pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Matapeli yako mengi sana aisee watu wawe makini sana Chief Ontario ni bora umemtoa nduki huyo jamaa,kwani watu wanaona nongwa gani kuwa Ontario ndio kawa wa kwanza ku introduce Forex hapa Tz.Wako waliokuwa wana habari za Forex au either wanajua na ku trade kabisa lakini kwa roho mbaya zao hawakuanzisha harakati na wabongo wengine waijue Forex sijui wanaona pesa zitaisha au sijui vipi hawa watu roho zao mabya sana,roho mbaya kweli ni Donda ndugu lisilopona.Pesa inayozunguka kwenye currency market pekee ni nyingi sana almost 5 trillion usd per day.Its a lot of money ni suala la proper knowledge,skills and capital zako tu ndio zitakufanya mtu a fetch any amount anayotaka. Washaona watu wanakombolewa na kijana mdogo kama Ontario lakini mwenye bidii na anaamini katika bidii na kujifunza tu,basi wao wanaona choyo.Wabongo tuachane na blah blah.Chief Ontario big up sana bila wewe hapo wengi walikuwa wanaingia chaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu Ontario kaokoa wengi....kwa zile screenshots mkuu unashawishika Kabisa kuanza mawasiliano na jamaa..ila nimeamini aisee matapeli wana maneno matamu na wanajua kuvuta hisia za watu asikwambie mtu......duuuuu....acha Kabisa...