Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
aliposema tu kwamba kuna njia isiyohusu analysis nilimshuku sana..tena alivoweka mascreenshot kibao nikajua huyu kayapakua kwingineko anatuona mahambe..forex utafanyaje bila information?..utatrade vipi wakati hauna ufahamu wa unayoyafanya?..kila wakati tunaambiwa kwamba mtaji wako ni kitu cha dhamana sana manake umeuhangaikia sana na hivyo kila wakati unafaa kuutumia kwa njia nzuri..very disgusting..asante Ontario kwa kutambua uhuni wa huyu kaka..
 
MT4, nenda playstore andinka hivyo itakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nailaumu serikali ya ccm na mwenyekiti wake!!

Wenzako wanaona fursa wanajifunza wewe unakomaa unataka kutapeli watu!!!
 
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
Aisee that was Technical knockout,, i think watu kama hao is just the beginning sema since ulisema u hav balls za chuma then lets keep moving au sio mzee wa cheeky tiger.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nilikuwa nafuatilia nijue mwisho wa majigambo haya
 
Ninajoin SKRILL hivi sasa. Naomba kuuliza wapendwa.
1. Hapa kwenye address 1 nimejaza sahihi (Natokea Iringa Town)?
2. Je kwenye Postac Codes nijaze vipi?

Natanguliza shukrani.
 
Za masiku wadau, binafsi since day 1 baada ya kusoma post ya ontario, nilijisemea kimoyomoyo this dude is real an honnest. Honnesty is expensive thing, don't expect it from cheap people. This dude pamoja na Bavaria ni watu ambao wapo honnesty sana.

Angalizo tuu kwa nyote ambao mna mzuka na hii biashara, hii biashara haiitaji mihemko. Kwamba usikie mtu kaanzisha kundi na wewe haraka haraka utake kuingia katika hilo kundi. Haya mambo hayaendi hivyo, hii biashara inahitaji umakini wa hali ya juu sana, pengine umakini ambao hujawahi kuwa nao hapo kabla.

So sote ambao ni wageni na hii biashara, let us wait for a call from Ontario. Tupo wengi sana humu, si rahisi wote wakapata training chance katika darasa. Hivyo kusoma hakuepukiki, either unataka chance ya darasa/seminar ama laa, kusoma hakuepukiki.

Ukisoma, hutokuwa traped kirahisi. Na utakuwa huru.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ..njia ya mwongo ni fupi hivi kumbe

What goes around always comes around
 
Mmh!..kuna watu wanataka kutuvuruga tena?walikua wapi cku zote?hapa inabidi tumuamini ontario tu.hawa jamaa wengine watatuvuruga na screenshot zao.cku zote walikua kimya
Mkuu, huyu ni tapeli tena mjinga sana
 
Ndugu zangu wote ambao tunatunisha misuli kwaajili ya fx haina budi kuwa wapole na kuendea kuchimba vitabu mbalimbali tunavyoelekezwa na wahusika nawapongeza wale wote ambao wanatumia muda na nguvu katika hili kwa faida yao na taifa kwa ujumla angalizo watakuja matapeli wa kila sampuli kwenye Uzi huu tujichunge sana ombi langu kwako Ontario hawa watu wote nikama umewafungua walifungwa kiuchumi ukawaonyesha ulimwengu wa uchumi ulivyo hivyo huna budi kuwalinda kwani wanakutegemea kama mchungaji kondoo akitoka nje ya zizi ananafasi kubwa ya kuliwa na mbwamwitu usiwaache wahanaike huko nje wataliwa mpaka wajute kuijua Forex naomba wanahamu kubwa ya kuiona nchi ya ahadi tumekuwa kifungoni kwa muda mrefu tusikumbuke tulikotoka kamwe nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…