Umejaza namba ya card?
Je cvc..yaani namba 3 za mwisho nyuma ya card umezijaza?
Je umepewa kibali na crdb cha ku buy online?
Nitumie SMS kwa 0785808547mkuu ungeweka hapa ingekaa vizuri maana wengi wangefaidika waka weight out if waende Dar au wafanye hio ya Arusha kama hakutakua na gharama kubwa saidia uwezavyo
Mkuu dar watarudi lkn inaweza chelewa lkn darasa la biginaz limepita hao jamaa wako bize kupita maelezo...wanameneji acc za watu wengi huku wanatrade waoMkuu Mimi mkazi wa dar ila nishapitwa na darasa lililofanyika dar,naomba kujua je bado nina nafasi ya kujifunza nikiwa dar? Arusha sitaweza kwenda Kwa hiyo week ijayo
Tsh lakin yenye rate nzuri tofauti na za mabank..wale wanaopokea pesa toka nje watanielewa kuwa mabank wana rate chafu sana na unapotezs pesa nyingi sanaok....sasa kwenye mastercard ukienda kwenye ATM utawithdrawal interm of USD au kwa Tsh?
nimeku pm mkuu,hujanijibu.msaada tafadhaliMkuu dar watarudi lkn inaweza chelewa lkn darasa la biginaz limepita hao jamaa wako bize kupita maelezo...wanameneji acc za watu wengi huku wanatrade wao
Mkuu kujifunza online kwa kusoma vitabu inatosha niingie darasani? Mkuu huu Uzi sijausoma kote yani comments za maswali na majibu ya wakuu wengine sijapitia hivyo nahisi nimekosa vitu vingi sana huko,nimesoma tu thread Ontario aliyoiweka na pages hizi 3 za mwsho ndio nakuona wewe ukifafanua.Nimevutiwa sana na maelezo yako mkuuMkuu dar watarudi lkn inaweza chelewa lkn darasa la biginaz limepita hao jamaa wako bize kupita maelezo...wanameneji acc za watu wengi huku wanatrade wao
hapo kwenye exchange rate ndio kunachangamoto kama wanatoa rate nzuri basi wako poa.... benki nyingi rate zao ni za hovyo sanaTsh lakin yenye rate nzuri tofauti na za mabank..wale wanaopokea pesa toka nje watanielewa kuwa mabank wana rate chafu sana na unapotezs pesa nyingi sana
Maswali mujarabuTsh lakin yenye rate nzuri tofauti na za mabank..wale wanaopokea pesa toka nje watanielewa kuwa mabank wana rate chafu sana na unapotezs pesa nyingi sana
Ontario amesema kila kitu..piga kitabu kwa sana lakini bila menta utakula za uso. Ukitaka kuwa trader mzuri jitahidi upate menta akufundishe namna ya kufanya analysis kwa charts. Bila hivyo tegemea kupoteza pesa. Ontario anagharamia mno safari za South, sio mjinga..anapoteza ili apate knowledge sahihi. Hii sio gambling mkuuMkuu kujifunza online kwa kusoma vitabu inatosha niingie darasani? Mkuu huu Uzi sijausoma kote yani comments za maswali na majibu ya wakuu wengine sijapitia hivyo nahisi nimekosa vitu vingi sana huko,nimesoma tu thread Ontario aliyoiweka na pages hizi 3 za mwsho ndio nakuona wewe ukifafanua.Nimevutiwa sana na maelezo yako mkuu
Sio lazima I&M bank but nimetoa mfano sababu ninaifahamu lkn zipo bank zingine eg barclays japo nk lkn hii ya I&m bank ni bora.Mkuu nimekupata vzr ..lakn bado nina utata kidogo kazi ya ile MasterCard ya I&M Ni nn hasa?? Kwasabab umesema inahitajika kufunguliwa..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ontario amesema kila kitu..piga kitabu kwa sana lakini bila menta utakula za uso. Ukitaka kuwa trader mzuri jitahidi upate menta akufundishe namna ya kufanya analysis kwa charts. Bila hivyo tegemea kupoteza pesa. Ontario anagharamia mno safari za South, sio mjinga..anapoteza ili apate knowledge sahihi. Hii sio gambling mkuu
Umejaza namba ya card?
Je cvc..yaani namba 3 za mwisho nyuma ya card umezijaza?
Je umepewa kibali na crdb cha ku buy online?
Unapouliza swali uwe specific mkuu wangu.Mkuu naona kuna kabalance kamekuja kale ka kuverify VISA Account info. Naona kuna options mbili za kufanya transfer. Moja ni Bank transfer wanaweka account yako na nyingine ni VISA, ya bank wamesema it might take two business days. I think hii itakuwa na mlolongo. Vipi kuhusu hii VISA? Is it instant transfer? Na je ukitumia VISA option kufanya transfer hiyo pesa yako ukienda kwenye account ya CRDB unaiona ikiwa imeingia?
Nazungumzia Skrill MkuuUnapouliza swali uwe specific mkuu wangu.
1. Unaongelea broker?
2. Skrill?
3. Payoneer?
Kuhusu crdb plz sitaki hata uniulize, nimeichukia sana. Pesa ikitumwa kupitia crdb utasaga soli hadi uilaani siku uliyojiunga...rejea maswali yangu
Ahaa hili la kujaza pesa unaenda kujaza bank ulikochukulia mastercard bila shida yoyote then unatumia eidha kwa ku buy online, au kutoa kwa atm popote duniani palipo na atm ya mastercard
Hii ni lin na wapi mkuu
NimekuPM mkuuuUnapouliza swali uwe specific mkuu wangu.
1. Unaongelea broker?
2. Skrill?
3. Payoneer?
Kuhusu crdb plz sitaki hata uniulize, nimeichukia sana. Pesa ikitumwa kupitia crdb utasaga soli hadi uilaani siku uliyojiunga...rejea maswali yangu