Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
How can u manage risk ukiwa na capital kubwa? Mana nahc ukiluz una luz amount kubwa zaidi, au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza ukawa na capital na ukacheza kwa size ndogo. Hivyo utaloose padogo in turn. Capital kubwa ukiwa nayo inakuondolea stress kwenye margin call na stop outs calls kwani utakuwa huru somehow with no much worries. Na pia ikitokeea umefeli katika trades, Then you will have another chance of speculating na kujiuliza na kuingia katika more trades. Maana it happens sometimes someone generates loss in 10 consecutive trades. Sasa fikiria kama una capital ndogo halafu unaanza tuu kama amateur then unapiga loss in 10 consecutive trades utakuwa katika hali gani. Hahahaaaa, BTW usishangae kupiga loss in 10 consecutive trades, hii ni kawaida katika forex, Pro wanaelewa hili kuwa sometimes shit happens with or with no reason.

Anyway, mimi binafsi siamini katika kuwa na mtaji mkubwa ndo ufanikiwe forex. Mimi naamini katika kuanza na mtaji mdogo uukuze uwe mkubwa. But ukichukua njia hii umakini wa hali ya juu unahitajika sana hususan ukiwa mwanafunzi kama sisi.
 
Boss kwa hilo la mafuriko sidhani kama lina impact kubwa sana katika pesa ya marekani. Mambo ambayo yanakuwa na influence ya moja kwa moja katika pesa ya nchi husika ni kama vile tishio la vita, Vikwazo vya kiuchumi, vita baridi, siasa za nchi (uchaguzi), sera za nchi n.k Na huwa inakuwa hivyo kutokana na kwamba katika nyakati hizo mitaji ya wafanyabiashara huwa hatarini kupotea kutokana na vitu kama hivyo kwa kuwa hakuna anayehitaji kuwekeza katika unstable situation kwani itahatarisha mtaji wake . And fnally ni supply and demand controls the market.

Kwa kifupi ni kwamba kujua kwamba ni fundamental analysis ipi yenye influence ya kutikisa currency ya nchi husika, just aangalia tuu ni kwa namna gani hiyo fundamental analysis itaaffect sheria ya supply na demand ya nchi husika katika pesa yake. This is one of the golden concepts in this game.
Katika kusoma habari ya kimbunga wanasema imepandisha bei ya petrol Marekani inaweza kuwa na impact yoyote?
 
Sio kweli wanajua mengi ila kama ww unajua zaidi kuhusu Broker unaweza kutuelezea hapa mkuu.Tatizo sio forex au mm au ww ambao ni retail trader walidai changamoto ipo kwa Broker utayemtumia na siku zote tumezungumza forex hapa lakini hatujawahi zungumzia kwa undani majukumu ya Broker.Hatujawahi jiuliza broker yy anapaje faida? na mnalipana vip kwenye biashara hii.

Sent using Iphone 7+
Broker anapata faida kupitia commission inayotoka katika kila position unayofungua,
Iwe umepata profit or loss yeye commission yake inabaki palepale.
Pia anapata faida kupitia swaps zinazotokana na position zinazofunguliwa kwa muda mrefu.
Siyo lazima uanze na 5000+ kutengeneza faida ila ni nzuri itakusaidia kuweka lot size kubwa.
 
Ndio maana nikasema broker hata penda kila siku utengeneze faida kwani kwake itakuwa hasara.Kama unavyoona hapo umelose yy kapata faida so kinyume chake ukipata faida kwake ni hasara.

Sent using Iphone 7+
Kuna kitu hujaelewa,
Commission ipo pale pale upate faida ama upate hasara,haimuathiri broker.
 
Katika kusoma habari ya kimbunga wanasema imepandisha bei ya petrol Marekani inaweza kuwa na impact yoyote?

Kiuhalisia naona naona kwa marekani bei haiwezi shuka. Basicaly ili biashara ya forex ifanyike ni lazima kuwe na mbadilishano wa currency. Ikitokea nchi moja (say USA) inahitaji bidhaa ya nchi nyingine (say Russia) na kuhitajika kuimport, basi marekani atahitajika awe na Russian rubble ili aweze kwenda kununua bidhaa hiyo russia. Kitu hiki maana yake kitaongeza demand ya russian rubble na kupelekea thamani ya rubble kupanda.

