Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pennat formation kwa sasa katika XAUUSD, Muda wowote ule tutegemee Continution ya uptrend kwa candle size ya base ya rectangle. since pennant ni continuation pattern.

 

Hii tamu dodoma hakuna tawi sasa , nafanyaje maana swala ku withdraw $ kutoka kwa broker ni shida sana kwangu.
 

Mbona hamfundishi namna ya kuwithdraw $ kutoka kwa broker. Nyie ni signal, training mbona mnatupeleka kwenye matatizo.
 
Swali kwa Ontario, siku zote si siku njema za kufanya trading. Na kwa mujibu wako all days almost unafanya trading. Unapenda kutumia price action sana rather than indicators. Price action ina rely zaidi katika patterns, patterns si kila siku zinatokea. Je ikitokea siku hakuna pattern setup iliyo clear, how do you make a trade.?

CC: Ontario.
 
PROOF OF RESIDENCY;

Wakuu, Naombeni msaada tutani
. Kwa sisi ambao hatuna bills under our names inakuwa tabu kidogo kuproduce a proof of residency. Tupeane hints wewe ulitumia document gani as proof of residency. Nimeona option ya Bank statement ila sasa sijajua kama wataikubali sababu natumia NMB na haioneshi address at the top.
 
Katika kuendelea na analysis za forex kwa hii pair, Nimeintroduce FIBONACCI. From it naona inatest 38% level. Level ambayo ni very supportive kwa uptrend market. Hivyo tunatarajia ascending ya candle (bullish movement). So trade long kwa kuweka stop loss, 10 PIPS below 38% level, Na take profit around at 10 PIPS above 0%



 

Bank statement inatosha kutumika kama proof of residence.
 
asante saaana kaka ubarikiwe mnoooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…