Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
EUROJPY, M30

Double bottom.PNG
 
Pennat formation kwa sasa katika XAUUSD, Muda wowote ule tutegemee Continution ya uptrend kwa candle size ya base ya rectangle. since pennant ni continuation pattern.

Penant gold.PNG
 
FNB wana account inaitwa Golden account ambayo utachajiwa sh 16,000 tu kwa mwezi n autaweza kufanya kia kitu bure....wanakupa visa card na utaweza kutoa pesa kwenye atm yoyote BURE pia watakuunganisha na oline banking na utaweza kufanya transactions online BURE na pia utaweza kutuma na kupokea pesa popote duniani.
KARIBU

Hii tamu dodoma hakuna tawi sasa , nafanyaje maana swala ku withdraw $ kutoka kwa broker ni shida sana kwangu.
 
Habari ya asubuhi wadau, kwa walioamka na EURGBP ni wangapi? Pia nimetengeneza channel Telegram ntakapokuwa ninatoa signal bure kwa watu mia wa kwanza na channel nyingine kwa mafunzo ya forex kwa wale watu wanaoanza! Unaweza kuni-pm ili nikuunganishe, hakikisha una app ya Telegram! Kuweni na siku njema

Mbona hamfundishi namna ya kuwithdraw $ kutoka kwa broker. Nyie ni signal, training mbona mnatupeleka kwenye matatizo.
 
Swali kwa Ontario, siku zote si siku njema za kufanya trading. Na kwa mujibu wako all days almost unafanya trading. Unapenda kutumia price action sana rather than indicators. Price action ina rely zaidi katika patterns, patterns si kila siku zinatokea. Je ikitokea siku hakuna pattern setup iliyo clear, how do you make a trade.?

CC: Ontario.
 
PROOF OF RESIDENCY;

Wakuu, Naombeni msaada tutani
. Kwa sisi ambao hatuna bills under our names inakuwa tabu kidogo kuproduce a proof of residency. Tupeane hints wewe ulitumia document gani as proof of residency. Nimeona option ya Bank statement ila sasa sijajua kama wataikubali sababu natumia NMB na haioneshi address at the top.
 
Katika kuendelea na analysis za forex kwa hii pair, Nimeintroduce FIBONACCI. From it naona inatest 38% level. Level ambayo ni very supportive kwa uptrend market. Hivyo tunatarajia ascending ya candle (bullish movement). So trade long kwa kuweka stop loss, 10 PIPS below 38% level, Na take profit around at 10 PIPS above 0%

EURJPY.PNG


snipin.PNG
 
PROOF OF RESIDENCY;

Wakuu, Naombeni msaada tutani
. Kwa sisi ambao hatuna bills under our names inakuwa tabu kidogo kuproduce a proof of residency. Tupeane hints wewe ulitumia document gani as proof of residency. Nimeona option ya Bank statement ila sasa sijajua kama wataikubali sababu natumia NMB na haioneshi address at the top.

Bank statement inatosha kutumika kama proof of residence.
 
asante saaana kaka ubarikiwe mnoooo
Wakuu huyu mkuu "MAPENZI MATAMU " aliahidi ya kuwa kuna kitabu safi kabisa kwa ajili ya sisi beginners ,japo alisema huwa hajibu Pm lakn naona kidogo kwangu mm nimepata bahati kanijibu japo imechukua mda kunijibu ila hajatuacha tupu kwa bahati kanipa kile kitabu ,,,kutokana na ubusy wake kaniomba kushare nanyi hapa ...hvo kitabu ni hiki hapa[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom