Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachoomba Payoneer si postal adress tu na hiyo postal unaweza tumia hata ya mtu.......ila ishu ngumu ni Postal code.....kuipata hii ingia kwe website ya TCRA tafuta eneo ulipo kuna namba utaziweka huko kwe kujazaWakuu inamaana kama sitokuwa na postal address sitoweza kuApply na kupokea Mastercard ya Payoneer?
Wewe wamekuomba Postal adress au Postal code?
Hivyo basi yanipasa kufungua sanduku la posta? Lodrick Thomas
Si kitu kimoja ni vitu viwili tofautiSamahani Boss.
Hivi postal Code & postal address ni kitu kimoja? Nifahamishe.
Hapana mkuu Postal code ni namba ambazo huwakilisha eneo fulani kuanzia mtaa,Kijiji,Kata,Wilaya na Mkoa hizi namba hazifanani kwa maeneo yote nchini kila eneo lina namba yake na hutolewa na TCRA.......lkn Postal adeess hili ni sanduku la posta kwa kisw.na huwa zinatolewa kwa kila mtu mwenye uhitaji na hutolewa na Shirika la PostaNdio mkuu!!
Unaweza tumia la mtu ila kama kuvungua unaweza ni vyema ukafungua!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa..mkuu nakumbuka ukisema kwamba unakomaa na euro wakati huo..ulitegemea kwamba inge retrace kumbe kitu kilikuwa kiende upogo kwa wiki kadhaa[emoji23] [emoji23]Aisee ile kipindi kile Euro ilinifanya kitu mbaya. Halafu nikajitia kidume nakomaa nayo sitaki kuachia positon.
Hahahaa ungekua ume sell ungekua unaisoma namba ya kirumi sa hivi!!![]()
Sio mbaya kunyanyua ka lot size kama mambo yakiwa ktk mstari [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Shukran mkuuHahahaa ungekua ume sell ungekua unaisoma namba ya kirumi sa hivi!!
Ila kuwa makini unapofungua position nyingi. Sio safe sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
- Hakuna muda maalum, hatakama utaikuza kwa siku moja na kufikia kiwango ambacho kimewekwa.
- Kigezo ni kuikuza hadi ufikishe USD 130
- Baada ya kuwa umefikisha USD 130
(a) Watachukua USD30 zao
(b) Utabakiwa na USD 100 faida yako - ambayo inatakiwa uihamishie kwenye real account yako.
View attachment 563035
- Login Kwenye Promo Account ($30 Welcome Account) yako.
- Click OPEN ACCOUNT na chagua kati ya CLASSIC (haina cammision) au ECN PRO (ina camission)
View attachment 563038
- Rudi kwenye Promo account na chagua internal transfer
Hapo uamuzi ni wako uitoe hiyo faida, au uendelee kuifanyia trading kwenye real account yako.
- Hapo utaweza kuhamisha faida USD 100 kuingia kwenye Real account yako.
View attachment 563045
HabariKwa Mnaoanza real money account broker huyu (TICKMILL) si mzuri kwa afya zenu
1forexbrokers. Com/broker/135/Tickmill
Well said!Kusoma vitabu ni maandalizi ya kukuandaa kisaikolojia usije kuchanganyikiwa pale utakapopoteza pesa nyingi ndani ya muda mfupi(in a matter of seconds or minutes).......Ni rahisi zaidi kupredict matokeo ya mechi kati ya Barcelona na Granada ndani ya dakika 90 kuliko kupredict movemente ya currency sekunde tano zinazokuja( kwa lugha nyingine footbal betting is much easier than doing Forex Trade)........Banks and other financial institution they r doing Forex on their own ways( sio kupitia brokers kama retail traders).............all in all....HOPES FOR THE BEST, PREPARE FOR THE WORST...!
nenda ukabet basi,jukwaa la betting hujaliona?Kusoma vitabu ni maandalizi ya kukuandaa kisaikolojia usije kuchanganyikiwa pale utakapopoteza pesa nyingi ndani ya muda mfupi(in a matter of seconds or minutes).......Ni rahisi zaidi kupredict matokeo ya mechi kati ya Barcelona na Granada ndani ya dakika 90 kuliko kupredict movemente ya currency sekunde tano zinazokuja( kwa lugha nyingine footbal betting is much easier than doing Forex Trade)........Banks and other financial institution they r doing Forex on their own ways( sio kupitia brokers kama retail traders).............all in all....HOPES FOR THE BEST, PREPARE FOR THE WORST...!
Kwanini unasema sio wazuri??Kwa Mnaoanza real money account broker huyu (TICKMILL) si mzuri kwa afya zenu
1forexbrokers. Com/broker/135/Tickmill
Nitakuja na picha kusapoti maelezo yangu
Habari
Pls share nasi, Je ni broker yupi unapendekeza?
Ahsante
Habari
Pls share nasi, Je ni broker yupi unapendekeza?
Ahsante