Kwa mfano huu, tukirudi kwa case ya marekani, Marekani ni mmojawapo wa big producer wa oil, na anareserve kubwa sana ya mafuta. So mafuta ya kutumia katika kipindi hiki kigumu serikali yao itamudu kwa maana estimates serikali inasema production itarudi at full capacity ndani ya wiki , so hawana haja ya kuimport mafuta toka nje ya marekani kitu ambacho kingepelekea kudorora kwa USD

At same time, kwa upande wa gesi ni tofauti kwa maana kwa wenzetu gas inategemea miundombinu ya mabomba kuiambaza majumbani. Haya mabomba baadhi yameharibika na yamezimwa kabisa hivyo kupelekea upatikanaji kuwa mgumu, na distribution yake kuwa ngumu. Na kupelekea bei kupanda.

Hata ukiangalia mafuta yanaonekana yapo normal huku gas ikipanda sana. All that matters in this game ni demand and supply.

Yote kwa yote haya mambo yanahusisha variables nyingi sana, baadhi ya variable zikiwa na positive influence huku nyingine zikiwa na negative, mwishoni inakupasa wewe kuzichambua na kutafuta resultant effect.

US crude falls 1%, settling at nearly 6-week low of $45.96, as Harvey keeps refineries offline
 
Katika kusoma habari ya kimbunga wanasema imepandisha bei ya petrol Marekani inaweza kuwa na impact yoyote?
kwa mtazamo wangu,hili linaweza kuwa sahihi..hii ni kwa sababu kimbunga kimeadhiri uzalishaji wa mafuta huko Lousiana..ukizingatia US ni consumers wakubwa wa mafuta,hii imepelekea kuagiza mafuta zaidi kutoka kwa supplier wao mkubwa ambaye ni Canada.hivyo,bei ya mafuta kutokana na demand kubwa itakuwa imepanda hivyo kuipa CAD nguvu kuliko USD.kama tunavyojua,mafuta huwa inversely proportion kwa USD.

sijapitia news za leo wala charts ila kama habari ziko hivo,then ni muda sahihi wa kununua mafuta dhidi ya USD na hivyo hivyo traders wanaweza kushort USD/CAD.
 
Boss ukiangalia behaviour ya mafuta toka hili janga litokee mafuta yameact as if hakuna kilichotokea.
 
Kiuhalisia naona naona kw marekani bei haiwezi shuka. Na ndo mtazamo wangu. Basicaly ili biashara ya forex ifanyike ni lazima kuwe na mbadilishano wa currency. Ikitokea nchi moja (say USA) inahitaji bidhaa ya nchi nyingine (say Russia) na kuitajika kuimport, basi marekani atahitajika awe na Russian rubble ili aweze kwenda kununua bidhaa hiyo russia. Kitu hiki maana yake kitaongeza demand ya russian rubble na kupelekea thamani ya rubble kupanda.

Kwa mfano huu, tukirudi kwa case ya marekani, Marekani ni mmojawapo wa big producer wa oil, na anareserve kubwa sana ya mafuta. So mafuta ya kutumia katika kipindi hiki kigumu serikali yao itamudu kwa maana estimates serikali inasema production itarudi at full capacity ndani ya wiki , so hawana haja ya kuimport mafuta ghafi toka nje ya marekani kitu ambacho kingepelekea kudorora kwa USD

At same time, kwa upande wa gesi ni tofauti kwa maana kwa wenzetu gas inategemea miundombinu ya mabomba kuiambaza. Haya mabomba baadhi yameharibika na yamezimwa kabisa hivyo kupelekea upatikanaji kuwa mgumu, na distribution yake kuwa ngumu. Na kupelekea bei kupanda.

Hata ukiangalia mafuta yanaonekana yapo normal huku gas ikipanda sana. All that matters in this game ni demand and supply.

