Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonae kuna news ilitolewaMh, Hawa wamarekani wameamka saa hizi naona na USD inapata nguvu ya faru dume.
Kwa wahenga wote wanaotaka kujua market sessions hours kwa masaa ya kitanzania ni kama ifuatavyo:
Sydney session: Saa 7usiku hadi 4asubuhi.
Tokyo Session: 8usiku hadi saa 5 asubuhi.
London Session: Saa 4asubuhi hadi saa 1usiku.
New York session: Saa 9mchana hadi Saa 6usiku.
Kwa information zaidi nenda play store na download app inayoitwa "FXhours" itakupa haya masaa kwa time za kibongo.
Asanteni.
Mhenga anayesubiria training ya Ontario.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss hapo naona kuna kitu hakijakaa sawa umezidisha lisaa limoja (closing time ) kwa kila session
pitia marekebisho yafuatayo hapa chini
Sydney --7 usiku hadi 3 asubuhi
Tokyo ---8 usiku hadi 4 asubuhi
European (Germany) ---9 asubuhi hadi 11 jioni
European( London) ----4 asubuhi hadi 12 jioni
Newyork session ----3 mchana hadi 5 usiku
Nipo tayari kukosolewa
Umeonae kuna news ilitolewa
Smart phoneUnatumia kifaa gani na platform gani kuangalia market trends.?
News ilikuwepo mkuu, mida ya saa tisa na nusu, tena rated "High Impact"-USD GDP Price IndexHakuna news yoyote ile niloiona, Huwa ni kawawida kwa most of the times USD kuanza siku ikiwa na nguvu. Hii husababishwa na pending orders na daily activities.
boss,natural calamities ni mojawapo ya factors zilizopo zinazochangia currency ya nchi fulani kufanya vibaya sokoni.hii ni kwa sababu[ maeneo yaliyoadhirika hayajihusishi na ukuzaji wa uchumi na mara nyingi wanategemea msaada na hivyo inaadhiri balance ya producing na consuming.iwe ni maradhi,ukame au any natural phenomena itachangia sana katika kuporomoka kwa currency ya nchi husika..hebu cheki hizi news nawe utoe maoni yakoBoss kwa hilo la mafuriko sidhani kama lina impact kubwa sana katika pesa ya marekani. Mambo ambayo yanakuwa na influence ya moja kwa moja katika pesa ya nchi husika ni kama vile tishio la vita, Vikwazo vya kiuchumi, vita baridi, siasa za nchi (uchaguzi), sera za nchi n.k Na huwa inakuwa hivyo kutokana na kwamba katika nyakati hizo mitaji ya wafanyabiashara huwa hatarini kupotea kutokana na vitu kama hivyo kwa kuwa hakuna anayehitaji kuwekeza katika unstable situation kwani itahatarisha mtaji wake . And fnally ni supply and demand controls the market.
Kwa kifupi ni kwamba kujua kwamba ni fundamental analysis ipi yenye influence ya kutikisa currency ya nchi husika, just aangalia tuu ni kwa namna gani hiyo fundamental analysis itaaffect sheria ya supply na demand ya nchi husika katika pesa yake. This is one of the golden concepts in this game.
nadhani sasa umepata picha ya nilichomaanishatena ukizingatia maeneo yaliyoadhirika ni lousiana na ambako mafuta na gesi hutoka.
"Account yako inapo grow kwao inasoma hasara"Tumekuwa muda wote tukizungumzia forex lakini baada ya kusoma vitabu kadhaa nikaona sio vibaya nikajiunga na club mbalimbali kwa watu waliotutangulia kufanya hiii kitu.Niliuliza swali je ni kweli unaweza anza na mtaji wa 500$ na kufikisha 5 figures or 6figures.Majibu ya wengi ilikuwa ni Yes and No.Nitaelezea kwa nn No.Walichonambia tatizo ni Broker wengi wana trade ila Broker sio wote waaminifu wana cheat why wana cheat ni kwa sababu account yako inapogrow kwao inasoma hasara sasa je ni nan anayependa hasara?Walinishauri kama unataka forex ikulipe weka mtaji angalau wa 5000$.Vinginevyo utahitaji kutumia nguvu nyingi kukuza mtaji wako kumbuka broker wako hatapenda kila siku aingie hasara.Wadau tusaidiane kumbe broker sio wote waaminifu.
Sent using Iphone 7+
Walichonambia tatizo ni Broker wengi wana trade ila Broker sio wote waaminifu wana cheat why wana cheat ni kwa sababu account yako inapogrow kwao inasoma hasara sasa je ni nan anayependa hasara?Walinishauri kama unataka forex ikulipe weka mtaji angalau wa 5000$.
Sio kweli wanajua mengi ila kama ww unajua zaidi kuhusu Broker unaweza kutuelezea hapa mkuu.Tatizo sio forex au mm au ww ambao ni retail trader walidai changamoto ipo kwa Broker utayemtumia na siku zote tumezungumza forex hapa lakini hatujawahi zungumzia kwa undani majukumu ya Broker.Hatujawahi jiuliza broker yy anapaje faida? na mnalipana vip kwenye biashara hii.Inaonekana washauri wako hawajui LOLOTE kuhusu forex, na brokers...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli wanajua mengi ila kama ww unajua zaidi kuhusu Broker unaweza kutuelezea hapa mkuu.Tatizo sio forex au mm au ww ambao ni retail trader walidai changamoto ipo kwa Broker utayemtumia na siku zote tumezungumza forex hapa lakini hatujawahi zungumzia kwa undani majukumu ya Broker.Hatujawahi jiuliza broker yy anapaje faida? na mnalipana vip kwenye biashara hii.
Sent using Iphone 7+
Tumia brokers kama XM, FXTM, markets.com, easymarkets.com, instaforex... Hawa hata hapa tz unafungua demoNaombeni jamani nielekezwe njisi yakufungua Demo account nikufungua kwa baadhi ya brokers wanasema not registered in Tanzania , naombeni nielekezwe hata hata za mwanzo za kufungua Demo Account nianze kujifunza pole pole mnanitamanisha kichizi najaribu kufungua ila issue zinagoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.View attachment 578480
Nimenunua bitcoin. Yenyewe kama yenyewe imenipa hasara ya 2.30. Lakin hapo juu unaona hasara ya 3.22 (-3.22USD).
Hapa chn utaona neno commission: -0.92..
Hasara ya 2.30 + -0.92 = hasara ya 3.22.
Hiyo -0.92 ndo ambayo broker anapga.
Na kuna kingne chaitwa swap. Overnight position holding fee.
Haijalishi umepata faida au hasara, ye chake anakata mapema... So broker yeyote anapga pesa kama kawa.
Kuna wengne wanakuchaji unavyotoa pesa zako kutoka kwa akaunt unayotumia kutrade pia.
Sent using Jamii Forums mobile app