Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kitu kingine mkuu payoneer nadhan haina physical place hapa bongo sasa ukitaka kujaza pesa unajazaje au ndo tunarudi palepale kwny local ac kwenda payoneer

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejibu vyema sana mkuu
Kuwa Payoneer haikubali kupokea pesa toka akaunt binafsi bali toka makampuni eg SKRILL. endapo huna mpango na skrill au kampuni za kutuma pesa online...achana na Payoneer mkuu
 
wewe unatrade na major currency ipi
Kawaida huwezi tegemea major currency pair moja kwani kila currency pair inapitia vipindi tofauti..mfano mzuri leo GBPUSD iliporomoka ghafla na sasa ina improve taribu...lakini waliofanya analysis kabla wali sell na walio buy iposhuka sana sasa wameanza kupiga pesa, so ni vyema ufanye analysis za currency tofauti kabla hujaamua utrade kwa pair gani. Japo wapo wengine wanapendelea pair flani flani koz wanaelewa trend zao
5d2fe5c2aa17dfa94fc90284b7ad8148.jpg
 
隆 弓 二二一
Nimejibu vyema sana mkuu
Kuwa Payoneer haikubali kupokea pesa toka akaunt binafsi bali toka makampuni eg SKRILL. endapo huna mpango na skrill au kampuni za kutuma pesa online...achana na Payoneer mkuu
Swift code ya bank say CRDB, inabadilika kutokana na branch au ni constant kwa branch zote za CRDB?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuwa nikiuona huu uzi mara kwa mara, lakina sasa bado sijajua kuwa haya yanaongelewa kama ni ya kweli.
Naomba nifahamishwe vzuri kuhusu hii tread. Pia Mimi ni mwalimu wa msingi sasa najiuliza kwa kipato changu hiki? Na kama nataka nifanye hii tread mtandaoni ni vtu gani niwe navyo?

Tread[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Nmekuwa nikiuona huu uzi mara kwa mara, lakina sasa bado sijajua kuwa haya yanaongelewa kama ni ya kweli.
Naomba nifahamishwe vzuri kuhusu hii tread. Pia Mimi ni mwalimu wa msingi sasa najiuliza kwa kipato changu hiki? Na kama nataka nifanye hii tread mtandaoni ni vtu gani niwe navyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida siyo wewe ni nani,
Shida je wewe unaweza kutake risk.
Ukipitia huu uzi utajua vitu vyote unavyohitaji ili kuifanya forex.
Sasa basi nakushauri upitie taratibu uangalie point muhimu .
Kisha uulize ambacho haujaelewa kabisa

love thé love or hâte thé love.....
 
Nimepata kamwanga kidogo but ili iwe nuru inabid niudhurie hata semina moja

Mkuu nipe mwongozo kidogo kama naweza kupata hiyo semina
 
Shida siyo wewe ni nani,
Shida je wewe unaweza kutake risk.
Ukipitia huu uzi utajua vitu vyote unavyohitaji ili kuifanya forex.
Sasa basi nakushauri upitie taratibu uangalie point muhimu .
Kisha uulize ambacho haujaelewa kabisa

love thé love or hâte thé love.....
Asante kwa kumjibu, mimi nilishindwa nianzie wapi. Watu wanatembea na negativity. Naamini wewe mambo yamekunyookea sasa
 
Sio lazima I&M bank but nimetoa mfano sababu ninaifahamu lkn zipo bank zingine eg barclays japo nk lkn hii ya I&m bank ni bora.
Kazi ya hii kwa ajili ya kudepsit pesa kwenye mastercard yako ready kutuma kwa broker au skrill to broker..una swali?
Mkuu hiyo mastercard ya I&M isiyo na acc ulifungua ya dola au Tsh....na kama ni ya Tsh exchange rate yake unapotuma inakuwaje
 
Wadau muwe mnafuatilia economic news and events kabla ya kufanya any trading decisions, kwa mfano leo mmeona GBP imefall gafla majira ya saa 14:00 mchana baada ya Bank Of England(BOE) kudecide kumaintain interest rates na kutoa report juu ya inflation. Kupata Economic calender ya kuwasadia ingia website ya Dailyfx.com wanakuwa na Calender ya wiki nzima ya all major economic news and events ata speech events msipuuzie. Muwe mnamix fundamentals kama hizo na technical analysis kwenye sttategy zenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom