Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
- Ndio waweza kufanikiwa
- Maana wapo walio anza na 30usd na kupanda nayo kidogo kidogo, uku wakiendelea kujifunza.
sitoacha kuwasumbua wale wenye idea mpaka nitakapoielewa hii kitu... mimi ni newbie kabisa humu bro..(I hope so) nahitaji kusaidiwa sana yani
 
Mkuu mimi ni mpya kabisa nimevutiwa na natamani sana kujua sijui nianzie wap ili niende sawa na wenzangu
Anza kwanza kusoma vitabu wametoa link kwenye comments za mwanzo mwanzo kabisa then utapata kujua baadhi ya vitu
 

Hope kila kitu kitakuwa sawa na kitakwenda sawa.
 

Be blessed Kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Mwl. RCT. A special chair at the boardroom is guaranteed for you. Kila MTanzania angekua na moyo ka wako tusimgekua hapa tulipo leo.
Yeah! The man deserves the best. Thanks Ontario too. najua sio tango pori mana ungetushauri tofauti, thanks guys. "Together We Can".
 
Am in.. Fully in.. Deep..!! Nimevutiwa mno
ONTARIO tuko pamoja

Mwl. RCT nimeanza kujifunza haraka sbb i had an idea before ila niliacha tu
 
MSAADA TUTANI

Nimeset position yangu nikaona inanipa faida kubwa na haijafikia ile position niloset ya faida naweza kuikata isiendelee?



Mfano hapo niliset kwenye 8 hiv ila nikapata wasiwasi naweza nikakata? imekaaje kitaalamu?

[HASHTAG]#ONTARIO[/HASHTAG] [HASHTAG]#BAVARIA[/HASHTAG] [HASHTAG]#LODRICK[/HASHTAG]
 
Naitaja mda wa kukutana nawe uwe mentor wangu kwa hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani ndio maana hua sipendi kuishi mikoani, hivi jamani nimefungua demo account ila nashindwa kuioperate jamani, hivi kwenye demo stopp loss kama sikosei? na jinsi ya kusoma yale magraph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cost yeyote iwapo kadi yako itakuja kwa njia ya posta, Huchukua kati ya wiki 2 hadi 3 kwa kadi kufika.

Iwapo utahitaji kwa haraka (huchukua siku 3 - 7) wanaweza kukutumia kwa DHL ambapo ipo ghalama ,huwa USD 40.

View attachment 561182
Brother unatumia njia gan kuagiza kadi yako.. Me nimefanikiwa kufungua na wameshaniverify ila sijaona sehemu ya kuagiza hii card.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Ontario (Canadian man) pongezi zangu za dhati zikufikie, I always say umeniongezea asset katika maisha yangu, what excites me more is that from the beginning you believed and you were openly that one day you'll will make it to happen, sure you have made it, let's start the move ......it's a promising journey even though you you said it's tough, lkn kama umeweza kupambana na kufika hapa na wengine wakiwa na the same spirit as you natumai hatakuangusha na tutafanikiwa, tuwe pamoja letu moja tuu wakuu MAFANIKIO, pongezi sana na kwa wengine ambao wamekuwa tayari kushare nasi kuhusu wanachokijua katka fx.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother unatumia njia gan kuagiza kadi yako.. Me nimefanikiwa kufungua na wameshaniverify ila sijaona sehemu ya kuagiza hii card.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Kitendo cha kukamilisha kujisajiri, tayari kadi yako inaandaliwa, na utatumiwa kwa anwani uliyo jaza. Iwapo umeweka S.L.P sahihi utaipata kadi yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…