Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
HUYU NI TICKMILL (NI HATARI KWA AFYA YAKO KAMA UNAANZA)

[HASHTAG]#mwl rct[/HASHTAG] [HASHTAG]#lodrick[/HASHTAG] [HASHTAG]#bavaria[/HASHTAG] [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]
 
Nilishawahi ku-blow account zangu mbili kwa njia hii.

Trade zimeenda against the trend and i didn't wanna close my positions.

Nilichelewa hadi salio likakata
 
HUYU NI TICKMILL (NI HATARI KWA AFYA YAKO KAMA UNAANZA)

View attachment 563829

View attachment 563831

View attachment 563832

[HASHTAG]#mwl rct[/HASHTAG] [HASHTAG]#lodrick[/HASHTAG] [HASHTAG]#bavaria[/HASHTAG] [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]
Hii sio justification kwamba sio wazuri!!

Nilidhan wamekuzingua kwenye trades labda wamekupiga pesa au wamesababisha ukaunguza account!!

So far,japo siwatumii, ila tickmil ni moja ya brokers nnaowaamini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani katika pitapita zangu zoote kwenye huu uzi, sijaona kabisa watu wakigusia kwa namna yoyote hii platform ya mt5 iwe ni kwenye simu au kwenye pc... Nikajaribu kupita mtandaoni nione difference zilizopo kati ya mt4 na mt5, but nikaona kama mt5 iko na more features like additional timeframes and indicators. But still sijajua kwann watu wengi wanatumia mt4. Msaada please....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio justification kwamba sio wazuri!!

Nilidhan wamekuzingua kwenye trades labda wamekupiga pesa au wamesababisha ukaunguza account!!

So far,japo siwatumii, ila tickmil ni moja ya brokers nnaowaamini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimewapenda tickmill,nimeanza jana,tatizo langu na broker wangu wa kwnz fxtm ni ishu ya kuset SL pips chache,tickmill hana noma,naset SL pips chache navotaka,japp ana commission lkn sio ishu sana.

Mkuu kwanza hawana option ya currency wao wana trade commodities ,indeces na energy

Wao hawana Order unaingi kwenye markert price moja kwa moja

Hawana SL (stop looser) hapa hadi ukate wewe

hawna OCO one cancel other order
 
Sahihi kabisa

Real ECN broker kwa sehemu kubwa pato lake anategema commission.

Hivyo kwa utafiti mdogo nilio ufanya Tickmill ni moja kati ya ECN broker wazuri.
 
Mkuu kwanza hawana option ya currency wao wana trade commodities ,indeces na energy

Wao hawana Order unaingi kwenye markert price moja kwa moja

Hawana SL (stop looser) hapa hadi ukate wewe

hawna OCO one cancel other order
Brother are u criaz!?

Nna mashaka kama kweli umewahi kutrade kupitia tickmill au kutrade forex at all kugundua madhaifu hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hawana option ya currency wao wana trade commodities ,indeces na energy

Wao hawana Order unaingi kwenye markert price moja kwa moja

Hawana SL (stop looser) hapa hadi ukate wewe

hawna OCO one cancel other order
Unaongea mambo ambayo huyajui kabisaa.. Vyote ulivyoandika ni totally the opposite, ila umenchekesha hapo umesema hana stop loss mpaka ukate mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo broker atakua ni nomaa!!

Fanya research zaidi tickmill is among the best brokers i know!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana stoploss hadi ukate mwnyw!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaelewa vizuri hizo terminology MKuu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…