Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aisee currenct trrading for dumies somehow kinaonekana kigumu kwa maana kuna baadhi ya vitu wameongelea juujuu hawajaingia ndani sana.. Ila unaweza kukipaka gease kwa kuchanganya na forex bible. Yaani namaanisha uwe unavizoma vyote kwa pamoja. Muongozo wako uwe CT for dummies, usipoelewa unashika Forex bible same topic/item unasoma utaelewa vizuri.

Then baada ya kumaliza chukua Naked forex, hiki hakijatungwa kwa ajili ya wanaoanza kujifunza, bali kwa waliokwisha jifunza ila wanataka kuongezea knowledge.

Ukimaliza hapo chukua Astro forex, hiki kipo kama summary ya forex bible na CT for dummies. Mpaka hapo utakuwa na mwanga wa hii biashara.

Mimi binafsi ndo njia niliyopitia. Kujifunza.
Shukran sana boss....
 
School of Pipsology

Vitabu vimenielemea haviishi na huu uzi unatembea speed sio ya kawaida [emoji17] [emoji17]

Baby steps ntafika tuuu...
 
Usisahau kuleta mrejesho...
Mkuu Lodrick Thomas

Mrejesho: My SL was hit in the morning

I am now fading the breakout in EURNZD pair

c3d247eebad786b0f83a5e6b8dfe504f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom