Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Matapeli yako mengi sana aisee watu wawe makini sana Chief Ontario ni bora umemtoa nduki huyo jamaa,kwani watu wanaona nongwa gani kuwa Ontario ndio kawa wa kwanza ku introduce Forex hapa Tz.Wako waliokuwa wana habari za Forex au either wanajua na ku trade kabisa lakini kwa roho mbaya zao hawakuanzisha harakati na wabongo wengine waijue Forex sijui wanaona pesa zitaisha au sijui vipi hawa watu roho zao mabya sana,roho mbaya kweli ni Donda ndugu lisilopona.Pesa inayozunguka kwenye currency market pekee ni nyingi sana almost 5 trillion usd per day.Its a lot of money ni suala la proper knowledge,skills and capital zako tu ndio zitakufanya mtu a fetch any amount anayotaka. Washaona watu wanakombolewa na kijana mdogo kama Ontario lakini mwenye bidii na anaamini katika bidii na kujifunza tu,basi wao wanaona choyo.Wabongo tuachane na blah blah.Chief Ontario big up sana bila wewe hapo wengi walikuwa wanaingia chaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli mkuu Ontario kaokoa wengi....kwa zile screenshots mkuu unashawishika Kabisa kuanza mawasiliano na jamaa..ila nimeamini aisee matapeli wana maneno matamu na wanajua kuvuta hisia za watu asikwambie mtu......duuuuu....acha Kabisa...
 
mkuu sio mbaya na wewe ukatupa list ya vitabu ulivopitia ili vitusaidie..nimejifunza kitu toka kwako

Mkuu huyo ni tapeli achana naye....hzo screenshots ni za trader wa SA kazichukua kwenye page yake insta....Ontario ameshamtoa nduki sidhani kama atakaa akanyage tena kwenye huu Uzi labda aje na ID mpya....ila mwandiko wake tumeshaukariri labda abadilishe na mwandiko..
 
Nilifwatilia background yake nikasema acha nikae kimya kwanza, nisiwe negative...

Hizi ni post zake za mwaka huu, nyingi ni za mwezi wa 6!!

Natafuta ajira wakuu
Nauza mashine ya juisi ya miwa isio tumia umeme
Nauza subwoofer
Nauza sofa+kitanda+mtungi wa gas
Natafuta kazi yoyote wakuu
Nauza water dispencers kwa 30,000
Natengeneza blog kwa 10,000/=

Hahaaa yaani hapa Mkuu Lodrick umeuaaaa... Jamaa mshezi kweli huyu.. Tena mwanachuo kabisa na anaishi Kigamboni!!
 
Mkuu huyo ni tapeli achana naye....hzo screenshots ni za trader wa SA kazichukua kwenye page yake insta....Ontario ameshamtoa nduki sidhani kama atakaa akanyage tena kwenye huu Uzi labda aje na ID mpya....ila mwandiko wake tumeshaukariri labda abadilishe na mwandiko..
Dah aliifanya akili yangu ipagawe kwa screenshots alizokuwa anatuma..nilikuwa njian kumfata PM
 
Aiseee bro unachofanya si sahihi. Nilikua nangoja tu unijibu.

Aina hii ya uhuni hua siipendi kabisa sheikh wangu. Let's keep it real!!

Mimi nikikwambia najua vitu vingi sana kuhusu forex, nieleweke hivyo. Hizo trades ambazo unazipiga screen shot tangu mwanzo nazifahamu. Thabani Ngcobo ni mwanangu sana, nilikua nae Juzi juzi tu aisee, yani hata ukiniamsha usiku ukanionesha trades zake wala sitahitaji kunawa uso kuzitambua.

Forex haina siasa boss. You either learn the art or be an observer. Naomba utuombe msamaha kwa ulichokifanya, otherwise tutakuona vitu vyote ulivyozungumza ni ujanja ujanja. Hizo trades za Thabani Ngcobo na umezitoa kwa IG yake. Sitaki kuleta hapa ushaidi just kulinda heshima yako. But let's try to put it real.

Kuhusu forex wadanganye watu mkiwa wawili sehemu mmetualia, lkn usizungumze forex mbele yangu ukadhani forex nimeijua juzi. Acha izo jombaa!! Sisi hua Thaba tunamuita Mr. 0.5 - nitajitahidi kumleta aje atusalimie.

Huyu jamaa muhuni sana aiseee.. Ni jinga moja tu mwanachuo linaishi kigamboni. Kila siku linalia lia tu eti maisha magumu anauza vitu vya ndani ili apate pesa ya kujikwamua kimaisha!! Sasa anataka awatapeli watu kiurahisi kwa kuleta utaalaam wake uchwara wa forex!! Hahaha dogo umepotea njia kabisaaa usitudanganye kuhusu forex wakati wewe ni empty minded!! Danganya watu chuoni hukohuko!
 
Currently scalping MAY CRUDE OIL.
Let me see if the channel will work also for me
c1687dde1bb59116c2ac00c472831540.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu habari zenu, naona tunaendelea kutiana matumaini ni jambo zuri sana, ila napendekeza pia tungekuwa tuna share trading ideas humu tungesadiana sana kuelewa hii biashara kiundani zaidi.

Nikicheki calender yangu kesho kuna major news event kwenye America Markets Opening kuhusu CPI, tusaidianeni kupata analysis na forcast ya impact ya hii news kwenye market haswa kwenye valuation ya USD kama itaendelea kuleta more expectation za interest hike by the FED September meeting au bado wata hold Interst rates zao at the same level baada ya kufanya FED Balaance sheet na Quantative easing.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Aisee....kweli huyu Albert ni Bashite. Sioni akirudi huku in a near future
 
wakuu habari zenu, naona tunaendelea kutiana matumaini ni jambo zuri sana, ila napendekeza pia tungekuwa tuna share trading ideas humu tungesadiana sana kuelewa hii biashara kiundani zaidi.

Nikicheki calender yangu kesho kuna major news event kwenye America Markets Opening kuhusu CPI, tusaidianeni kupata analysis na forcast ya impact ya hii news kwenye market haswa kwenye valuation ya USD kama itaendelea kuleta more expectation za interest hike by the FED September meeting au bado wata hold Interst rates zao at the same level baada ya kufanya FED Balaance sheet na Quantative easing.
Nimeangalia hata sijaiona! na news zote zinazohusu USA kesho naona kama zina low impact!

https://www.dailyfx.com/calendar
 
055699c68707fb461b30b9680115ae02.jpg

DEMO INAENDA VIZURI

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie hii app. Ni android? Yaitwaje? Mi natumia GOFOREX, lakn nadhani ni jambo jema kutumia app ambayo karbia wote twatumia humu, ili iwe rahis kuelekezana, na ikibidi, kukopy trade, mana kuna mahali nimesoma ukiwa na pro trader waeza kumkopy vile anavyotrade...

Edit: niko katika demo pia[emoji18]

Meta Trade 4
(MT4) kwakifupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom