Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
naweza sema fx ni kama beiskeli ukishajua umejua...swari la kujiuliza hao wanaujua kwanini wameweza Mimi nashindwa wapi? siku zote hamna mafanikio yanayokuja kirahisi ndiyo maana unaambiwa usome kwanza uelewe, unadhani ingekuwa kitu cha utapeli hivyo vitambu vingeandaliwa vya nini? forex ni elim kama elim zingine tena ile elim ngumu ndiyo maana wengi wanafeli sababu siyo kitu rahisi cha kujifunza Leo harafu kesho uingie sokoni.

kuhusu Ontario kutoa elim hii hadhalani ili watu waijue kwanza nampongeza japo wengi wanambeza kwa kumwita kila aina ya majina namshauri asikate tamaa apambane atimize lengo la kuwakwamua vijana wa ktz najua hamna hustle isiyokuwa na faida tena akikamilisha vijana wengi wakqjinoa wakaielewa soko nadhani ontario atakuwa ni broker mzuri tena ambaye tunamfaham tena mtz mwenzetu Yale masuala ya kujiuliza ni broker gani mzuri ili uingie sokoni yatakoma!!... ONTARIO KAZA BUTI KIJANA TUKO NYUMA YAKO JAPO SAFARI NI NDEFU TUTAFIKA TU!
 
kwani watu hua mnalazimishwa kuja kwe uzi huu, baki na huo huo wa ufugaji wa kuku unakufaa utuondolee giza huku,
 
Please jaribu kuelewa Forex trade is not Gambling is an investment wengine inaowakimbiza ni wale wanaoichukulia hii biashara kama gambling na kumbuka hii ni biashara kama biashara zingine....Na ndo maana kuna watu wanafuga Kuku na bado kuku wote wanakufa lakini mtu bado anaendelea.. please usiwakatishe tamaa watu wenye mioyo dhaifu na Kumbuka Forex sio ya kila mtu Koo waache watakoweza....Na kama ameamua kuweka huu uzi ujue lazima kuna side mbili hata kama atakuwa Broker still atafaidika na wengine pia watapata Faida...Kumbuka kauli ya JK wewe Ukitaka kula sharti uliwe
 
Mkuu embu naomba tuwaze wote!!

Ni kweli market markers (according to books) wanasema ni wabaya in a sense that they always try to go against your order! Lakini kama ni wabaya kwanini wako sokoni mpaka leo? kwanini hawafungi ofisi zao kwa kukosa wateja??

Kuna market brokers wengine wanazaidi ya miaka 10 sokoni na mpaka leo wapo na wanapata tuzo mbali mbali kwa ufanisi wao!!

Sasa tujiulize kama ni wabaya kwanini mpaka leo wapo sokoni??

Kwa nnavyojua (and experience offcoz), kupata faida au hasara ni mtu kama mtu (wewe mwenyewe) na sio broker!!
 
Forex ni taaluma kubwa kweli kweli inataka kuwa mtafiti haswa sio kitoto,Warren Buffet can read and digest any 500 pages per day,then ndio anafanya decision, sasa sisi wabongo hata kusoma vitu serious hatuwezi tunataka magazeti ya udaku tu.Ebu jaribu kusoma hata vitabu alivyopendekeza chief Ontario utaona unapata mwanga.Wale wanaosema Forex is like gambling or madawa ya kulevya ni wale wanaotaka simple stuffs that's why Forex is not for everyone wapo watakao master na wapo wanaosepa na ndio wanaosema kuwa Forex ni majanga kumbe hakuna kitu wanajua,na wanaojua tunajua hakuna any international commercial activities take place bila currency exchange so Forex is there.Tunatakiwa kujifunza na kujua ndio watu waje waseme ni utapeli ama la.Ukisoma vitabu utajua big players of Forex au financial market.Governments,,Investment Funds,,Major Banks,,Corporations,,na Traders so watu wajifunze sio wajseme ni utapeli labda waseme ni biashara ngumu sana na ugumu unakuja kama mtu hayuko willing kujifunza.Nawasilisha kwa wote wanaokatisha tamaa wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni kweli mkuu.. Ni changamoto kwa kweli kuhusu hizi categories mbili za Brokers (DD&NDD).
Mimi hiyo analysis nimeipata from a Certain website! Let me share na wengine mjaribu kupitia probably tunaweza uliza maswali tukapata uelewa zaidi kwa pamoja!!

