Huyu Armani huyu, nimesoma vzr sana conversation hapo juu, he purely knows about forex and maybe he is a trader.
Sasa kuna vitu vitatu au vinne:
Kwanza, maybe he learnt forex in the hard way, ambapo alipoanza tu akawa anadonate pesa kwenye market, yani yeye kila siku alikua anapoteza, kiufupi alikua hatambui nini anafanya sokoni, so kwa experience hiyo anahisi hakuna successful retail traders.
Pili, huyu jamaa anaweza kuwa lile kundi la watu wenye roho ya kwanini, ni sawa na wahindi. Hawa jamaa wameanza kutrade muda mrefu sn, lkn kamwe hawezi kutoa siri, anamfundisha mwanae na mtoto wa dada'ke kisha wanapiga pesa kimya kimya, ni wale watu wanapenda wa-accumulate utajiri mkubwa sana kisha watu wasio na kipato waanze kuwalamba miguu. Sasa akiona watu wanachomoka, he feels threatened kua hakuna mtu atakayekubali kumlamba miguu.
Tatu, kama ulisoma vzr ile screenshot ya bio yake iliyoletwa na Lodrick, utagundua jamaa anarun capital group na bond house, hivi ni vitu vinavyotenganishwa na trading kwa mstari mwembamba sana. Hivyo jamaa anafeel so insecured kwamba Ontario labda anaanzisha same thing na yeye atakua knocked out of the game. Boss my principle is that, I never compete with anyone, I only compete with my own goals and visions, that's the only way I dominate.
Hoja zake za kitoto toto hata newbie ambae kasoma chapter 1 ya
Millionaire trader How everyday people are beating Wall street at it's own game anaweza kumwelewesha. Mzee baba km unatafuta trader aliye successful, wala usiende mbali - am here, sijamake millions in the market, lkn nilipoanza na nilipo sasa kuna utofauti mkubwa sana. Huwezi nilinganisha na banker wa bank yoyote mzee, mshahara wa mwezi wa manager wako naweza kuupata in a matter of minutes.
Back to our thread
Guys yani kiuhalisia ilibidi hii ngoma ianze hii wiki, yani jana J3. Nimeshapambana in all ways, lkn kuna vitu vipo nje ya uwezo wangu. Gharama ambazo nilipanga awali kwaajili ya hii project zimeongezeka karibu mara 3 ya gharama ambazo nishatumia hadi sasa, na bado mambo hayajakamilika.
Nikaamua niongeze pesa zingine zaidi ili nikamilishe na tuanze haraka iwezekanavyo lkn hapo ndipo hujuma ilipotokea. Nikachomoa $15,000 from my trading account, sasa hivi ni kama wiki ya 2 kuna sehemu wanazizuia bila sababu. Nilipokua nasema - hakuna bank itataka uijue forex, sikua naleta mzaha. Kila mara pesa ikitumwa inakataliwa na wenye madaraka yao, bila sababu ya kueleweka. They feel so insecured, mtu mwenyewe wanaepambana nae ana miaka 23 tu [emoji23].
Hii ndio feedback ninayopewa:
nimeficha jina la bank servant
Picha ya kwanza inaonesha kabisa kua $14,800 imetoka kwenye account ya broker wangu, na imeelekezwa kuja kwa account yangu hapa Bongo. Yani transaction iko successful.
Picha ya pili inaonesha transaction imekua rejected by international blah blah, na hivyo wameshindwa kuallocate pesa kwa bank yangu, so wanairudisha kwa broker wangu.
Hujuma za ki3ènge kabisa aisee, tena mchana kweupe. But it will get sorted out. Watu tushatatafuna ng'ombe mzm iweje mkia tuushindwe.
Let's keep patience na tuendelee kusoma wazee baba. Sihitaji mwanafunzi kilaza, km unajijua ww ni kilaza bora uniombe ushauri kuhusu kufuga kuku (been there, done that)
===============================
Na kwa wale ambao muda wote mnanilaumu kua nachelewa, nimekua mzito nk nk. Najua ni kiasi gani napambana na hali yng, nimekutana na mambo mengi sn hapa kati, mengi haswa, siwezi nikawa nasema kila kitu hapa, but trust me I've stand to be strong, ningeweza kukaa ndani na kutrade kila siku niingize $500 (yantosha), lkn kwakua niliapa kufanya hili, lazima nihakikishe naifanya with massive success.
So km upo huko unaendelea kunilaumu, nakushauri fanya what u think is best for you, tafuta wale wakenya walesema wanakuja for training, nenda YouTube tazama videos, then fund your account. Kisha leta majibu. In FX we get paid for Patience!! Period.