The way inavyopanda ghafla unaweza pata presha hasa kama ikiwa against you hahaha!!
Shukuru mungu hii haijadumu mda mrefu!! Kuna kipindi rais wa bank ya europe alitoa speech yan euro ilopanda kama inakimbizwa.
Mbaya zaidi haikua kwa mda mfupi ili dumu kama wiki kadhaa. Hii ya leo ingekua kama hiyo ya kipindi hicho mda huu ungekua unalia duuuhh!!
Jitahidi kufwatilia news. Sometimes pakiwa na major news realeses huwaga sio mda mzuri sana ku trade maana unaweza pata loss kubwa au faida kubwa!!
Sent using
Jamii Forums mobile app