Yote kwa yote haya mambo yanahusisha variables nyingi sana, baadhi ya variable zikiwa na positive influence huku nyingine zikiwa na negative, mwishoni inakupasa wewe kuzichambua na kutafuta resultant effect.

US crude falls 1%, settling at nearly 6-week low of $45.96, as Harvey keeps refineries offline
katika pitapita zangu mitandaoni,nimeweza kufahamu kwamba US ni nchi yenye hesabu nzuri sana..kwa muda huu,US,Saudi Arabia na Russia wanang'ang'ana sana kuhusiana na masoko na uzalishaji wa mafuta.ila,saudi arabia yupo vizuri kwa sababu ya position yake ya uchimbiaji mafuta.

sasa kinachonifanya niseme kwamba US wana akili nzuri ni kwa sababu wamefanya hesabu wakajua uzalishaji wa mafuta nchini kwao ni more expensive kuliko kununua kutoka kwa wachimbaji wengine.kwa sasa Canada ndiye anasupply mafuta mengi ndani ya US kutokana na mzozano wa mataifa hayo matatu.

kuna sehemu umesema kwamba US wana mafuta yao kwenye reserves zao na hivyo yatatosha kuwasimamia kwa muda huu.ila hayo mafuta sio refined.yako kwenye state ya recoverble oil.ni kitu kama wax hivi kwani mafuta hayawezi kuwekwa kwenye madumu na kuachiwa yawe hivyo kwa ajili ya storage.hivyo sio kitu wataenda tu wachote na kuanza kutumia moja kwa moja
 
Ndiyo yanahifadhiwa hivyo, na pia watakua na stock ya refined. Ungepitia hiyo link niliyoweka ungepata picha.
 
sawa mkuu..naomba ripoti za CAD inavyofanya

Boss hii sijaifuatilia sana kwa wiki hii, wiki hii niikuwa interested sana na DOW index, CFDs (Gold na Platnum) na USD may be ngoja nijaribu kucheki kwa upande wa CAD.
 
Nimejaribu kucheki hapa inaonesha recently CAD imekuwa weak katika siku za karibuni versus both USD na AUD. So unaweza ona mwenyewe issue ya mafuta siyo kigezo kama ulivyokuwa ukiongea hapo juu.

Na pia leo kuna very important report inatoka Canada. Leo wanasoma GDP ya Q2, na hii ina influence kubwa katika value ya CAD katika soko.

Halikadhalika kesho katika US session pia kuna very important report inasomwa. Wao kesho wanasoma NFP ( Non farm Payrol) ambayo husomwa kila Ijumaa ya mwanzo wa mwezi kutoa picha ya mwezi uliopita nini kilijiri. Hii ina umuhimu mkubwa sana kwani inabeba taarifa juu ya employment rate imesimamia wapi.

So angalia hapo, cheza na hizo variables uone.

Kwa taarifa zaidi unaweza pitia hiyo link hapo chini.

Calendrier économique
 
Mkuu jamaa anachanganya mada za binary na forex hasa hizo time zone anazozikomalia ni za binary LAKINI FOREX INA WORKING HOURS. NA KUNA MAsaa huwezi fanya biashara tusichanganye wadau
Mazee unanitaka nirudi?

Unachokataa ni nini? Kwamba mtu wa US East Coast hawezi ku trade Forex saa kumi na mbili jioni Jumapili yake kwa kutumia soko la New Zealand ambalo kwa muda huo New Zealand ni Jumatatu asubuhi?

Unapoongelea binary na forex kama vitu tofauti visivyoingiliana unaelewa kwamba kwenye binary kuna forex?

Sent from my Kimulimuli
 
Mr Ontario alisema training inaanza tar 2 na leo ni tar 31 but naona kimya. Kama kuna update yoyote kuhusu hiyo training mtujuze ili sisi wa mkoani tuanze kujiandaa.

Thanks.
Kama ntakua sijakosea alisema tarehe 2 ni siku ya ku launch iyo Forex Institute then tarehe 4 Mungu akipenda training itaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna trader wa Binary Options hapa, kama wapo naomba mchek whatsapp 0652247221 kuna kitu nataka niwashikishe. Asanteni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom