Postcode ni kwa ajili ya address za UK na Zipcode ni kwa ajili ya US, sasa hapo inabidi ulazimishie tu kama una PO Box number weka hapo sysytem ikutambue otherwise itakusumbua kukusajili.Kwa uelewa wangu, postal code ni ile +255. Ambayo pia huitwa zip code. Kama kuna mahali pana adress, na kuna town... Ndo P.O.Box
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kukutananae....mwambie tunasubiri sana darasa lake. Mwambie hatutamwangusha kabsa.Wakuu nimebahatika kuonana na mentor wetu akitrade live,aisee zile screenshot zake hua ni real.
Siwezi kuwa na maneno mazuri ya kuelezea mshangao na furaha yangu ,waliompa jina kwa kuanza na Sir hawakukosea
kwa kifupi margin ni actual investment amount(kiasi halisi cha pesa ulichowekeza) na leverage ni multiplier au zidisho zaidi la faida.example una spread/pip ya 2 (yani utotauti kati ya bid na ask price) na umetumia leverage ya 50:1 hivyo basi faida ya pesa utakayo pata ni (2×50=100) Na vice versa ni hivyo hivyo kama spread/pip ya -2 ambayo ni loss vivohivyo kama umetumia leverage ya 50:1 utakua umepata hasara ya (2×50=100).angalizo unapokuwa na leverage kubwa ndo kadiri risk inapokuwa kubwa.unashauriwa leverage maximum iwe 200:1.Nadhani ntakua nimekujibu swali lako chiefKwa waelewa, msaada kwenye tuta,
Hii kitu yaitwa MARGIN, inakuwa donated kwa 25:1 au 50:1 leverage, manake nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana mdogo naona unapambana upate na ww hisa kwnye kikampuni chetu[emoji13] [emoji13]kwa kifupi margin ni actual investment amount(kiasi halisi cha pesa ulichowekeza) na leverage ni multiplier au zidisho zaidi la faida.example una spread/pip ya 2 (yani utotauti kati ya bid na ask price) na umetumia leverage ya 50:1 hivyo basi faida ya pesa utakayo pata ni (2×50=100) Na vice versa ni hivyo hivyo kama spread/pip ya -2 ambayo ni loss vivohivyo kama umetumia leverage ya 50:1 utakua umepata hasara ya (2×50=100).angalizo unapokuwa na leverage kubwa ndo kadiri risk inapokuwa kubwa.unashauriwa leverage maximum iwe 200:1.Nadhani ntakua nimekujibu swali lako chief
MREJESHO:Currently scalping MAY CRUDE OIL.
Let me see if the channel will work also for me
Sent using Jamii Forums mobile app
good,,tuendelee kupambana,,Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.Naombeni mrudishe tena tumaini kwangu kama ilivyo kwa Mr.ontarion mwanzilishi wa huu uzi natumaini Mr ontarion kwa kujua forex nje ndani lakini kuna vitu inawezekana vikawa vichache au vingi mimi navijua yeye havijui au mimi sivijui yeye anavijua.Najutia kosa langu sitorudia tena.ila natumaini pia mnahitaji msaada wangu katika kujua basics za forex wakati Mr Ontarion akijipanga kupanga kuanza ratiba yake vizuri kuanza kufundisha forex.asanteni(kunikejeri,kunitukana,kunishauri,kunicheka,n.k vyote mnaruhusiwa)karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hapo kwenye bold inaonyesha ulikua na nia mbaya?Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani chiefMkuu mbona hapo kwenye bold inaonyesha ulikua na nia mbaya?
Anyways
Huu ndio tunaita uungwana personally nimekusamehe, na post yangu nimefuta! Next time usirudie!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me nimechagua io option ya mwisho ya kukucheka jinsi ulivyokubali kosa na kuwa mpole... Dah!! Inaitwa caught red handed io..Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.Naombeni mrudishe tena tumaini kwangu kama ilivyo kwa Mr.ontarion mwanzilishi wa huu uzi natumaini Mr ontarion kwa kujua forex nje ndani lakini kuna vitu inawezekana vikawa vichache au vingi mimi navijua yeye havijui au mimi sivijui yeye anavijua.Najutia kosa langu sitorudia tena.ila natumaini pia mnahitaji msaada wangu katika kujua basics za forex wakati Mr Ontarion akijipanga kupanga kuanza ratiba yake vizuri kuanza kufundisha forex.asanteni(kunikejeri,kunitukana,kunishauri,kunicheka,n.k vyote mnaruhusiwa)karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
je unajua kwamba "TRUST"ni kama kioo na ikivunjika ni vigumu sana kuiunga?ulichokifanya sio kabisa ila kwa vile wadau kwenye uzi huu tuna mambo muhimu ya kufanyia kazi tena wastaarabu utasamehewa mzee..ila faham kosa ukilirudia ndio utaharibu...haya,karibu ufaidi kaka...Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.Naombeni mrudishe tena tumaini kwangu kama ilivyo kwa Mr.ontarion mwanzilishi wa huu uzi natumaini Mr ontarion kwa kujua forex nje ndani lakini kuna vitu inawezekana vikawa vichache au vingi mimi navijua yeye havijui au mimi sivijui yeye anavijua.Najutia kosa langu sitorudia tena.ila natumaini pia mnahitaji msaada wangu katika kujua basics za forex wakati Mr Ontarion akijipanga kupanga kuanza ratiba yake vizuri kuanza kufundisha forex.asanteni(kunikejeri,kunitukana,kunishauri,kunicheka,n.k vyote mnaruhusiwa)karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me nimechagua io option ya mwisho ya kukucheka jinsi ulivyokubali kosa na kuwa mpole... Dah!! Inaitwa caught red handed io..
Ila blaza ujirekebishe hio tabia sio kabisa, utakuja umbuka sehemu nyingne mbaya zaidi.
Binafsi nimekusamehe kwa kuwa umeomba radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuuje unajua kwamba "TRUST"ni kama kioo na ikivunjika ni vigumu sana kuiunga?ulichokifanya sio kabisa ila kwa vile wadau kwenye uzi huu tuna mambo muhimu ya kufanyia kazi tena wastaarabu utasamehewa mzee..ila faham kosa ukilirudia ndio utaharibu...haya,karibu ufaidi kaka...
Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.Naombeni mrudishe tena tumaini kwangu kama ilivyo kwa Mr.ontarion mwanzilishi wa huu uzi natumaini Mr ontarion kwa kujua forex nje ndani lakini kuna vitu inawezekana vikawa vichache au vingi mimi navijua yeye havijui au mimi sivijui yeye anavijua.Najutia kosa langu sitorudia tena.ila natumaini pia mnahitaji msaada wangu katika kujua basics za forex wakati Mr Ontarion akijipanga kupanga kuanza ratiba yake vizuri kuanza kufundisha forex.asanteni(kunikejeri,kunitukana,kunishauri,kunicheka,n.k vyote mnaruhusiwa)karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app