Wana jukwaa la forex kwa ujumla na Mr.ontario naombeni ladhi kwa kitendo changu cha kujilimbikizia sifa zisizo zangu na kuwapa hofu watu kwamba mimi ni tapeli.Sikua na nia mbaya na mifuko yenu bali nilikengeuka tu mwenzenu na kuingiwa na shetani la ulaghai.Naomba ladhi kwa kitendo nilicho kifanya na kutengua na kubatilisha screenshots za transactions zote nilizopost nikidai kuwa ni zangu.Naombeni mrudishe tena tumaini kwangu kama ilivyo kwa Mr.ontarion mwanzilishi wa huu uzi natumaini Mr ontarion kwa kujua forex nje ndani lakini kuna vitu inawezekana vikawa vichache au vingi mimi navijua yeye havijui au mimi sivijui yeye anavijua.Najutia kosa langu sitorudia tena.ila natumaini pia mnahitaji msaada wangu katika kujua basics za forex wakati Mr Ontarion akijipanga kupanga kuanza ratiba yake vizuri kuanza kufundisha forex.asanteni(kunikejeri,kunitukana,kunishauri,kunicheka,n.k vyote mnaruhusiwa)karibuni
Sent using
Jamii Forums mobile app