Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
a6ccac7d3f767dc845d78aeeaf1bed79.jpg
aliposema tu kwamba kuna njia isiyohusu analysis nilimshuku sana..tena alivoweka mascreenshot kibao nikajua huyu kayapakua kwingineko anatuona mahambe..forex utafanyaje bila information?..utatrade vipi wakati hauna ufahamu wa unayoyafanya?..kila wakati tunaambiwa kwamba mtaji wako ni kitu cha dhamana sana manake umeuhangaikia sana na hivyo kila wakati unafaa kuutumia kwa njia nzuri..very disgusting..asante Ontario kwa kutambua uhuni wa huyu kaka..
 
Nisaidie hii app. Ni android? Yaitwaje? Mi natumia GOFOREX, lakn nadhani ni jambo jema kutumia app ambayo karbia wote twatumia humu, ili iwe rahis kuelekezana, na ikibidi, kukopy trade, mana kuna mahali nimesoma ukiwa na pro trader waeza kumkopy vile anavyotrade...


Edit: niko katika demo pia[emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
MT4, nenda playstore andinka hivyo itakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mkifanya juhudi you will thank me letter mimi naingiza tuu pesa kila dakika,saa,siku hadi mwezi sehemu yoyoye ile mimi naingiza pesa haijalishi nimelala,nafanya mazoezi nasafiri n.k lakini biashara yangu ya forex haisimami ni smartphone au laptop yangu tu na bundle la 500 mimi naingiza pesa.
8ec47477cd071f7b9948d7e0c9417521.jpg
f6f994938d364fe35003ce1ff4e92f33.jpg
6ffc779cf3cb14aaf8a36eff50bf2f00.jpg
5f6677d855cfcda27573e70daa85f958.jpg
663aa20b63a19601c456c8f49eada9cc.jpg
0cc65c133e47d8014e66e9ab81fdd9e7.jpg
d394adeda12cd54c49e57f9065bd31eb.jpg
89c43279fe59354715784a5bdbc67f2a.jpg
kwenye kila jambo gumu kuna njia rahisi ya kutatua tatizo nitaanda materials jinsi gani unaweza kupiga pesa nyingi kwa kutoumiza kupekua habari za uchumi na biashara ulimwenguni na kukesha na graph.Njia ni rahisi mno naimani mtanishukuru kesho kwa watu wote wanaojua na hata wasio jua kiingereza au ambae hata hakusomea kabisa mambo ili kwapamoja kama taifa tuinuke kiuchumi na kufanya majukumu yanayo tukabiri kimaisha ikiwemo pia kumtumikia Mungu.asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nailaumu serikali ya ccm na mwenyekiti wake!!

Wenzako wanaona fursa wanajifunza wewe unakomaa unataka kutapeli watu!!!
 
Fanya Unachokifanya, nakupa ruhusa lkn usijaribu kukifanya mbele yangu boss. Tengeneza group la whatsapp danganya watu huko lkn ukifanya mbele yangu yani umenidharau sana kwamba I am clueless about forex. Umeniboa sana mzee wangu.
a6ccac7d3f767dc845d78aeeaf1bed79.jpg
Aisee that was Technical knockout,, i think watu kama hao is just the beginning sema since ulisema u hav balls za chuma then lets keep moving au sio mzee wa cheeky tiger.
 
Aiseee bro unachofanya si sahihi. Nilikua nangoja tu unijibu.

Aina hii ya uhuni hua siipendi kabisa sheikh wangu. Let's keep it real!!

Mimi nikikwambia najua vitu vingi sana kuhusu forex, nieleweke hivyo. Hizo trades ambazo unazipiga screen shot tangu mwanzo nazifahamu. Thabani Ngcobo ni mwanangu sana, nilikua nae Juzi juzi tu aisee, yani hata ukiniamsha usiku ukanionesha trades zake wala sitahitaji kunawa uso kuzitambua.

