Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu shukrani, nitazingatia..ila nina swali jingine..kuna hii trailing stop, hii ni aina ya stop loss ambayo ina lock in profit zako baada ya price ku move kwenye position yako uliyoamua, sasa mimi leo (Alhamisi) nime sell USDJPY at 109.757 nimeset take profit kwenye 109.188, nika set pia trailing stop ya 40 points..hii inamaanisha inge lock profit zangu kila price inapo move 40 points au 4 pips kwenda upande wangu, ila ajabu position yangu imekuwa locked kwenye 109.688 na price ilishuka sana leo hadi 109.153 hivi..imenikosesha hela nyingi, tatizo ni nini?
hapo labda ulikosea tu mwenyewe. take profit uliset 109.688 badala ya 109.188 uliyoitaka. mana zinafanana sana. "Entry error". Double check. otherwise I got no idea!
 
kwa sauti ya mkuu ONTARIO "kutosoma vitabu katika forexhakujawahi kumuacha trader SALAMA "....all in all tuko pamoja kaka..... Mwenyezi MUNGU azidi kukupa nguvu ya kutupigania wahenga wenzako pia shukrani kwa kutuokoa kwny midomo ya mamba...... Maana wapo weng,wakitega mabomu we unafyatua hahahaha.... USIOGOPE MAADUI, NA STARRING HAUWAWI. .. .......nko live tickmill yangu.... Huku namsubri sir.JView attachment 562801
James naona upo kwenye monthly timeframe... kwa maneno mengine unahitaji mwezi au miezi kadhaa setup yako ikubali.. unless you are a long-term trader. ila nadhani huko si kwako.
 
pamoja mkuu...nimekuelewa vema!! so unanishaur niizngatie trading ya 5mnt or 15mts cyo?
 
Week inaisha Mkuu Ontario please tia neno uzi uchangamke

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
EUR/USD imenishangaza leo. imeshoot hadi nikacnganyikiwa...
Kulikuwa na news release saa tisa na nusu ya Core Inflation Rate YoY (CPI)
Ni balaaaaa aliyeforecast vizuri ameula na ambaye hakuweka stop loss na ikawa against am sure amechoma account!!
 
EUR/USD imenishangaza leo. imeshoot hadi nikacnganyikiwa...
Sio EURUSD tu...pair zote zenye dola zimetikisika!!

Kwa kifupi dola ilishuka thaman japo naona ime recover!!

Kama uli go-long kwenye dola lazima ulitikiswa kidogo!!

Ndio ujue kuna umuhimu wa fundamental analysis sio tu technical!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nime short, nikapata hasara kiasi, ime retrace naona nimerecover hasara, nimepata faida in turn[/QUOTE

The way inavyopanda ghafla unaweza pata presha hasa kama ikiwa against you hahaha!!

Shukuru mungu hii haijadumu mda mrefu!! Kuna kipindi rais wa bank ya europe alitoa speech yan euro ilopanda kama inakimbizwa.

Mbaya zaidi haikua kwa mda mfupi ili dumu kama wiki kadhaa. Hii ya leo ingekua kama hiyo ya kipindi hicho mda huu ungekua unalia duuuhh!!

Jitahidi kufwatilia news. Sometimes pakiwa na major news realeses huwaga sio mda mzuri sana ku trade maana unaweza pata loss kubwa au faida kubwa!!

Aisee ile kipindi kile Euro ilinifanya kitu mbaya. Halafu nikajitia kidume nakomaa nayo sitaki kuachia positon.
 
Hii kitu ni mbaya sana!! Nakumbuka EURUSD ilitoka 1.2 mpaka 1.4 kama sikosei...

Unaweza jipa moyo itashuka kumbe inapanda slowly!! Ukija shtuka una marginal call na stop out level ina approach!!

Ukiendelea kuzubaa unakuta acc imewaka moto!!!

Kipindi cha major news ni vyema ukawa makin na stop loss!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The way inavyopanda ghafla unaweza pata presha hasa kama ikiwa against you hahaha!!

Shukuru mungu hii haijadumu mda mrefu!! Kuna kipindi rais wa bank ya europe alitoa speech yan euro ilopanda kama inakimbizwa.

Mbaya zaidi haikua kwa mda mfupi ili dumu kama wiki kadhaa. Hii ya leo ingekua kama hiyo ya kipindi hicho mda huu ungekua unalia duuuhh!!

Jitahidi kufwatilia news. Sometimes pakiwa na major news realeses huwaga sio mda mzuri sana ku trade maana unaweza pata loss kubwa au faida kubwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa aisee naikumbuka ile wiki vizuri sana.. Nilichokifanya nlifanya kama complex nkajikuta ctaki kuclose position matokeo yake ikawa ndo mara yangu ya kwanza kuchoma ac..
Yule governor wa BOE aliniharibia sana wiki japo nilijifunza mengi sana kutokana na lile tukio.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Hahaa daah pole sana mkuu!! Lazima ikuvugie siku kwa kweli!!

Kitu cha muhimu ni kutumia stop loss effectivelly kipindi kama hiki!! Na kama ukiona huwezi ni bora kukaa pemben na kungoja kimbunga kipite ndio urudi sokoni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa daah pole sana mkuu!! Lazima ikuvugie siku kwa kweli!!

Kitu cha muhimu ni kutumia stop loss effectivelly kipindi kama hiki!! Na kama ukiona huwezi ni bora kukaa pemben na kungoja kimbunga kipite ndio urudi sokoni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hicho ndo kikubwa nlichojifunza nlikuaga na kimbelembele sana cha news kabla hata market haijaonyesha imedigest vipi hizo news mimi nishajump in, saiv kati ya sehemu nakua mpole ni before news release..
Nimeshika adabu.
 
3851ddbabba6418170133b6ab728f560.jpg

Nataka kufungua demo akaunt kwa metatrader for pc. Ni broker gan wenzangu mwamtumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hicho ndo kikubwa nlichojifunza nlikuaga na kimbelembele sana cha news kabla hata market haijaonyesha imedigest vipi hizo news mimi nishajump in, saiv kati ya sehemu nakua mpole ni before news release..
Nimeshika adabu.
The otherway around...kama pakiwa na economic new usi jump in kabla ya haijatangazwa...pia unaweza tumia pending order kama buy stop na sell stop!!

Kama ikiwa on your favor it hit the point kama sio basi utabak safe na unaweza cancel order ambayo haijafikiwa!!

Nadhan this is the safe way!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom