Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
vipi
hali vipi wanafunzi wenzangu?..nafurahi sana kuona kwamba mngali mnapiga darasa bila utani...inatia moyo sana kuona kwamba bado we are determined..niwapongeze wote na niwashukuru sana kwa bidii na kujitolea....
unaendeleaje mkuu, tuliambiwa ulipata ajali.
 
Mkuu Ontario hongera sana sana kwa hatua uliyofikia na pia pole kwa magumu unayokutana nayo day & night..... Pia niseme nashkuru kwa kuanzisha huu uzi napia kuwashkuru wachangiaji wote ambao tunanena lugha moja yaani kuelewana,,,, Amini usiamini kidhungu kwangu ilikua shida ila uzi huu umenifanya nacho nijifunze pia zaidi,,,
Theoretically umenifanya niwe nondo zaidi kwa Dummies ila nimeelewa zaidi ASTROFX kama nimekiandika mimi,,,, sipo mjini nipo vijijini umeme shida mtandao shida ombi langu kwako ni kwamba japo ukitutaarifu saa 24 kabla nadhani itapendeza zaidi maana nimeshtuka kidogo kuona tulitakiwa tuwe tumeanza j3 hii [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Tusaidie kwa hilo vitabu vimeeleweka,, Demo inapigwa as usual,,, nna trade kwa demo ni mwezi wa pili huu na wiki zake.
Shukrani zakutosha kwenu wahenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna muda nabaki nacheka 2 nnaposoma comment jinsi wanavyongaika kuandika maneno in a negative way roho ya kwann inawatesa sana hawa watu gari ndo lishawaka hivo speed kali ni mwendo wa kupiga buku tu kuwa smart kichwan
 
Kuna watu roho zao hazitulii kabisa tangu walipoona hii thread,imekuwa threat to them.Kutwa kukatisha wenzao tamaa,sasa cha kujiuliza katika nchi kama hii full of unemployment,muda na resources kidogo za ku support kujifunza vitu vipya kama Forex bado watu wanaona vibaya.Je wameona mwanga unaokuja kuangaza hali tete za vijana wa kitanzania kifedha,sasa wanaona wenye kujiwez kifedha wataongezeka?Roho zinawauma kuwa hawatakuwa mabosi peke yao,wenye kipato wataongezeka hawaoni jema kwenye hilo.Mtu anazungumzia kufail,ku fail ndio mwanzo wa mafanikio na ku consolidate ujuzi.Aliyegundua taa ali fail x1000 na mara ya 1001 ndio kitu kikajipa sasa mtu ku fail mara 10 tu kwenye issues kama Forex ndio mtu aseme Forex is not for you,mara Forex ni utapeli mara Forex is for rich guys.Wana forexers kazeni uzi hapa ndio pa kutokea hata kama itawachukua 10 years just keep learning and learning.Hasara roho bhana pesa kitu gani hata kama unapoteza ndio kujifunza kila jambo lina mwisho wa kubadili mwelekeo utashindwa sana mwisho wake slowly you turn to professional sababu unazijua kona zote za kukosea na mara una turn to be the master.Tukaze tutashinda wana Forex learn and learn everyday.Eti tutapoteza mbona huwa tunapoteza smartphones za million moja na zaidi tena unakuta mtu kaiacha bar au kaporwa na vibaka na inamtokea hivyo hata mara tatu kwa mwaka,ushajiuliza ana lost how much tena Kwa luxurious item kama smartphone.Hapo hujazungumzia wale wala bata kwa hesabu ya chini kabisa wala bata wana spend not less than laki tano kwa mwezi na hapo ana kiajira uchwara tu.Je watu wanaomponda chief Ontario hawaoni faida mtu aki spend hata laki moja tu kwa mwezi lakini anapata kitu kichwani anaongeza ujuzi.Tuhamie library watanzania ndio kitu kitakacho tuokoa.Kila mmoja apambane na hali yake.Viva Chief Ontario,viva Forex viva tanzania mpya ya Forex.We shall be trading# fornoreason#tzforex

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu Bavaria tunakukumbushia Kuhusu ile pairs correlation chart/sheet uliyotuahidi mkuu wangu..

Tunatanguliza shukrani mkuu...

Asante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…