Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimekupata mkuu.

Ila sikushauri uanze kwanza. Read books then ukipata nafasi uende kwenye training itakusaidia sana!!
Ahsante mkuu.
Nilitamani sana kuhudhuria kwenye training, sasa niko visiwa vya mbali, hivyo nitaikosa. Kwasababu ni mwanzo, hopefully training inayofuata nitakuwa nimerudi.
Sasa ni mwendo wa Books na online resources tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijaanza kutrade, ila kulingana na mazungumzo position size ni 1%
Unamaanisha anataka utumie lot size ya 1.0? Duh mbona hatari hii kama ndivyo ulipaswa usome kwanza maelekezo yake na huduma anazotoa kuliki kuingia tu na kuweka hela bila kucheki reviews zake........kama ndivyo msikilize jamaa na ufuate maelekezo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii fursa sisi wa mikoani ndo tushaikosa daaah!! pain
Mkuu mbona unakata tamaa mapema. ONTARIO aliifuata hii kitu South Africa alipotumiwa photo na Mike ya BMW zero KM, akasema age simba afe mmasai lazima hiyo kitu aijue. Sasa wewe unaona shida kutoka mkoani kwenda Dar. Unanishangaza sana

Mimi pia niko mikoani na nimeajiliwa lkn nimesema afe simba afe beki lazima hii kitu niijue, I am so motivated, inspired and determined into forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well said, hii sio ya kukosa kama mtu hana nauli au hela ya malazi akope tu. ila kama vitabu hujavielewa kabisa nahisi hata training inaweza gonga mwamba kuielewa so usikope tulizana for sometime usije ukajutia mkopo. so far minahisi kwa mtualiye soma vitabu pamoja nakupitia videos tofauti tofauti youtube niwazi kabisa forex kwa mtu makini lazima itakupa mshiko zaidi ya ulio utumia.
 
Wadu habari za siku ningependa kuuliza ni kwanini Markets hua zina move against GDP data releases, zikiwa favourable markets hua zina tank na ikiwa disponting markets hua zina appreciate.
 
Thanks nkwarisambu for your highlights. They real make sense

I have gone back to the books and read again and gained much more skills on the pattern

In some of the patterns I combined the head and shoulders look-like pattern with top down analysis and trend riding strategy (check the NZDUSD analysis I shared and back test yourself - the pattern, then do top down analysis from D1 and H1 and then ride the trend).
So it is a combination of head and shoulders formation, top down analysis and trend riding strategy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P
pamoja sana mkuu kwenye list ya mwanzo yaani wale 300 wa mwanzo mimi niwe wa 150.
Uzi umetulia sana na kadiri unavyoendelea kuusoma ndo unashawishika zaidi
 
P
pamoja sana mkuu kwenye list ya mwanzo yaani wale 300 wa mwanzo mimi niwe wa 150.
Uzi umetulia sana na kadiri unavyoendelea kuusoma ndo unashawishika zaidi
Yaaaah, ingawa wanamkwaza sana. Juzi katuambia kuwa kuna dola karibia 15000 USD wamemkwamisha asizitoe. Natamani kuijua hiyo benki ili nasi tujiepushe nayo. Hela inatoka nje kihalali halafu watu wanaibania, huu ni ujinga kabisa. Sijui tutaendelea lini sisi waTanzania.
 
P
pamoja sana mkuu kwenye list ya mwanzo yaani wale 300 wa mwanzo mimi niwe wa 150.
Uzi umetulia sana na kadiri unavyoendelea kuusoma ndo unashawishika zaidi
Dah... Mkuu ndio nini sasa hiki kuquote uzi mzima tena mrefu kama huu???... Kwan ungeandika bila kuquote uzi wote kingepungua nn???

Tujirekebishe jamani.....
 
sidhan
sidhani kama umemuelewa mkuu, kamaanisha price ikiwa inaenda n his favor anamove SL to breakeven, hio ni kawaida kwenye fx especially unapokuwa unaswing, locking profits ni kawaida sana tu kwa proffesionals wengi
 


Wakuu msaada hapo...hiyo price hapo najaza value ipi?

All men are self made [emoji123]
 
risk ratio ya 1:1 haiwi recommended sana coz utapoteza the same au utapata the same, inatakiwa angalau 1:2 ie you lose 50 au you get 100
 



Have you read about C.T.L's???
 
kama unamjua personal hakuna neon mana akikudhulumu utampata otherwise pole, utaibiwa
 
I'm all in, kuna wakati nilifungua had demo account ila nikashindwa kuendelea.
Bado nipo chuo, but this is what I can't afford to miss!
Count me in man!
Mpendwa naomba nikutafye unielezee alau kidogo kuhusu iki kitu......
Tusionane tuu kwenye story za Lara.... Ata kwa pm tuu ili nipate mwanga kidogo
 
Mpendwa naomba nikutafye unielezee alau kidogo kuhusu iki kitu......
Tusionane tuu kwenye story za Lara.... Ata kwa pm tuu ili nipate mwanga kidogo
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
 
Tutangazieni basi darasa angalau kututoa tongotongo tujue ni wapi pa kuanzia.. Tupo wenye nia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CFDs ni fursa nzuri ukiifahamu lakini ni very risk unaweza kupoteza mtaji wako wote ndio maana kama mtoa mada alivyosema inabidi ujifunze kwa kusoma na upate mentor wa kukusaidia mimi nilijifunza tokea mwaka 2014 mpaka sasa naendelea pia nina ndoto ya kuweza kusajili hapa Tanzania ili tufundishe watu bila kuvunja sheria za nchi. Nipo tayari kusaidiana na wenzangu watu wajue, nimeshashiriki mashindano makubwa ya kimataifa na kufanya vyema kwa kuiwakilisha Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…