Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Finally, we are approaching to "BIG YES"
 
Finally Big things are going to happen, the patience is going to be rewarded.. Be blessed brother will be waitng for Wed and Thursday like how i waited for the NFP and it paid off..
NFP was bae today!!

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hey guys za siku kidogo i am back again baada ya kupotea kwa muda sio mrefu sanaa hopefully maendelea vizuri kabisaaaa nilirudi kidogo to my mother land kutimiza haki yangu ya kupiga kura japo sijafanikiwa kwa kiasi kikubwa now i am back to my team again and again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio wazur maan bitcoin ni fasta unachomoa mkwanja kwa mpesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime sign up payoneer ila sijaona sehem yeyote inayo elezea jinsi ya kupata Mastercard yao pia cjaelewa nijinsi gani niki withdraw salio xm litakavyo fika payonner.
QUIGLEY na wengineo wenye kujua naombeni msaada wenu katika hili.
Je umesoma posts zangu vizuri?
 
hhahahahahahahahahah
mambo mazuri ndio hayooo yanajongea.
thanks bro. hapo ni sawa na teacher anapotangaza test ya ghafla, i mean watu tunarud kwe msuli kwa kasi ya ajab kama ifuatavyoo.....
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi!..
 
al-watan kikristo kingi tatzo
 
Me naomba kuuzi ONTARI O kama hutojali kuna Broker yeyote ambaye ameonesha nia ya kuja na kufungua ofisi hapa Tz au bado?Navyokumbuka ulisema utawashawishi waje?

Sent using Iphone 7+
 
al-watan kikristo kingi tatzo
Mimi mtoto wa Kariakoo, Upanga, Oysterbay, Tabata, Sinza na Mbezi Beach kote nina viunga huko kwa hiyo usione tabu nikitiririka Kikristo.

Naweza kugeuka kuelekea Kibra katika pigo moja la moyo tu.

Hiyoni ripoti ya mahesabu ya kufunga wiki.

Hii ni options trading, mnyama mwingine tofauti kidogo na pure Forex Trading (ingawa unaweza kufanya options trading ya Forex kubashiri bei zitaendaje).Nafanya kwenye ripoti za masoko ya hisa kupitia www.nadex.com

Ni kwamba, muelekeo wa soko kwa mujibu wa ankara za ripoti ya Dow Jones umekuwa mzuri sana kwetu tunaofanya biashara ya kubashiri litakapoangukia wiki hii.

Binafsi nimeweza kuongeza mtaji mara tano wiki hii tu.

Maana yake kama uliwekeza $70, unamaliza wiki na $350, kama ulianza na $700 unamaliza na $3,500, kamaulianza na $7,000 unamaliza na $35,000.

Na hesabu hizi zingeweza kupatikana hata kwa siku moja kama mtu anataka kufanya uroho wa kupiga pesa kubwa haraka, lakini, ukiongeza faida ndivyo unavyoongeza nafasi ya kuliwa hela zote unazowekeza.

Kwa hiyo ni wiki nzuri sana. Nilitoa hela na kupigwa na NASDAQ kidogo wiki iliyopita.

Wiki ijayo lengo ni kuanza na kuongeza ninachoanza nacho mara kumi (lengo la chini ) au kupaa mpaka mara ishirini kutegemea na masoko yatakavyo kuwa.
 
Hahhahaha God bless you Jeff, tuko pamoja na natumaini hutojutia ushiriki wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha safiiiii sana mkuu, hill ndo tulikuwa tunalisubiri kwa hamu sana, hatimaye it has panned out.

Munkali wa kuendelea kula msuli umeongezeka Mara dufu. Ngoja nirudierudie tena recommended books kuuweka ubongo sawa tayari kwa training. I hope I will be amongst the few selected

CONGRATS ONTARIO TO PUSH THIS THING TO THIS LEVEL.

TOGETHER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kwaiyo naeza kuanza safari jtatu kuja dar sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…