Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=10083&cis=1&lp=https://tickmill.com/

Sorry sikuwa online kwa muda mrefu.. Nimekuta PM nyingi kuhusu Broker aitwaye Tickmill,

Pia watu wanasumbuka kufungua live account na tickmill kwakuwa pale chini kuna sehemu ya kujaZa IB Number wengi hawanaga so ukiwa unafungua live tumia number hii :23138654

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry kwa uelewa wangu IB in introducing Broker.yani broker(MTU)anayekuintroduce kwa broker kama Tickmill na anapewa commission. Hiyo namba ni ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wahenga wote wanaotaka kujua market sessions hours kwa masaa ya kitanzania ni kama ifuatavyo:
Sydney session: Saa 7usiku hadi 4asubuhi.

Tokyo Session: 8usiku hadi saa 5 asubuhi.

London Session: Saa 4asubuhi hadi saa 1usiku.

New York session: Saa 9mchana hadi Saa 6usiku.

Kwa information zaidi nenda play store na download app inayoitwa "FXhours" itakupa haya masaa kwa time za kibongo.
Asanteni.
Mhenga anayesubiria training ya Ontario.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How did u knw it'll drop...

Sent using Jamii Forums mobile app

Haha.JPG

Hii inaleta maana yoyote kwako mkuu...EURGBP

cc Rob Art
 
ONTARIO Bavaria au mdau yoyote naomba minisaidie ushauri juu ya hili:

Je, Mnashauri nianze kwa broker gani as a beginner??

Je mnashauri nifungue account katika bank gani ambayo haitakuwa na complications nyingi kwa mimi as trader?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Fx pro financial limitted, hawana shida kwenye withdraws zao

Sent using Jamii Forums mobile app

asante mkuu,

vipi kuhusu bank account, unashauri nifungue bank gani?

Then niliwahi kudownload app ya broker wanaitwa "easy markets" ila sikuweka mzigo bado,
walinipigia simu wakaniambia nikiweka pesa wao wananipa offer ya 50% ya hicho nitakachoweka na watakuwa wananipa free training on how to trade?

Je hili linawezekana kweli au ndiyo makanjanja??
 
https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=10083&cis=1&lp=https://tickmill.com/

Sorry sikuwa online kwa muda mrefu.. Nimekuta PM nyingi kuhusu Broker aitwaye Tickmill,

Pia watu wanasumbuka kufungua live account na tickmill kwakuwa pale chini kuna sehemu ya kujaZa IB Number wengi hawanaga so ukiwa unafungua live tumia number hii :23138654

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kirahisi tu watu tutumie namba ambayo hatuijui maana yake kwenye maswala ya msingi sana kama hela??? you can't be serious dude. tuambie hiyo namba maaana yake na madhara ya kuitumia hiyo namba na pia umeipata wapi a.k.a nani kakupa. who is the guy behind the number??????? otherwise I can smell fishy on the number and that brings questions to the Tickmill reputation as a trusted broker! So the number u gave us + Tickmill broker are officially DISQUALIFIED. Otherwise proven beyond doubt.
 
Habari ya asubuhi.

Hongera wote kwa kutambua hii Biashara.

kwa wale ambao tayari wameanza,

Mapendekezo (preference) yangu kwa leo ni.

  1. EURUSD - LONG
  2. GBPUSD - LONG
  3. USDJPY - ** Caution
  4. EURJPY - LONG
  5. GBPJPY - LONG
  6. AUDUSD - LONG
  7. USDCAD - SHORT
  8. GOLD - LONG
Happy trading.
 
Mrejesho tafadhali
 
Yani kirahisi tu watu tutumie namba ambayo hatuijui maana yake kwenye maswala ya msingi sana kama hela??? you can't be serious dude. tuambie hiyo namba maaana yake na madhara ya kuitumia hiyo namba na pia umeipata wapi a.k.a nani kakupa. who is the guy behind the number??????? otherwise I can smell fishy on the number and that brings questions to the Tickmill reputation as a trusted broker! So the number u gave us + Tickmill broker are officially DISQUALIFIED. Otherwise proven beyond doubt.

Habari Makambaja

nafikiri Jojo123 hiyo namba aliyokupa ni IB Number (yaani Introducing Broker) huwa ni practice ya kawaida brokers kuwa na IBs (yaan kama sales representatives), Hivyo Jojo123 hapo anamaana kuwa yeye ndio amekufahamisha kuhusu Tickmill.

hiyo siyo sababu ya kum- disqualify Broker, wengi huwa wanakuwa na huo utaratibu.

