola nikawa na nunua dola kariakoo kwa best price mfano jana nimekuta 2246/dola, ila account ya dola equit wameniambia hawatoi kadi sasa najiuliza nitadeposite vipi kwa broker, naomba nijuze@LodrickThomas
 
Ubarikiwe mkuu kwa kufatlia zaidi tunamshukuru mkuu mapenz matam ka moyo wake wa kujitoa jamani mimi naomba tuendelee kupeana mirejesho hapahapa kwenye uzi.
 

this is international bussiness!...hakuna mtu anaeweza kuizuia.Trump mwenyewe anaifanya sana hii
 

Hongeara sana!!

Hata mimi nilipata hiyo challenge! equity rate zao ni kubwa, nilikua na wazo kama lako la kufungua account ya dola ila nikakwama kwenye card!! Unaweza watumia email broker wako ukamuuliza jinsi ya kudeposit kama hauna card ukasikia wanasemaje!!

Pia Unaweza ukaanza na equity then next time utatafuta bank ingine kama bankABC, bankM, a FNB kati ya hawa wenye rate ndogo utaweza watumia!! Binafsi nimeplan kufanya hivi!!

Japo unatakiwa ujue XM wanaendekeza kama ukideposit na account yako kwenye kutoa pesa hasa faida ni vyema ukatumia the same account (unaweza ukawasiliana nao pia ukawauliza)!

Ukitaka kudeposit unalogin kwenye account yako utaona maelezo humo jinsi ya kudeposit!!

Kila la heri!!
 
Thanks he we go, naplan tarehe 1 nianze real account, I don't care, lets me starts so that I can learn more
 
Mkuu najua hutashindwa.

Nakihitaji hiki kitabu.

Pls do the needful.

The New Tycoons: Inside the Trillion Dollar Private Equity Industry That Owns Everything by Jason Kelly
Ndio hiki mkuu? nimeshindwa kuweka link tu
 
Mkuu fungua a/c i&m bank, unapata kadi ya dola bila a/c au uwe nayo. Mini ni $60 ambayo waweza kuituma au kuwithdrawal pia
 
Ningependa kumshukuru Mr Ontario kwa kuleta huu uzi humu JF ingawaje alileta tu uzi then hakutaka kujibu sms zetu pm na wala hakuweka njia ya kumpata yeye private lakini yote kwa yote ninamshukuru sana ninakiri bila huu uzi kuletwa humu sijui Forex ningeijulia wapi nimefanya network nyingi sana lakini kama mnavyojua watu wa network mafanikio kwenye network marketing yapo lakini ni ya kusubiria baada ya miaka kadhaa hivyo kwa siku za mwanzoni unajikuta una pretend like millionaire kumbe siri za uchumi wako anaeijua ni mifuko yako tu hivyo kupitia uzi huu wa Mr Ontario umenifumbua macho nikapiga chini kila kampuni niliyokuwapo hapo awali nikaanza kufuatilia hii issue kwa rafiki yangu ambae ni mkenya akaniambia kuwa anaifahamu na hivyo nikamuomba muongozo na akaniahidi kunipiga tafu katika kumanage account yangu ambayo ni real ili kwamba huku najifunza na huku niwe naendelea kugonga pesa hiyo alinipa kama golden chance Mana nilimlaumu kwanini hakuniambia hiki kitu before kumbe anakijua kina faida na kipindi hicho hicho na yeye alikuwa ni downliner kwenye kampuni fulani nikaona kama alikuwa ananichora akaniambia kuwa kipindi tunahangaika na network marketing hizo zingine huku yeye alikuwa anaendelea kujifunza Forex hivyo baada ya makubaliano yetu nikamtumia pesa kwa ajiri ya account management nikaendelea kutafuta ujuzi wa hii kitu mpaka nimekutana tena na waalimu wengine kutoka South Africa kijana niliyebahatika kukutana nae ni msouth lakini anaweza kuzungumza na kiswahili kama unavyojua south Africa kuna vyuo kibao vya Forex unachagua tu uende ukajifunzie wapi hivyo nikazungumza nae anaitwa Mr Brotha Ayo hivyo tupo kwenye mipango ya kuwashusha hawa jamaa kutoka South Africa waje bongo kufundisha hiki kitu unaweza kutembelea website yao hii

https://send-trade.com/event/forex-trading-seminar/
Utasoma maelezo yote na unaweza kulipia kabisa ada yako hapo kwenye website yao kwa sababu kila kitu kimeelezwa humo kwenye hiyo link tena kwa lugha yetu mama ila ukiona huelewi basi wewe nitumie sms pm ili nikusaidie tatizo lako namba zangu za simu sitoweka hapa ila nitazitoa kwa mtu ambae ni serious ndo nitakupatia namba ili tuzidi kuwasiliana.asanteni sana wana jamvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fungua a/c i&m bank, unapata kadi ya dola bila a/c au uwe nayo. Mini ni $60 ambayo waweza kuituma au kuwithdrawal pia
sijakuelewa mkuu unakuaje na kadi ya dola bila kuwa na account, pili utadroo wapi dola ukitumiwa , ufafanuzi please@QUIGLEY
 
NAONA MUNA ANZA KUTEMBELEA NYOTA ZA WATU, umeanza vizuri umemalizia biashara
 
sijakuelewa mkuu unakuaje na kadi ya dola bila kuwa na account, pili utadroo wapi dola ukitumiwa , ufafanuzi please@QUIGLEY
Chukua hatua fika bank ya I &M bank, wanayo hiyo huduma, unapewa kadi utakayoweza kujaza dola zako ambazo unaweza kuzituma au kuzitoa kwa atm
 
Watanzania mtaibiwa sana kwenye hii issue msipokuwa makini. Kuna wezi wengi sana na soon wengi mtarudi hapa mnalia. Mm nashauri subirini kwanza Ontario atupige pindi na tujue red na white or black na red then ndo kila mtu aanze movement za hapa na pale.
Niwape Siri moja hakuna watu walio na huruma Kama watanzania akiwa na Nia ya kukueleza au kukusaidia atakusaidia. Aisee watu wengine hao mtalia, alafu wengi hapa hamna experience na scammers.
Really mtalia, mtalia sana na wengi mtaona aibu kutoa ushuhuda hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…