Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
yes,ni safi,tupige shule,astrofx nimekimaliza jana.sasa naanza cha nne,forex bible,hakuna kurudi nyuma hapa.
 
Watu mnajua vitu hadi nachanganyikiwa! Unaniruhusu niku-pm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

XM ni moja wapo. Sema niliona kama wanarecommend kuwa na account kwenye bitpay ambayo inasemekana kuwa app yake inasumbua!

Njia hii ni nzuri sana, unaweza nunua bitcoin kwa wakala akakutumia kwenye account yako (wallet) kisha kutoka kwenye wallet unaweza kutuma hela kwa broker wako, kuitoa... na kutoka kwenye wallet yako unaweza toa hela kupitia Bitpesa na kuipokea kwa njia ya kawaida ya mpesa! (Itakubidi ujiunge na Bitpesa pia ambapo bitpesa wanahitaji kitambulisho cha kura/taifa au hata leseni ya udreva tu)

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba pdf ya naked forex na forex bible kama unazo

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Unwz funguka zaidi mkuu,km umeniacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnajua vitu hadi nachanganyikiwa! Unaniruhusu niku-pm?

Sent using Jamii Forums mobile app


Duuu....nimecheka kimoyomoyo...ila sijakucheka wewe mkuu ni kwamba kuna wakati hata mm nilikuwa nikiingia humu nakutana na vtu ambavyo kuna wakati nilikuwa najiona kama nipo sayari nyingine maana vtu vilivyokuwa vinaongelewa huku nilikuwa naona manyotanyota tu....ila nikajipa moyo kuwa kwani hv vtu vyote si vipo kwenye vitabu???acha nisome kwanza ....nikakomaa sana na vitabu...kwa sasa nikiingia huku hakuna kinachoongelewa nakiona kigeni kwangu..


Komaa mkuu soma vitabu vyote pendekezwa hakika hautachanganyikiwa tena...ukisoma naked forex....ukapiga astrofx na forex Bible hayo yote uliyoona unachanganyikiwa nayo utakuwa unaona ni vtu vya kawaida sana kwako..

Ningekushauri usome kwanza hvo vitabu kabla ya kutafuta msaada wa kuelekezwa hz mambo zaidi...huo ndo Ushauri wangu kwako mkuu.
 
Nimejaribu kupafungua hapo ila nimekuta option kama 5 hivi na zote sijawahi kuzitumia ndo sababu nimeomba ufafanuzi mkuu.
Sitaki kukuongopea sijawahi kufikiri kumtumia huyo broker. Ni vizuri ukatumia broker unayemfahamu angalau kupitia wengine. Kama sikosei hao ni Wanaijeria
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…