Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Sawa forexer..... komaa kwenye dash.
Nione mimi tu... we usijione...
Sent from "La -Vista"
I am not yet a forexer nor a forex trader, kwa sasa niite tuu mwanafunzi inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa forexer..... komaa kwenye dash.
Nione mimi tu... we usijione...
Sent from "La -Vista"
Mwandiko wako mkuu mtu anaeza sema ONTARIO ndio kaandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Looking very similar with my mwandiko.
FactMambo yakiwa tayari naomba utujulishe angalau siku mbili kabla ya tukio,maana wengine kazi zetu ni za safari sana.tupo tayari tunangoja darasa.
Cc ontario
I like it broBig Up Mkuu Ontario
Bado nabukua, naanza kitabu cha tano leo.
Sema nini,yakikukuta ya kutumia mabavu usikonde, just one PM natia maguu.(In a very serious way)
Otherwise tunakuombea Kheri Mkuu.
Guys Pigeni Kitabu.
God Bless Us.
Mkuu umeandikia SPEEDO [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] nimekuelewa zaidi,,, thank yu great thinker,, murder him...Mwandiko wako mkuu mtu anaeza sema ONTARIO ndio kaandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Looking very similar with my mwandiko.
unaendeleaje mkuu, tuliambiwa ulipata ajali.hali vipi wanafunzi wenzangu?..nafurahi sana kuona kwamba mngali mnapiga darasa bila utani...inatia moyo sana kuona kwamba bado we are determined..niwapongeze wote na niwashukuru sana kwa bidii na kujitolea....
naendelea kupata nafuu..nashukuru kwa uhaivipi
unaendeleaje mkuu, tuliambiwa ulipata ajali.
naendelea kupata nafuu..nashukuru kwa uhai
Welcome back Viking, lets celebrate God's healing.naendelea kupata nafuu..nashukuru kwa uhai
No, anao uhuru wa kuchangia kama jinsi wewe ulivyo nao!mkuu ni bora ukae kimya tu
Acha kuwadanganya wenzako.
Nafahamu watu wengi sana mimi mmoja wapo, tulianza na mtaji mdogo sana ($100) ila sahivi mitaji imekuwa mara dufu hadi zaidi ya $250,000.
Forex ni kama biashara nyingine na sio gambling kama unavyodanganya watu hapa.
Mabenki makubwa duniani kama JPMorgan, Morgan Stanley, Merril Lynch nk wana vitengo vikubwa vya forex na wanapiga millions of dollars per day.
Unaweza anza na $100 na ukafika $100,000 mwisho wa mwaka.
Sheet ipo tayari.Mkuu Bavaria tunakukumbushia Kuhusu ile pairs correlation chart/sheet uliyotuahidi mkuu wangu..
Tunatanguliza shukrani mkuu...
Asante
Sheet ipo tayari.
Nitawawekea leo jioni nikiwa na PC.