Pitia hii link hapa:-
Types of Forex Brokers and True Comparison
 
naona watu wameanza kuwa wadogo hapa.

kuna fursa nyingine mtu unashindwa hata kuwaambia familia maana wanaweza kupoteza pesa nyingi na undugu ukaisha;
;

Awali ya yote NNA UHAKIKA 99.2% Kwamba you are a BANKER. Sasa utanifanya nianze kuelewa maudhui ya heading ya huu uzi!!



MKuu kama wewe ni banker am so sure umesoma uchumi! na kama umesoma uchumi unakumbuka topic/kozi iliyokua inaitwa FOREIGN TRADE au foreign exchange? Unajua kwanini mlikua mnafundishwa mkiwa chuoni?


Hapa nitapenda kumtaja George Soros nadhani ushamsikia walau kidogo, kwa kifupi ni among the richest people in this world!!

Piti na hii link utawaona wengine...

10 Richest Traders in the World | Forex.Info

kwanini watu wenye akili zao wameajiriwa serikalini au kwenye makampuni hawana muda na FX;

Kwanini watu wenye akili zao kama akina Soros akina billget wamejiajiri na hawana muda na ajira za serikali?

Pia kuna uwezekano haijui hii biashara na ndio maana mleta mada kaileta na huku kwetu!!

kwanini kwenye jamii forum watu bado wanaulizia biashara ya kuku na hii thread ya FX iko hapa?
Jibu ni rahisi, si kila mtu atafuga na sio kila mtu atafanya forex. Yote haya ni kwasababu ya interest, na mtu anapenda kufanya nini kwa ajili ya kipato!!
kwanini alianzisha huu uzi ameamua kuwapa hii elimu na angeweza kutengeneza pesa? kwasababu anawapenda?
Sasa mkuu wangu ulitaka atuchaji pesa? wewe kama banker am sure unajua maana ya biashara je umejiuliza kwanini coca cola wakitoa soda mpya au toleo jipya wana wapa watu bure (hii niliona kwa macho yangu Arusha, pale tengeru sokoni) alafu baada ya hapo wanaanza kuuza?

Bidhaa mpya inapokuja sokoni usitarajie uuze kuanzia day one, lazima uwatangazie watu na kuwapa waitest kama inawezekana then from there ndio unaanza kuwachaji!!

Long strory short, jibu ni kwamba anatangaza biashara yake na pia anatupenda kama watanzania/watanganyika wenzake!!

ILANI: forex trading ni kama madawa ya kulevya, cocaine, heroine.. usipoangalia unaweza kuwa jambazi ili upate pesa ya kuweka kwenye forex trading account
Na ndio maana kila anayefanya forex anashauriwa awe na nidhamu!!

Naungana na wewe kwamba kwamba hii biashara ni very very very risky na ndio maana tunatumia muda mwingi kusoma na kuelewa kupitia vitabu na experience!!

Nadhani wewe kama banker tungehitaji sana mawazo yako hasa katika forex/biashara kwa ujumla na banking systems!!

Na sio kwamba tunahitaji mawazo tu bali na challenges kama hii uliyoileta hapa ni za muhimu sana!!

Karibu sana ndugu!!
 
FOREX is not for every one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejiridhishaje kuwa hao ndo genuine? Na ni njia gani ambayo unaweza kutumia kujiridhisha kuwa broker flani ni geinuine?
 


VIZURI.

Tofauti kubwa kati yako na wengine naojaribu kuwasaidia ni kwamba, wewe Bwana Thomas, ni kwamba unafikiria, wale wengine ni hisia tu.


Kwenye saikoloji ya kufanya forex trading, wataalamu wanasema kabisa, mwanadamu anaendeshwa na force mbili, HISIA (emotions/shouting/heart) na AKILI (reasoning/thinking/brain);

Mtu anayesikia kutukana tu mtu bila kukaa na kufikiri ameambiwa nini, huyo mtu hata maisha yake, mara zote usikia vibaya baadaye kuhusiana na maamuzi aliyochukua;

Mtu anayetumia akili/reasoning mara zote huwa hata akifanya makosa, uinuka na kuendelea, ila mtu anayekurupuka, yaani ni matatizo maana baada ya muda atachoka;


Kuwasaidia kidogo:

Hedge Fund/Investment/Wealth managers, Soros, Buffett hawa sio traders wao ni short/long term investors; hawa hawatumii vitu kama STOP LOSS sijui TAKE LIMIT – huwezi kukuta Waren Buffet amenunua EURUSD akaweza Stop Loss kwenye position. Eti anatumia bull flag/bear flag/MACD au RSI indicators.

Sasa kuwa investor ndio way forward – HOW?

