Msome tena Ontario
watu mna usongo,ndio hivo lkn tafuta maarifa popote yalipo pesa zitakufuata badae tu,km ontario anaenda mpk south africa,sembuse ww hutoki hata nje ya tz.Ndo maana namiuliza yy maana mi niko mbali kk
So jtan naeza kuwa huku nina pa kufikia ati
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nasoma taratibu nyuzi mbalimbali, vitabu na kufungua demo account ya FXTM broker kwenye account ya cent na kuanza na cent 3,000 (hii nimeiweka ili niweze kuona real profit ambayo naweza ipata kwa siku kulingana na capital yangu ninayoipangilia). Si haba nimekuwa napata dola 3-5. Juzi na Jana baada ya news za bank ya uk na ishu ya ajira Jana nikaweza kupanda hadi dola 7. Sasa kwa account yenye mtaji wa dola 30 najiona niko karibu kuwa Bora. Leo nimeona nicoment kwa Mara ya kwanza hapa. Na wazo langu linaenda direct katika kufungua real account na huyu broker wangu kwani tayari nimeshaambatanisha kwake documents zangu zote na wameshanipatia mshauri. Sasa naomba unieleweshe nikifungua account I&M bank mfano leo ni mda gani Payoneer wanataka bank statement iwe nayo? Kuna swali mjumbe mmoja ameuliza kuhusu transaction cost za kutoa kwenye ATM mfano ukitoa dola 100 wanakulima kiasi gani kwa makadirio? Nakushukuru na kiukweli namshujuru Ontario kwa Uzi huu. Nimeelimika sana sana na ari yangu ya kusoma imerudi kwa Kasi kwani nasoma huku naenjoy... Halafu mkuu waweza toa any comment kwa huyu FXTM.Sio lazima I&M bank but nimetoa mfano sababu ninaifahamu lkn zipo bank zingine eg barclays japo nk lkn hii ya I&m bank ni bora.
Kazi ya hii kwa ajili ya kudepsit pesa kwenye mastercard yako ready kutuma kwa broker au skrill to broker..una swali?
C lzm ufungue acc I&M bank,unwz tumia bank yako uliyotumia kudeposit pesa fxtm,unless hukutumia debit card kufanya deposit na hauna visa/mastercard.Nimekuwa nasoma taratibu nyuzi mbalimbali, vitabu na kufungua demo account ya FXTM broker kwenye account ya cent na kuanza na cent 3,000 (hii nimeiweka ili niweze kuona real profit ambayo naweza ipata kwa siku kulingana na capital yangu ninayoipangilia). Si haba nimekuwa napata dola 3-5. Juzi na Jana baada ya news za bank ya uk na ishu ya ajira Jana nikaweza kupanda hadi dola 7. Sasa kwa account yenye mtaji wa dola 30 najiona niko karibu kuwa Bora. Leo nimeona nicoment kwa Mara ya kwanza hapa. Na wazo langu linaenda direct katika kufungua real account na huyu broker wangu kwani tayari nimeshaambatanisha kwake documents zangu zote na wameshanipatia mshauri. Sasa naomba unieleweshe nikifungua account I&M bank mfano leo ni mda gani Payoneer wanataka bank statement iwe nayo? Kuna swali mjumbe mmoja ameuliza kuhusu transaction cost za kutoa kwenye ATM mfano ukitoa dola 100 wanakulima kiasi gani kwa makadirio? Nakushukuru na kiukweli namshujuru Ontario kwa Uzi huu. Nimeelimika sana sana na ari yangu ya kusoma imerudi kwa Kasi kwani nasoma huku naenjoy... Halafu mkuu waweza toa any comment kwa huyu FXTM.
Mapumziko mema ya weekend huku tunatega mitego ya wiki ijayo hasa kwenye fundamental analysis.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa elimu yako nzuri sana katika kusaidiana kupunguza makali ya makato yanatokana na ugumu wa benki zetu na utaratibu kwa ujumla wa nchi zetu na bara la africa kwa ujumla, Niendelee kutoa shukhrani kwa mkuu/ Mhenga Ontario kwa kazi aliyofanya mpaka sasa Tanzania Imeamka kupitia yeye Forex inaongelewa sasa wazi wazi na watu wameanza soma na kuwa na uelewa, God bless u Broo!Sio lazima I&M bank but nimetoa mfano sababu ninaifahamu lkn zipo bank zingine eg barclays japo nk lkn hii ya I&m bank ni bora.
Kazi ya hii kwa ajili ya kudepsit pesa kwenye mastercard yako ready kutuma kwa broker au skrill to broker..una swali?
Nitarudi kukujibu niko biz kidogo..nikichelewa nikumbusheAsante sana mkuu kwa elimu yako nzuri sana katika kusaidiana kupunguza makali ya makato yanatokana na ugumu wa benki zetu na utaratibu kwa ujumla wa nchi zetu na bara la africa kwa ujumla, Niendelee kutoa shukhrani kwa mkuu/ Mhenga Ontario kwa kazi aliyofanya mpaka sasa Tanzania Imeamka kupitia yeye Forex inaongelewa sasa wazi wazi na watu wameanza soma na kuwa na uelewa, God bless u Broo!
swali langu kwako Quigley: Nimeona Skrill wana limit ya transaction USD 1177.40 sasa sijui hiki kiasi naona kama ni ndogo sana kwa mtu mwenye malengo makubwa, au mimi sijaelewa please help
Huyu jamaa Ontario ni bonge la game changer!!!
Na bonge la motivation speaker kiwango cha uzamivu,style ya uandishi wake utafikiri ana vinasaba vya Shabani Robert!!!!
Ndani ya muda mfupi kafanya yafuatayo
1.karudisha matumaini mapya ya vijana wa Tanzania hasa kutokana na hali ya sasa ya kibiashara na ajira
2.kaleta moyo wa kushirikiana miongoni mwa watanzania ambao ulikua umekufa
3.kasababisha watu kutumia muda na mitandao vizuri instead of ku check hoja za mange kimambi na tundu lisu bora nimcheck Andile mayisela analysis zake au nkasome astro Forex
4.kwa mara ya kwanza Tanzania Forex academy ya Jamaa itakua na application nyingi kuliko MD Muhas ukilinganisha saiv ndo kipindi cha Ku apply vyuo nahisi watu wanaweza kubadili maamuz
Ila ombi langu kwa serikali
1.i support vijana kama hawa (ontario Bavaria na the like)wanao badili maisha ya vijana wa kitanzania big time
2.serikali inge introduce kwenye mitaala ya vyuo somo la Forex kama communication skills au development studies ila inakua option ukipenda sawa usipopenda sawa
Hii ingesaidia vijana kupata mitaji ya kujiajir wakimaliza
........hebu nkamalizie astro Forex nkajiandae na safari kuelekea kaanani
Hope tutakutana darasani wiki ijayo nkiwa seat ya mbele kabisa ili projector ikicheza kidogo namsaidia mentor kuiweka sawa
Ontario count me in
Sent using Jamii Forums mobile app