Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
719354a62399b3cc92ded9deb61902c4.jpg

Sio mbaya kunyanyua ka lot size kama mambo yakiwa ktk mstari [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
wakuu naombeni website ya pioneer bank na skrill wallet mana kila nikigoogle zinakuja nyingi na wanasema kuna scam
 
Wakuu inamaana kama sitokuwa na postal address sitoweza kuApply na kupokea Mastercard ya Payoneer?
Wanachoomba Payoneer si postal adress tu na hiyo postal unaweza tumia hata ya mtu.......ila ishu ngumu ni Postal code.....kuipata hii ingia kwe website ya TCRA tafuta eneo ulipo kuna namba utaziweka huko kwe kujaza
 
Ndio mkuu!!

Unaweza tumia la mtu ila kama kuvungua unaweza ni vyema ukafungua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu Postal code ni namba ambazo huwakilisha eneo fulani kuanzia mtaa,Kijiji,Kata,Wilaya na Mkoa hizi namba hazifanani kwa maeneo yote nchini kila eneo lina namba yake na hutolewa na TCRA.......lkn Postal adeess hili ni sanduku la posta kwa kisw.na huwa zinatolewa kwa kila mtu mwenye uhitaji na hutolewa na Shirika la Posta
https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/Full_Postcode.pdf
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mnaoanza real money account broker huyu (TICKMILL) si mzuri kwa afya zenu

1forexbrokers. Com/broker/135/Tickmill
 
- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130

(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
  • Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
  • Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)
View attachment 563035

  • Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer
View attachment 563038

  • Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
View attachment 563045

Ujinga wa tickmill ni kuverify doc yaan ni changamoto, nimewatumia statement lkn bado tuu wanasema Validate sijui niwatumie nn tena
 
Kusoma vitabu ni maandalizi ya kukuandaa kisaikolojia usije kuchanganyikiwa pale utakapopoteza pesa nyingi ndani ya muda mfupi(in a matter of seconds or minutes).......Ni rahisi zaidi kupredict matokeo ya mechi kati ya Barcelona na Granada ndani ya dakika 90 kuliko kupredict movemente ya currency sekunde tano zinazokuja( kwa lugha nyingine footbal betting is much easier than doing Forex Trade)........Banks and other financial institution they r doing Forex on their own ways( sio kupitia brokers kama retail traders).............all in all....HOPES FOR THE BEST, PREPARE FOR THE WORST...!
 
Well said!

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Kusoma vitabu ni maandalizi ya kukuandaa kisaikolojia usije kuchanganyikiwa pale utakapopoteza pesa nyingi ndani ya muda mfupi(in a matter of seconds or minutes).......Ni rahisi zaidi kupredict matokeo ya mechi kati ya Barcelona na Granada ndani ya dakika 90 kuliko kupredict movemente ya currency sekunde tano zinazokuja( kwa lugha nyingine footbal betting is much easier than doing Forex Trade)........Banks and other financial institution they r doing Forex on their own ways( sio kupitia brokers kama retail traders).............all in all....HOPES FOR THE BEST, PREPARE FOR THE WORST...!
nenda ukabet basi,jukwaa la betting hujaliona?
 
wakuu, kufungua position nyingi maana yake ni kubuy/sell pair moja ktk mafungu mengi au kubuy/sell pairs kwa wakati mmoja

na je, pairs nyingi zinaanzia ngapi?
 
Habari
Pls share nasi, Je ni broker yupi unapendekeza?
Ahsante

Kwa mimi lakini namtumia Market.com huyu nilimfunga kozi nilikua na mtaji mdogo, huyu ananipa kila kitu

Ila broker mzuri kama una mtaji ni FXTN huyu yeye uwe na usd 500 kwa kuanza

Wa 3 ni pepperston

Kwa mimi
1.FXTN
2.pepperstone
3. Market
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom