Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hilo ni kosa kubwa sana. One of the rule ktk forex ni DISCIPLINE.

Kuna siku utahama nayo na currency pair itaendelea kuhama na wewe na mwisho utapata loss kubwa hata kuunguza account.

Ukishamasta strategy Fulani na ukaitest several time na ikakupa profit most of the time, stick to its rule usihame hame.

Kumbuka kuwa hakuna holly grail system or strategy but kama strategy in a probability ya kukupa profit kwa angalau 70% hiyo inafaa.

Kwa hiyo loosing three trade out of 10 maana Yake on average bado unapiga profit.

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss nnahisi kama haukumwelewa jamaa yeye alimaanisha SL anakuwaga anaisogeza pindi trend ikiwa ishahamia kwenye faida so nnahisi anachofanya ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi SL naweka ila ikipanda currency juu na mimi nahama na SL hadi najikuta SL inakuja kukata ikiwa kwenye faida kama currency inashuka sijui kama hapo nitakuwa nakosea wadau
Ndugu kama hiyo SL uwa unaisogeza pindi trend inapoelekea kwenye faida upo sawa maana itakusaidia pindi mambo yanapobadilika ghafla still uendelee kuwa na faida...

Ila ni marufuku kuirudisha nyuma zaidi kama trend inaelekea upande wa hasara maana kwa kufanya hivyo utaunguza account yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo ni kwamba unarisk 100usd lupata 100usd??

Yaani unapata hasara ya 100usd ili upate 100usd??

Mbona kama ni unrealistic??
That is according to astroforex book. It is a minimum. Mimi binafsi Mara nyingi napenda kutumia 1:2 au 1:2.... or even 1:3 kulingana na what the price action tells me kwa wakati huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni kosa kubwa sana. One of the rule ktk forex ni DISCIPLINE.

Kuna siku utahama nayo na currency pair itaendelea kuhama na wewe na mwisho utapata loss kubwa hata kuunguza account.

Ukishamasta strategy Fulani na ukaitest several time na ikakupa profit most of the time, stick to its rule usihame hame.

Kumbuka kuwa hakuna holly grail system or strategy but kama strategy in a probability ya kukupa profit kwa angalau 70% hiyo inafaa.

Kwa hiyo loosing three trade out of 10 maana Yake on average bado unapiga profit.

Sent using Jamii Forums mobile app
KEMUODIO yuko sahihi!! SL inaweza tumika kama mechanism ya kuzua losses pia inaweza tumika kama exit strategy ya kukutoa sokoni ukiwa na profit incase soko limeenda kombo!!

Unachofanya, kama ume go-long kwenye pair, ni kuisogeza pindi profit inapopanda na incase soko likiharibika utatoka sokoni ukiwa na profit na sio loss (incase ungeiacha at its initial point)! In this case inakua inafanya kazi kama trailling SL japo wewe ndio utakua unasogeza!

Inshort SL sio tu inatumika kukulinda na losses ilasometimes inaweza tumika ili ku-retain profit uliyoipata!

Nawashauri mkasome kitabu cha NAKED FOREX TRADER kwenye chapter ya EXIT STRATEGIES!! Mtaona yote humo!!
 
mimi SL naweka ila ikipanda currency juu na mimi nahama na SL hadi najikuta SL inakuja kukata ikiwa kwenye faida kama currency inashuka sijui kama hapo nitakuwa nakosea wadau
Uko sahihi. Unachokifanya ni sawa na kitu chaitwa TRAILING STOP LOSS ambayo kuna mabroker wengne hukiset automatically, ila we wakifanya manually

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maanisha 0.01??

Anyways..

Kama ana malengo ya kutumia position size kubwa mfano 0.1 kwenda juu then yuko sahihi ila kama anataka tumia 0.01 sizan kama ni muhimu!!

Hivo ndio nnavyojua!! Ila ni vyema ukafwata ushauri wake !!

BTW kwanini mtu akusaidie ku trade?? Wewe huwez?? Kama huwezi kwanini usijisomee au ukangoja training??

Ahsante kwa mrejesho Lodrick Thomas

Position size ndo hiyo hiyo 1% = 0.01 , bado nahitaji kujifunza ndg yangu, siwezi kukimbia wakati ndo kwanza nazaliwa.

Huyu jamaa yeye ananipitisha kwenye platform tu , halafu mambo mengine juu yako. Watu hawataki lawama.

Boss si unaona kila ushauri kwenye trading una disclaimer ndio maana kila nikiuliza maswali kwa wahusika nisiporidhika natuliza boli narejea kwenye misahafu na DEMO's na kusikiliza wadau wanasema nini.

Nashukuru michango ya wadau kwenye hii Launge inajenga sana, sometimes idea ngumu inarahisishwa.Big Up Guys.
 
SL hiyo iko kama 30 pips from entry
price. Kuhusu risk reward ratio, hubadilika kutegemea na price action strategy inayogovern .

Every strategy has its unique entry and exit rule. Kwa hiyo discipline na patience inahitajika sana.

Lakini inashauriwa Risk-reward ratio a minimum of 1:1

Sent using Jamii Forums mobile app
30pips? Au mm nachanganya wapi...

[HASHTAG]#62722387[/HASHTAG] hii order naona entry point yake ni around 0.72830 na SL ni 0.73120 ...je hapa ni 30pips? Au kuna kitu nachanganya ???
Nifungue akili kidogo mkuu...
 
30pips? Au mm nachanganya wapi...

[HASHTAG]#62722387[/HASHTAG] hii order naona entry point yake ni around 0.72830 na SL ni 0.73120 ...je hapa ni 30pips? Au kuna kitu nachanganya ???
Nifungue akili kidogo mkuu...
Kuhesabu pips don't include the last digit in the rate. Tumia tu four digit to the right of decimal place

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK maana Yake anatumia trailing stop order. If that is a case, nafikiri yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app


Mwana wa ngurumo sorry for this....you seem to be too curious to the charts that you now beginning to fubricate your own patterns.

Kwa mfano hzo unazoita head and shoulders most of them are not head and shoulders...most of them ni kwamba price inakuwa kwenye range (tena consolidation naweza sema) tu.

Ili head and shoulders iwe head and shoulders kweli kwanza ni muhimu ile neckline iwe inaslope opposite na head and shoulders yako na market iwe imetrend kwa muda kidogo..(uptrend/downtrend)

Kama ni normal head and shoulders ni vema basi basi neckline yako iwe (sio sheria lkn) inaslope chini na kama ni inverse head and shoulders iwe inaslope kuelekea juu.

Kitu kingine target yako kama (kweli ni real head and shoulders) inatakiwa iwe ni distance btn head and neck kwenda chini au juu kwa inverse HS. Ingaweje price inaweza shoot zaidi ya hapo.

Sasa Sijui kama hizi head and shoulders zako zinameet hzo criteria au inakuweje mkuu wangu.

No disrespect to your skills tho ila ni kutaka kubadilishana mawazo tu maana unaweza ukawa unadhani kitu ndicho kumbe sicho halafu ikawa maumivu.

Pamoja mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom