Umejaza namba ya card?
Je cvc..yaani namba 3 za mwisho nyuma ya card umezijaza?
Je umepewa kibali na crdb cha ku buy online?
Kujaza hizo CVC nimejaza. Kuhusu kupewa kibali cha buy online am not sure. Lakini kipindi naweka deposit kwa broker wangu nilitumia CRDB ikaenda. Sasa I think nina kibali! Au kibali ni per transaction??