Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
kuna nyingine nasikia ni mpya mpya inaitwa sijui ethereum iko kama bitcoin unaionaje hiyo mkuu
 
Asante mkuu....nimekuwa naifuatiliafuatilia Bitcoin tangia mkuu ontario aiongelee kwenye ile interview yake....leo naona ilikuwa inakimbilia USD 4600.

Hapa kwa kiswahili cha kule kwetu ulipishana na hela mkuu....duuuuuu...
Ukiangalia graph ya bitcoin na litecoin graph trends zinapanda tu... Yani nkiweza kufanya analysis ni rahs kutrade cryptocurrencies kuliko currency pairs (nahisi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28] [emoji28] Wala sikujua kama jambo lingeweza kua zito kiasi hiki, bado tu mpk saa hz???

wakuu swala liliishia katika njia nzuri tu, turud kwenye mada, tupigane na Pips sio maneno na vijembe visivyokua na msingi wala msaada ama Faida yeyote.. turud kwenye njia sasa,

Yaliyopita yamepita [emoji41],

Tarehe moja iko mlangon hapo
 
Mimi nilikuwa nawapigia salute akina Ref wayne,sandile shezi n.k kumbe kuna watabe wa hii mambo for sure nimekuwa inspired!
Much respect to you mkuu Bavaria umenitia hasira ya kukaza zaidi kupga msuli.
 
Ndugu al_watan we we ni tapeli wa maneno Mkuu
Sababu za Mimi kusema hivyo ni Kama ifuatavyo
Kina utofauti mkubwa sana wa kutrade binary and for ex interns of pips
Binary option had I j pili unatrade kutegemeana ma soko LA nchi husika katika currency lakini pips zake ni kubwa sana zinapanda ma kushuka kwa ghafla ma katika binary unaweza pata hasara kubwa sana kwani lot size we we huikontorl Kama soko likikuendea vibaya.
For ex utofauti wake soko lake. Ni Monday mpaka ijumaa usiku jumamosi hakuna soko
Soko linaanza. Jumapili usiku. Saa sita na kundelea . Katika forex unaweza kucontrol pips, unaweza kuset lot size unayotaka pia unaweza kuweka pending order, SL na tp zipo na inategemea na analysis zako tu.
So. Mkuu we we unafanya binary option. Na humu sisi tunajifunza forex hivyo basi ni Kama unachanganya wadau
Ushauri wangu kwako alwatan fungua Uzi wako anza kufundisha watu kuhusu hi yo binary kuanzia fundamental mpaka technical analysis pia na masoko yake yapoje itakua ni. Busara sana na sio kujaza serva bure hapa.
 
dah,una experience tosha
 
Tumeshalimaliza hilo tatzo mkuu la nini unalishupalia?
Wote ni matrader si binary wala forex kwani kosa lake lipi kushare nasi juu ya kile amekipata?
Let us go......
 
scatter hili neno tapeli si zuri kutumia, kwanini utumie hili ikiwa sioni dhamira yoyote ya kutapeli aliyoonesha zaidi ya kutoa somo la time zones nk, tupo kujifunza tuwe chanya
 
dah,una experience tosha
Kiasi, haya madudu hayana experience. Wenyewe wana msemo wao wanaupenda sana wanasema "past performance is not a guarantee of future success".

The market is an animal. It is a jungle. It is an ecosystem.

Lakini habari basic kama timezone hizohta kablahujaingia ku trade inabidi uzijue,hususan kamamtu wa kujichanganya viwanja vikubwa na ku crisscross ma intenationaldate line mara una lose days mara una gain days etc.
 
scatter hili neno tapeli si zuri kutumia, kwanini utumie hili ikiwa sioni dhamira yoyote ya kutapeli aliyoonesha zaidi ya kutoa somo la time zones nk, tupo kujifunza tuwe chanya
Wahenga walisema penye wengi hapaharibiki neno,na penye ukweli, uongo hujitenga.

Ingawa kichango kuchangizana, na ada ya mda kunena, maungwana ni kitendo, lakini pia mara nyingine asiyejua maana, haambiwi maana.Hususan kwa kujua mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi na kiburi si maungwana.

Akumulikaye mchana, usiku atakuchoma hivyo akutendaye mtende, mche asiyekutenda.

Akili ni nywele, kila mtu ana zake, za kuambiwa chanaganya na zako.
 
scatter hili neno tapeli si zuri kutumia, kwanini utumie hili ikiwa sioni dhamira yoyote ya kutapeli aliyoonesha zaidi ya kutoa somo la time zones nk, tupo kujifunza tuwe chanya

Mkuu jamaa anachanganya mada za binary na forex hasa hizo time zone anazozikomalia ni za binary LAKINI FOREX INA WORKING HOURS. NA KUNA MAsaa huwezi fanya biashara tusichanganye wadau
 
EURGBP man. Caught it struggling to penetrate around 0.93-ish...and look what happens after few hours. Done with training for today
 
Attachments

  • EURGBP.PNG
    47.1 KB · Views: 72
  • EURGBP__.PNG
    58.2 KB · Views: 65
Nimebahatisha hii faida muda so mrefu baada ya hasara kubwa niliyopata Jana na Leo asbh( practice acc)
 
Attachments

  • Screenshot_20170829-221427.png
    32.8 KB · Views: 75
Nimebahatisha hii faida muda so mrefu baada ya hasara kubwa niliyopata Jana na Leo asbh( practice acc)
Mkuu, umebahatisha 🙂 .... wanasema "trust your analysis"....usibahatishe...nakushauri usiingie live na vocabulary kama hizo. Ukipata hasara angalia ulikosea wapi. Ndio kujifunza.
 
Mimi nilikuwa nawapigia salute akina Ref wayne,sandile shezi n.k kumbe kuna watabe wa hii mambo for sure nimekuwa inspired!
Much respect to you mkuu Bavaria umenitia hasira ya kukaza zaidi kupga msuli.
Sikua nimeuona uzi wenyewe... ku quote kwako kumesaidia nikauona,
 
Mkuu jamaa anachanganya mada za binary na forex hasa hizo time zone anazozikomalia ni za binary LAKINI FOREX INA WORKING HOURS. NA KUNA MAsaa huwezi fanya biashara tusichanganye wadau
Kiongozi, hilo kaburi hebu tulifunike, tusonge mbele
 
Mkuu jamaa anachanganya mada za binary na forex hasa hizo time zone anazozikomalia ni za binary LAKINI FOREX INA WORKING HOURS. NA KUNA MAsaa huwezi fanya biashara tusichanganye wadau

Boss mbona mnapenda kukuza mambo unnecessary.? Al-watan alishasema toka mwanzo kuwa anatrade binary. Na anatumia Nadex kutrade. Tena kuna mdau huko nyuma aliuliza tofauti ya binary na Forex jamaa akaeleza tofauti kama uliyoeleza wewe. Yet leo unakuja na kusema jamaa ni tapeli ilhali kuna mtifuano uliibuka jana regarding same stuffs bahati nzuri suluhu ilipatikana.
 
Okey Mkuu yaishe mie bado. Najifunza forex nikielewa hii nitasonga mbele
Forex kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…