Cheers

Happy Trading
 
View attachment 577744

Hii inaleta maana yoyote kwako mkuu...EURGBP

cc Rob Art

Thats it. Hii pair imewaliza Seller wengi ambao hawaangalii kushoto (its history)-been bullish as heck. Last time ilikua maeneo hayo ya 0.93 ni October 2016. Na sasa ipo hapo tena na ina-test ku break hiyo resistance. So far inaonyesha kama inashindwa kupita, na hivyo tujiandae kwa safari ndefu ya kurudi south.
 
Tunajaribu Ku apply kile tulicho soma ingawa pamaweza kuwa na makosa madogo madogo kadhaa ni sehemu ya kujifunza.
Mm nimeuona huu Uzi almost 15 minutes baada ya kuwa published. I was so motivated kuanzia tarehe hiyo 26 May 2017, miezi mitatu sasa imepita.

Mwanzoni nami nilikuwa naona Cheche, nilikuwa sielewi vzr vitu hivi. Nilisoma kwa bidii sana kuhakikisha hii kitu ninaielewa. Yaani zaidi ya 50% ya muda wangu wa kila siku niliutumia kwenye forex. Masaa yangu ya kulala yalibadilika. Nilikuwa nalala mara nyingi saa 8 usiku kwa sbb ya msuli wa hii kitu. Mchana natafuta muda nikiwa kazini nakula msuli (kwa kweli hata muda wa muajili nimeuiba sana kwa ajili ya forex). My mind was completely swallowed by forex.

Hivyo it is not easy. It takes time with a lot of efforts and determination you put in it.

Nami hata sasa kuna mengi sijajua kuhusu forex. Natamani nipate nafasi ya Ku attend seminar ya ONTARIO. I am not that confident mpaka tu nitakapo attend hiyo training.

So don't loose hope, kazana kusoma na usirukie kwenye kufanya analysis kabla ya kujua basics za forex. Nakushauri soma kitabu cha my forex bible, kisha nenda kwa astroforex. At least hivi vinaanza kukuelekeza kama mtoto anayefundishwa kuanza kukaa.

Nakusisitiza usiruke kukimbilia mbele au kumaliza kitabu. Soma kwa makini hatua kwa hatua usiruke ruke, hutaambulia kitu ukifanya hivyo.

Ukizingatia hayo, with time utashangaa unaanza kuona mwanga na kuelewa kinachoendelea

Pamoja mkuu.

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja kaka ...Shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawahamasisha wakuu.

Ujue kila mtu akiwa anaongelea biashara ya Forex bila hata mtu mmoja kuonyesha mafanikio yake hapa, itaonekana kama hadithi za ajabu.

Umeona zaidi ya faida ya $500 ya Jumapili jioni nimeongeza $1030 faida mpya Jumatatu asubuhi saa mbili kamili za huku?

Sasa hivi wiki hii kuanzia Jumapili mpaka Jumatatu asubuhi nishapiga faida ya $1530.

Na hapo bado Jumatatu ina masaa kibao ya kuongeza faida zaidi kama nataka kuendeleza libeneke.

Sikutishi mkuu.

Nakupa changamoto.

Sent from my Kimulimuli
Daah shukrani sana mkuu. .ni kwenye demo au real account?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kirahisi tu watu tutumie namba ambayo hatuijui maana yake kwenye maswala ya msingi sana kama hela??? you can't be serious dude. tuambie hiyo namba maaana yake na madhara ya kuitumia hiyo namba na pia umeipata wapi a.k.a nani kakupa. who is the guy behind the number??????? otherwise I can smell fishy on the number and that brings questions to the Tickmill reputation as a trusted broker! So the number u gave us + Tickmill broker are officially DISQUALIFIED. Otherwise proven beyond doubt.

Hii inatolewa na broker mwenyewe kwa watu ambao ni watumiaji wa tickmill ili kuwaalika watu wengine,
Na kupitia namba hiyo broker anafahamu ni nani amekukaribisha.
Kwa mfano mimi nina duka la nguo nins mteja wangu wa siku nyingi,nampatia code namba anawapatia wateja wapya wakija kwangu wanaitumia ile code namba.
Hiyo itanifahamisha umeniletea wateja wangapi,na kupitia hiyo naweza kukupatia zawadi kutokana kupanua soko langu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom