Vietnam unatoa namba bila maelezo
Nimejibu vyema sana mkuuKitu kingine mkuu payoneer nadhan haina physical place hapa bongo sasa ukitaka kujaza pesa unajazaje au ndo tunarudi palepale kwny local ac kwenda payoneer
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo nimekusoma vyema kabsaaaNimejibu vyema sana mkuu
Kuwa Payoneer haikubali kupokea pesa toka akaunt binafsi bali toka makampuni eg SKRILL. endapo huna mpango na skrill au kampuni za kutuma pesa online...achana na Payoneer mkuu
Kawaida huwezi tegemea major currency pair moja kwani kila currency pair inapitia vipindi tofauti..mfano mzuri leo GBPUSD iliporomoka ghafla na sasa ina improve taribu...lakini waliofanya analysis kabla wali sell na walio buy iposhuka sana sasa wameanza kupiga pesa, so ni vyema ufanye analysis za currency tofauti kabla hujaamua utrade kwa pair gani. Japo wapo wengine wanapendelea pair flani flani koz wanaelewa trend zaowewe unatrade na major currency ipi
Swift code ya bank say CRDB, inabadilika kutokana na branch au ni constant kwa branch zote za CRDB?Nimejibu vyema sana mkuu
Kuwa Payoneer haikubali kupokea pesa toka akaunt binafsi bali toka makampuni eg SKRILL. endapo huna mpango na skrill au kampuni za kutuma pesa online...achana na Payoneer mkuu
Achana branch code..swiftcode ya crdb ni corutztz隆 弓 二二一
Swift code ya bank say CRDB, inabadilika kutokana na branch au ni constant kwa branch zote za CRDB?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tread[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nmekuwa nikiuona huu uzi mara kwa mara, lakina sasa bado sijajua kuwa haya yanaongelewa kama ni ya kweli.
Naomba nifahamishwe vzuri kuhusu hii tread. Pia Mimi ni mwalimu wa msingi sasa najiuliza kwa kipato changu hiki? Na kama nataka nifanye hii tread mtandaoni ni vtu gani niwe navyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimcheke mwl kafupisha tu..tread
Shida siyo wewe ni nani,Nmekuwa nikiuona huu uzi mara kwa mara, lakina sasa bado sijajua kuwa haya yanaongelewa kama ni ya kweli.
Naomba nifahamishwe vzuri kuhusu hii tread. Pia Mimi ni mwalimu wa msingi sasa najiuliza kwa kipato changu hiki? Na kama nataka nifanye hii tread mtandaoni ni vtu gani niwe navyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu napataje mawasiliano yako? Nahitaji kukutext nowHii ni sawa na paypal ,au worldremit nk mkuu, online tu
Asante kwa kumjibu, mimi nilishindwa nianzie wapi. Watu wanatembea na negativity. Naamini wewe mambo yamekunyookea sasaShida siyo wewe ni nani,
Shida je wewe unaweza kutake risk.
Ukipitia huu uzi utajua vitu vyote unavyohitaji ili kuifanya forex.
Sasa basi nakushauri upitie taratibu uangalie point muhimu .
Kisha uulize ambacho haujaelewa kabisa
love thé love or hâte thé love.....
Mkuu hiyo mastercard ya I&M isiyo na acc ulifungua ya dola au Tsh....na kama ni ya Tsh exchange rate yake unapotuma inakuwajeSio lazima I&M bank but nimetoa mfano sababu ninaifahamu lkn zipo bank zingine eg barclays japo nk lkn hii ya I&m bank ni bora.
Kazi ya hii kwa ajili ya kudepsit pesa kwenye mastercard yako ready kutuma kwa broker au skrill to broker..una swali?
Fungua ya dolari mkuu, hii haitakusumbua...tsh thamani yake haitabirikiMkuu hiyo mastercard ya I&M isiyo na acc ulifungua ya dola au Tsh....na kama ni ya Tsh exchange rate yake unapotuma inakuwaje