Kwa mtu aliyeko TZ –

  1. Fungua USD 100,000 REAL account

  2. Weka pesa ya kutumia for 3 years bila kufanya kazi yoyote

  3. Fungua sio zaidi ya position 2 kwenye account – aim to make 25% per year ($25,000 pa)
Sasa niambie Wa TZ wangapi wanaweza HAYA? – hii biashara kwa TANZANIA, tatizo sio watu, tatizo ni Shilingi.
 
Wewe umejiridhishaje kuwa hao ndo genuine? Na ni njia gani ambayo unaweza kutumia kujiridhisha kuwa broker flani ni geinuine?

Mkuu kama umeangalia vizuri kwenye ujumbe wa Lodric nimeweka link ya Broker reviews. Ngoja nikuwekee hapa na wewe upitie yaweza kukusaidia kupata majibu ya swali lako Mkuu.

Real Forex Brokers Reviews
 
Pitieni pia hii link.
Anaonyesha kuwa Inawezekana kabisa mkaexcute the same trade position at the same time and the same platform but with Different brokers kwa broker mmoja ukapata faida na broker mwingine ukapata hasara au kote ukapata faida ambayo inadiffer sana wakati trade imekuwa executed at the same time.
Jaribuni kusoma hii link may be mwaweza pata cha kuongeza kuwajua vizuri mabrokers!!
Truth about Forex Brokers
 
Una mawazo mazuri sana mkuu wangu, na niliwataja hao akina Soros (nashukuru umemuongeza na buffet maana nilimsahau) maana uliuliza kuna mtu anayefanya hii mambo na akafanikiwa!!? Nashukuru hapa tumeelewana mkuu!!

Pia wazo lako la 100,000 USD ni zuri lakini siamini kwamba ili uwe forex trader ni lazima uwe na pesa zote hizo otherwise brokers wasingeweka minimum amount mfano 100USD au 200USD!!

Hicho kiwango ulichotaja ni cha watu akina Soros na akina buffet, sisi ndio kwanza tunaanza so sizani kama kuna ubaya mtu ukianza tarabu, infact hata wewe hukuzaliwa alafu ukawa banker nooo ulianzia chini(possibly nursery) baada ya miaka ya training(s) ndio ukawa banker the same applies to forex my friend!! huwezi ukaanza na 100,000USD even if mtu angekua nazo!!

Good news ni kwamba you know something about forex, sizani kama itakua mbaya kama ukiendelea kutupa mawazo yako na challenges pia!! Naimani utatusaidia wengi!!

Once again, You're welcome!!
 

Mimi sidhani kama kuwa investor ndo the way forward. Sisi hapa we are interested kuwa Traders not Investors!
 

Pia nadhani amesahau concept ya Leverage inavyofanya kazi! Kuanza na trade account balance ya USD 100,000 mmhh nani angeingia sasa!!
 



Umeniwai tena nilitaka nimkumbushe kuwa alisema hakuna bilionea duniani ambaye ni trader.

Kwa kifupi huyu bwana anaielewa hii Biashara ndani nje sema tu ni mkatishaji tamaa mkubwa.

Ila sidhani kama hata hao akina Soros au Warren baffet walianza na hyo 100k anayosema inawezekana Kabisa walianza labda na 10k+.

Biashara ni kujenga mtaji unaweza anza hata na 0.5k ila ukaipandisha Mdogo Mdogo mpaka Ukifika hata 10k cha msingi ni kutokuwa na tamaa...maana tamaa kwenye hii Biashara kwa kweli ni Majanga.

Mkuu iArmaniAdamson tupe maujuzi mkuu wangu....mkuu ONTARIO katufungua macho na wewe ni jukumu lako kama mtanzania mwenzetu kutumwagia Madini zaidi..sisi wote ni watanzania...hautajisikia faraja endapo siku moja watu zaidi ya mia 500 watakuwa na uhakika wa maisha kwa ajili yako mkuu???na wakiangalia walikotoka wwanakuona wewe mkuu.
 
Mimi sidhani kama kuwa investor ndo the way forward. Sisi hapa we are interested kuwa Traders not Investors!


Kuweka maneno vzuri zaidi mwambie ss tunapambana kuwa retail traders ambao tumegawia kama ka 1tr+USD kwenye ile 5tr+ daily volume kwenye fx...ndo maana tuna uwezo wa kuanza hata na ka dollari 5. Hao wakubwa wakubwa wana uwanja wao sisi hatuwezi cheza nao..uzuri soko limeweka mtu ajikune pale mkono unapofika..cc iArmaniAdamson
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…