Forex haina siasa boss. You either learn the art or be an observer. Naomba utuombe msamaha kwa ulichokifanya, otherwise tutakuona vitu vyote ulivyozungumza ni ujanja ujanja. Hizo trades za Thabani Ngcobo na umezitoa kwa IG yake. Sitaki kuleta hapa ushaidi just kulinda heshima yako. But let's try to put it real.

Kuhusu forex wadanganye watu mkiwa wawili sehemu mmetualia, lkn usizungumze forex mbele yangu ukadhani forex nimeijua juzi. Acha izo jombaa!! Sisi hua Thaba tunamuita Mr. 0.5 - nitajitahidi kumleta aje atusalimie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nilikuwa nafuatilia nijue mwisho wa majigambo haya
 
Ninajoin SKRILL hivi sasa. Naomba kuuliza wapendwa.
1. Hapa kwenye address 1 nimejaza sahihi (Natokea Iringa Town)?
2. Je kwenye Postac Codes nijaze vipi?

Natanguliza shukrani.
sk.PNG
 
Za masiku wadau, binafsi since day 1 baada ya kusoma post ya ontario, nilijisemea kimoyomoyo this dude is real an honnest. Honnesty is expensive thing, don't expect it from cheap people. This dude pamoja na Bavaria ni watu ambao wapo honnesty sana.

Angalizo tuu kwa nyote ambao mna mzuka na hii biashara, hii biashara haiitaji mihemko. Kwamba usikie mtu kaanzisha kundi na wewe haraka haraka utake kuingia katika hilo kundi. Haya mambo hayaendi hivyo, hii biashara inahitaji umakini wa hali ya juu sana, pengine umakini ambao hujawahi kuwa nao hapo kabla.

So sote ambao ni wageni na hii biashara, let us wait for a call from Ontario. Tupo wengi sana humu, si rahisi wote wakapata training chance katika darasa. Hivyo kusoma hakuepukiki, either unataka chance ya darasa/seminar ama laa, kusoma hakuepukiki.

Ukisoma, hutokuwa traped kirahisi. Na utakuwa huru.
 
Nilifwatilia background yake nikasema acha nikae kimya kwanza, nisiwe negative...

Hizi ni post zake za mwaka huu, nyingi ni za mwezi wa 6!!

Natafuta ajira wakuu
Nauza mashine ya juisi ya miwa isio tumia umeme
Nauza subwoofer
Nauza sofa+kitanda+mtungi wa gas
Natafuta kazi yoyote wakuu
Nauza water dispencers kwa 30,000
Natengeneza blog kwa 10,000/=
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ..njia ya mwongo ni fupi hivi kumbe

What goes around always comes around
 
Mmh!..kuna watu wanataka kutuvuruga tena?walikua wapi cku zote?hapa inabidi tumuamini ontario tu.hawa jamaa wengine watatuvuruga na screenshot zao.cku zote walikua kimya
Mkuu, huyu ni tapeli tena mjinga sana
 
Ndugu zangu wote ambao tunatunisha misuli kwaajili ya fx haina budi kuwa wapole na kuendea kuchimba vitabu mbalimbali tunavyoelekezwa na wahusika nawapongeza wale wote ambao wanatumia muda na nguvu katika hili kwa faida yao na taifa kwa ujumla angalizo watakuja matapeli wa kila sampuli kwenye Uzi huu tujichunge sana ombi langu kwako Ontario hawa watu wote nikama umewafungua walifungwa kiuchumi ukawaonyesha ulimwengu wa uchumi ulivyo hivyo huna budi kuwalinda kwani wanakutegemea kama mchungaji kondoo akitoka nje ya zizi ananafasi kubwa ya kuliwa na mbwamwitu usiwaache wahanaike huko nje wataliwa mpaka wajute kuijua Forex naomba wanahamu kubwa ya kuiona nchi ya ahadi tumekuwa kifungoni kwa muda mrefu tusikumbuke tulikotoka kamwe nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom