Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Super the boss ONTARIO

Nimefurahi sanaaaa

Big up sana
Tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks God Kwa Hilo, unajua ilifika mahali nikahisi kuvuta Kwa siku mbele inaweza ikawa sio Tu Ontario anaweka mambo Sawa ofisini bali anataka tusome hadi tuelewe kila Kitu wenyewe Na mwisho wa siku kusema training is over indirectly. Tunashukuru mkuu tunasubiria Kwa hamu kupata utaratibu Mzima wa jinsi mambo yatakavyo kwenda.
Be blessed.
 
Much respect to you bro!
Nipo kampala lakini naamini lazima nihudhurie hiyo course kwa ghalama yoyote.
 
Asante mkuu, utaratibu gani utatumika kuweza kupata nafasi au wa kujulishwa kuwa umeteuliwa ku attend?
 
Mkuu Sirjeff,let u include me in this exclusive training.
 
Thanks sir, we are together.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good job Jeff!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi hata nikiwa mgawa maji katika Hilo darasa inatosha ilimradi niwepo ndani najitolea kwa Huyo kazi
[HASHTAG]#all[/HASHTAG] pips be with us plees
[HASHTAG]#blue[/HASHTAG] be with us
 
Today its a great news day,
Simba tumeshinda plus the long waited great news confirmed.
Nakenua tu hapa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I was still patient wait for this official launching information
Mungu azidi kukubariki mpaka ukamilifu wa dahari , some of us are silent readers , pls do not forget us Mwana mbarikiwa .
 
Aisee ontario kama huna wa kukusaidia during meeting mfano kugawa maji kwa walegwa thou pia nitalipia sio km nataka niwepo bure no nitalipia na pia najitolea bure kabisa km ulivyoshare na sisi bure nasi tutajitolea kwa hilo count on me plz thnx u wengine tulikuwa tunawait the moment watu waongeeeeeeeee wamalize si tunajua kutangulia sio kufika the first bach count on me km hawajajulikana watakao anza na if selection itakuwepo au utachagua randomly niwepoe tu coz mtembea na mnuka manufa perfume naye pia hunukiaa ukitembea na mwizi naye pia so nikiwepo kwenye meetimg hiyo nitapata tu chchte thnx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…