Tunajaribu Ku apply kile tulicho soma ingawa pamaweza kuwa na makosa madogo madogo kadhaa ni sehemu ya kujifunza.
Mm nimeuona huu Uzi almost 15 minutes baada ya kuwa published. I was so motivated kuanzia tarehe hiyo 26 May 2017, miezi mitatu sasa imepita.
Mwanzoni nami nilikuwa naona Cheche, nilikuwa sielewi vzr vitu hivi. Nilisoma kwa bidii sana kuhakikisha hii kitu ninaielewa. Yaani zaidi ya 50% ya muda wangu wa kila siku niliutumia kwenye forex. Masaa yangu ya kulala yalibadilika. Nilikuwa nalala mara nyingi saa 8 usiku kwa sbb ya msuli wa hii kitu. Mchana natafuta muda nikiwa kazini nakula msuli (kwa kweli hata muda wa muajili nimeuiba sana kwa ajili ya forex). My mind was completely swallowed by forex.
Hivyo it is not easy. It takes time with a lot of efforts and determination you put in it.
Nami hata sasa kuna mengi sijajua kuhusu forex. Natamani nipate nafasi ya Ku attend seminar ya ONTARIO. I am not that confident mpaka tu nitakapo attend hiyo training.
So don't loose hope, kazana kusoma na usirukie kwenye kufanya analysis kabla ya kujua basics za forex. Nakushauri soma kitabu cha my forex bible, kisha nenda kwa astroforex. At least hivi vinaanza kukuelekeza kama mtoto anayefundishwa kuanza kukaa.
Nakusisitiza usiruke kukimbilia mbele au kumaliza kitabu. Soma kwa makini hatua kwa hatua usiruke ruke, hutaambulia kitu ukifanya hivyo.
Ukizingatia hayo, with time utashangaa unaanza kuona mwanga na kuelewa kinachoendelea
Pamoja mkuu.
Thanks
Sent using
Jamii Forums mobile app