Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ahsante mkuu, niko nasoma kwa bidii! Fanya kunitumia Forex bible ndo ambacho sina. Kuna mkuu humu alikituma nikidownload inakuja naked forex!

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu, niko nasoma kwa bidii! Fanya kunitumia Forex bible ndo ambacho sina. Kuna mkuu humu alikituma nikidownload inakuja naked forex!

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app

Nikiwa kwa PC nakutumia mkuu...simu yangu ianshindwa kuattache hata Sijui kwa nn..

Pamoja mkuu.
 
Broker wa Kinaijeria japo wako uk..
Nenda Tickmill hata spread zao ni nzuri kwa sisi wenye mitaji ya kawaida.
Ttzo la tickmill hawana customer service nzuri,nimejiunga 3 weeks ago mpk leo wanashindwa kuverify acc yangu,kisa proof of address na nilitumia voter's ID nikaachana nao nikaenda fxtm.

Najua fxtm ni market maker nazuga nae kwa muda nikuze capital nihame.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ujue broker mwenye mashariti magumu ni bora sana, ni salama vilevile.
Unatakiwa utumie TICKMILL SYCHELLES NA SIO UK
 
Ontario usikate tamaa tupo wengi tunaohitaji hii kitu Mungu atakufanyia wepesi ufanikiwa nawe utufunze nasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broker wa Kinaijeria japo wako uk..
Nenda Tickmill hata spread zao ni nzuri kwa sisi wenye mitaji ya kawaida.
Ttzo la tickmill hawana customer service nzuri,nimejiunga 3 weeks ago mpk leo wanashindwa kuverify acc yangu,kisa proof of address na nilitumia voter's ID nikaachana nao nikaenda fxtm.

Najua fxtm ni market maker nazuga nae kwa muda nikuze capital nihame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huyohuyo wa seychelles hadi nikagiveup
Mkuu ujue broker mwenye mashariti magumu ni bora sana, ni salama vilevile.
Unatakiwa utumie TICKMILL SYCHELLES NA SIO UK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km natak kuifanya naanzia wp.... Na hvy vtab vnapatkan online au vinauzw ???.... Na hio biz mtaj wa chin ni sh ngp ?????

Sent using Jamii Forums mobile app

Karibu sana, anzia page 1 ya uzi huu. Ndio shule ya kwanza. Zingatia kusoma vitabu vilivyo ainishwa humu ndani (vimewekwa humu humu) hata ukifika mwisho utakuwa umeiva Na majibu ya maswali yako mengine utakuwa umesha pata majibu.
 
Yaaahhh.... Nilishapita mkuu !... Asante.... Ila hvo vtabu vnapatikana wap ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mi sijui nianzie wapi kwa kweli, halaf Uzi umekuwa mrefu. Najaribu kusoma naona madini matupu, mpaka najihic kupata papara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukianza live chat muite jamaa anaitwa Paul...utaunganushwa naye...jamaa yuko poa sana atakuelekeza na kukusaidia kila kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…