Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Uuuuuwiiih!!!Dada....kiruuuuuu!Mbona hukuniita dada yako siku zote hizi sasa adhabu yako kunipa samare yoote mpaka comment ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuuuuwiiih!!!Dada....kiruuuuuu!Mbona hukuniita dada yako siku zote hizi sasa adhabu yako kunipa samare yoote mpaka comment ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazingua huyu dogo hakuna cha summary wala mdogo wake. Tukomae tu mkuu au tumechelewa eti wenyeji wa hapa mnatushauri nini?
Shukran sana boss....Aisee currenct trrading for dumies somehow kinaonekana kigumu kwa maana kuna baadhi ya vitu wameongelea juujuu hawajaingia ndani sana.. Ila unaweza kukipaka gease kwa kuchanganya na forex bible. Yaani namaanisha uwe unavizoma vyote kwa pamoja. Muongozo wako uwe CT for dummies, usipoelewa unashika Forex bible same topic/item unasoma utaelewa vizuri.
Then baada ya kumaliza chukua Naked forex, hiki hakijatungwa kwa ajili ya wanaoanza kujifunza, bali kwa waliokwisha jifunza ila wanataka kuongezea knowledge.
Ukimaliza hapo chukua Astro forex, hiki kipo kama summary ya forex bible na CT for dummies. Mpaka hapo utakuwa na mwanga wa hii biashara.
Mimi binafsi ndo njia niliyopitia. Kujifunza.
also I'm inYou are not leaving me behind, not this time!
This dude is going blue right now
Sijakupata mkuuNaona wengi hapa washaanza kuwa ma naked trader nimefatilia naona trades wanazoshea na kudiscuss haziushi sana matumiz ya INDICATORS... HONGERA ZENU AISEE
Hujaanza kupitia pitia hivyo vitabu walivyo suggest? Anza kuvipitia utamuelewa alichamaanisha
Anazingua huyu dogo hakuna cha summary wala mdogo wake. Tukomae tu mkuu au tumechelewa eti wenyeji wa hapa mnatushauri nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuuNguvu yako tuu bi dada. Kuna usemi unaosema kutangulia siyo kufika.
Hiko hapo
Mkuu Lodrick ThomasUsisahau kuleta mrejesho...
Tumia PC mkuu
Forex si machezo mpaka kwenye kikao unatililika na Uzi huu. Nilijua niko pekeyangu